Jinsi Vyama vya Ushirika vinavyodhulumu na kuwaibia pesa Wakulima wa zao la ufuta Tunduru.
Mwaka huu soko la zao la ufuta linasumbua, hii namaanisha bei kushuka kila mnada Mfano Mnada wa kwanza...
[Picha: Wiki How]
Tupo kipindi ambacho wizara ya Elimu inapambana katika kuleta mabadiliko katika elimu hasa katika mafunzo ya walimu.
Ila kulinga na muongozo mpya ambao umetoka ili walimu...
Hospital hiyo imefungwa ghafla huku staff wakiwa wanadai fedha za malimbikizo ya mishahara ya miezi 12 nyuma ambayo tuliahidiwa tungeaza kulipwa taratibu ndani ya mwaka Jana lakini haikufanyika...
Kumekuwa na tatizo la ukosefu wa uwajibikaji na uwajibishwaji wa viongozi wa hospitali ya Manispaa ya Kahama mjini kwani kero ni nyingi wanazokumbana nazo wafanyakazi ikiwemo waajiriwa wapya wa...
Sisi Wananchi wa Kata ya vijibweni, Mtaa ya Kibene na nyingine zilizopo jirani na maeneo hayo (Dar es Salaam), kumekuwepo na matukio ya kuogofya na yanayotokea mfululizo ikiwemo kuokotwa kwa miili...
Ni takriban wiki sasa yale madimbwi yaliyotokana na mafuriko ya mvua za mwaka huu yamesababisha mlipuko wa kipindupindu. Sasa mbona kama inafanywa siri?
Lengo ni kutozua taharuki au nini? Watu...
Hivi viwanda vipo Iringa na Njombe. Wanakata milingoti sana na wanaharibu mazingira. Wafanyakazi hatuna mikataba anakufukuza muda wowote kwa chochote.
Assume wazee wetu walipanda miti ili watoto...
MALALAMIKO KUTOKA FAMILIA YA MAREHEMU WOLFGANG M.TURUKA.
Tangu tarehe 14/9/2020 ndugu yetu Tito hajulikani alipo na familia tunazo taarifa kwamba Polisi walimpiga akiwa kituoni na kumuua, kisha...
Morogoro Mjini kata Tungi (ambako ndio makao makuu NIDA mkoa) kuna ujenzi wa barabara ya lami, ni pongezi japo ujenzi ulicheleweshwa kwasababu za kisiasa kwani baadhi ya viongozi walikuwa wakisema...
Tuhuma za RMO Kahama
1- Anamtetea shemeji yake, ambaye anatuhumiwa kupunguza purity kwenye soko kuu la Dhahabu Kahama, tuhuma hizo kuhusu shemeji wa Kumburu zimefikishwa hadi ofisi ya DSO KHM &...
Ni aibu kwa halmashauri ya mji wa Babati kuweza kujenga mamia ya frem za biashara kuzunguka uwanja wa mpira wa Kwara halafu wasiweze kuweka huduma ya choo.
Biashara mbali mbali zinafanyika katika...
Ujumbe wa Mdau ambaye mtoto wake anasoma kidato cha Tano katika Shule ya Sekondari Ruvu ametoa povu:
Jamani tusaidieni kupaza sauti. Tuliambiwa ada ya shule zimeondolewa lakini bado wazazi...
Serikali itupie macho uhuni unaofanywa na hawa wafanyabiashara wa magari wenye asili ya Pakistan.
Jana mida ya saa sita mchana tulienda na rafiki yangu kwenye moja ya maduka (yard) ya kuuzia...
Hapa Mbezi Luis Stendi barabara ya kwenda Kinyerezi ilivyojaa msongamano wa machinga na bidhaa zao ambazo ziko kando ya barabara na kusababisha barabara kuzidi kuwa finyu licha ya wembamba wake...
Jeshi la Africa kusini linategemea kufunga virago msumbiji ambako vikosi vya SADC vikiongozwa na South Africa vilikua vikipambana na Kundi la kigaidi la kiislam Msumbiji.
Hii ni kutokana na siasa...
Heshima kwenu wakuu,
Nimekua shahidi wa michango mizuri humu inavyo fika sehemu husika na kusaidia watu mbalimbali. Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nina mzee wangu amestaafu kazi serikalini...
Wananchi walichanga pesa Tsh 5,000 kwa kila kaya kwa ajili ya ujenzi wa kituo mpya cha magari ya halmashauri, lakini cha ajabu mpaka sasa wananchi hawajui zile PESA zimefanya nini na kiasi gani...
Huu ni uhuni mkubwa unaofanywa either na PSSSF or Hazina kwa maana kwamba michango ya pesa zinazotakiwa kuingia PSSSF haionekani kabisa na hii inapelekea kupunguza kiasi cha pesa ambacho mtumishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.