Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Habari ndugu wanaJamiiForums, Rejea kichwa cha mada chausika. Mimi nina mgonjwa hospitali ya wilaya mkoa wa Kagera, kila dawa tunayoandikiwa na daktari, tukienda famasi hawana. Lakini wagonjwa...
11 Reactions
94 Replies
4K Views
Kawe ni moja ya Kata zilizopo ndani ya Wilaya ya Kinondoni na katika Jimbo la Kawe ikiwa ni moja ya Kata maarufu sana lakini hali ya Kituo cha daladala katika Kata hiyo inahuzunisha sana...
7 Reactions
35 Replies
3K Views
kwa yeyote anaye weza saidia kufikisha ujumbe huu == Taarifa kwa Serikali na Sekta za Elimu Tanzania Nikiwa kama mhanga na mdau wa elimu, napenda kueleza mambo machache juu ya mwenendo mzima wa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna wakati tuliungana kuomba mkopo unaotolewa na serikali kwa kweli tulifanikiwa katika hatua zote mpaka usajili wa kikundi tulipata tukafungua na account bank ya kikundi na mradi wetu na wazo...
0 Reactions
3 Replies
245 Views
Wazazi wa Wanafunzi waliomaliza Kidato cha Nne 2023 wamepokea ujumbe mfupi wenye taarifa halisi za Watoto kutoka Chuo cha Tabora Polytechnic kilichopo Tabora Mjini. Ujumbe huo ulisomeka kuwa...
4 Reactions
33 Replies
4K Views
Kumekuwa na tabia ya utapeli wa kupangwa walengwa wakubwa wakiwa ni Mawakala wa huduma za kifedha haswa haswa wale ambao ni wapya katika eneo flani. Limetokea tukio maeneo ya Sinza Mapambano...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Kumeingia wimbi la kuuziwa michele ambayo imepakwa mafuta hasa Dar es saalaam na Pwani, Je serikali kupitia wizara na taasisi zao hawajaliona hili? Je, ni mafuta gani hayo yanapakwa kwenye...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu? Leo Nataka kuzungumza pale Itigi kwenye geti la mazao na maliasili wale jamaa wanaongoza kwa kula rushwa yani ukifika pale na magendo wanakuchekeche lengo utoe mpunga tu Ili...
0 Reactions
14 Replies
585 Views
Habari za jioni watanzania wenzagu. Leo nimepokea taarifa kutoka kwa mtu wangu wa karibu aliyeko kigoma na kunihadithia matukio ya kuttisha na nimeona nilete hapa wa watalam tusaidiane. Kwanza...
0 Reactions
14 Replies
941 Views
Shule ya Sekondari ya Nshupu iliyopo Kijiji cha Nshupu, Wilaya ya Arumeru, Kata ya Nkoaranga Mkoani Arusha haina milango na katika baadhi ya majengo ikiwemo yale ambayo wanaishi Wanafunzi wa kike...
0 Reactions
2 Replies
666 Views
Hawa maaskari kutoka Bahi wanakera sana, unalazimishaje kuingia kwenye gari ya mtu na kutaka kuchomoa funguo? Gari yenyewe hata kukukimbia haiwezi, gari ina mali za mamilioni ya wafanyabiashara...
4 Reactions
44 Replies
4K Views
Hii ikufikie Boss wa Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (PCCB) wilaya ya Bunda mkoani Mara. Wiki hii Kuna kijana mmoja ambaye kaanzisha operation ya kupita kwa baadhi ya maduka ya...
3 Reactions
22 Replies
962 Views
Habari, Nimepoteza mtu wangu wa karibu sana siku ya jana kutoka Hospitali ya Mloganzila 😭😭😭😭😭😭😭. Hakuna daktari pale, kuna wanafunzi (interns) tu wanaotoa huduma ya kwanza kwa mgonjwa aliye...
17 Reactions
53 Replies
3K Views
Moja ya changamoto ambayo imekuwa ikitawala kwenye midomo ya Watanzania wengi ni kuhusu suala la Wahudumu wa maduka ya dawa hasa yake ya mtaani. Kumekuwa na changamoto ambazo Wananchi wanaoenda...
3 Reactions
0 Replies
305 Views
UTAPELI MPYA ULIOZUKA MITANDAONI Habari wana Jamii Forums Kumekuwa na njia mpya ya utapeli mitandaoni ambayo inawaumiza wa Tanzania wengi na pia kuwaondolea uaminifu baadhi yao kwa jamii...
1 Reactions
0 Replies
734 Views
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Tanzania ondoka ofisini, na fanya ziara za kiwilaya na kimikoa, nenda katembelee wilaya ya Chunya, Kata ya Matundasi, Kijiji cha Itumbi, kuna wahamiaji haramu kutokea...
0 Reactions
1 Replies
463 Views
Ni hivi leo tu Basata imempiga Faini ya Milioni 5 msanii Whozu kwa kuimba wimbo usio na Maadili lakini tunashangaa huyu Mtangazaji hajawahi kupewa hata Onyo. Oscar Oscar amekuwa gumzo mitandaoni...
26 Reactions
85 Replies
7K Views
Kata ya Nyamanoro Mkoani Mwanza wamekuwa wakiendesha kampeni ya kufunga maduka na kuchukua waliopo Madukani, hilo linafanyika kama unakuwa hujalipa Service Levy. Hili suala sijui limetoka wapi na...
0 Reactions
3 Replies
388 Views
Baadhi ya maafisa wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) ambayo miezi kadhaa iliyopita ilikabidhiwa jukumu la kusimamia maduka ya dawa kutoka Baraza la Famasi ambao walikuwa na jukumu hilo awali...
1 Reactions
4 Replies
833 Views
Wafanyabiashara katika Mji wa Mlowo, Mbozi wamedaiwa kupandisha vocha za mitandao ya simu toka bei halisi na kuongeza kiwango kati ya shilingi 100 hadi 200 kutokana na eneo hali ilioibuka...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Back
Top Bottom