Ndugu zangu!
Katika hali ya kusikitisha na kustaajabisha, kumekuwa na vilio vingi sana kwa watumishi wanufaika wa mfuko huo pendwa.
Watumishi wanachama wa mfuko huo wanasema kuwa, ni miezi sasa...
Tunaomba Serikali yetu sikivu iangalie hili janga la Vipodozi Haramu vinavyouzwa kama njugu hapa Matui na bwana moja anayejieta ni Agent wa Vipodozi kutoka Congo, Zambia na South Africa, huyu mtu...
Muda si mrefu tutawapa na Serikali za mitaa wanavyoongezeka. Immigration fanyeni msako wa guest za Mbagala Zakhem kila Alhamisi mpaka Jumapili.
Hizi guest nyingi huhifadhi waethiopia wanaosubiria...
Ni danguro la mabinti wadogo sana wengine wanawake watu wazima eneo la Mbezi Beach - Rainbow
Polisi Kawe wameshaaambiwa sana lakini wanachofanya wanabeba wanawake wakifika gizani wanawaachia...
Ni muda sasa kumekuwepo na hili wimbi la watu wanaojiita kamchape kiboko ya kutoa uchawi katika wilaya ya kasulu.
Mwanzoni Serikali kupitia jeshi la polisi walitoa maonyo kuhusu hawa watu lakini...
Habali ya jumapili wanabodi,
Napenda kutoa hii taarifa kuhusu hospital ya private ya CHAULA iko Songwe Vwawa. Ukimpelekea mgonjwa wanawapa majibu ya uongo tena magonjwa makubwa ili mtishike...
Napenda kulalamikia makampuni ya mikopo madogomadogo na assasi zisizo za kiserikali, kurekebisha kauli zao na misimamo yao, Mtu anapoomba mkopo nikwamba anahitaji mkopo ule ajikimu na matatizo...
Hili sasa ni janga kuu hapa Bunda. Unapoamka alfajiri unakutana na makundi ya watoto na vijana wamebeba shehena za vyuma kwenye mifuko na maboksi yao. Wanavitoa wapi? Mwisho wa safari zao huwa ni...
Kuna zoezi la ubomoaji wa jengo la zamani la DDC Kariakoo karibu na kituo cha Mwendokasi Msimbazi B, zoezi hilo linaloendelea linafanyika bila uwepo wa kizuizi chochote kulingana na madhari ya...
Utaratibu wa polisi kutumia Jeshi la akiba almaarufu mgambo katika kukabiliana na matukio ya uhalifu ni suala linahotaji kuungwa mkono na kila raia anayelitakia mema Taifa lake. Na hili...
Hapa mtaani kuna mama mmoja anaitwa Mama Nancy amemuajiri mtoto ambaye kwa umri sina uhakika lakini nahisi ana umri wa miaka 9 au 10, ameajiriwa kama house girl.
Kibaya zaidi Mama Nancy amekuwa...
Nipo Dodoma kikazi ila ninachojionea ni balaa ,
Fremu nyingi zinafungwa na watu wameshindwa biashara,
Najiuliza tatizo ni nini , Nilijaribu kuuliza baadhi ya wadau , wengi wameniambia Cha kwanza...
Amekuwa akishirikiana na waendesha mashitaka wa TANAPA kubambikizia kesi watu wasiokuwa na hatia kisha kuomba rushwa kubwa.
Watu wanabambikiziwa kesi kuwa ni wahujumu uchumi kwa kufanya uvuvi...
Mimi ni miongoni mwa wafanyakazi (150+) wa M-gas Cooking Limited. Hatujalipwa mshahara wa mwezi wa pili bila taarifa yoyote zaidi ya hapo tulipokea taarifa kwa njia ya email kwamba kampuni...
Mim ni mmoja wa wahanga katika kukopa mkopo katika taasisi ya fedha ya kukopesha inayoitwa Bayport Financial Service ambapo ni mwezi sasa toka nilipoomba mkopo mpaka rejesho la kwanza limefanyika...
Wanafunzi hasa chuo kikuu cha Dar es salaam UDSM mpaka sasa hawajapata stahiki ya fedha za kujikimu ijulikanayo kama "boom" mpaka sasa ilihali hali fedha hizo zilitakiwa kulipwa tangu tarehe 23...
Huku mtaani kwetu Kata ya Daraja Mbili pande za Arusha tuna changamoto ya uhalifu, yaani imefikia hatua hata Ulinzi Shirikishi wenyewe ambao wanajuliakana pia kwa jina la Sungudungu nao wanaogopa...
Mamlaka za maji zinatumia gharama kubwa sana kukusanya biki za maji toka kwa wateja wa maji ambao hawalipii hadi wakatiwe.
Hapa naona Dawa ni ‘Lipia maji kadri unavyotumia’. Zifungwe meter za...
Upatikanaji wa leseni za biashara katika manispaa ya Temeke umekuwa ni biashara kwa waliopewa majukumu hayo.
Kumekuwa na utengenezaji mkubwa wa mazingira ya rushwa ambao upo wazi kabisa na bila...
Kuna meneja (Zulfika Abdulkarim) wa mgodi moja wa madini ya Vito Lemshuku, Wilayani SIMANJIRO, yanayoitwa green garnet ametorosha madini ambayo thamani yake haijajulikana Kati ya tar 15 Machi hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.