Mwanzoni Miaka ya 2000 kila mvua iliponyesha wakati wa kuvuka Barabara tulikuwa tunalazimika kuvua viatu na kukunja nguo kisha tunavuka.
Miaka zaidi ya 20 baadaye hali tuliyoizoea kuvuka kwenye...
Kuna njia ya hii ya utapeli ambapo mtu anatengeneza urafiki na wewe kupitia mtandaoni. Kadri siku zinavyoenda mnatengeneza ukaribu na ka imani kanaanza kukuingia kiasi fulani kuwa umepata rafiki...
Naomba ujumbe huu mfupi tu uwafikie wanaohusika kuwa hapa kwenye Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli (Magufuli Bus Terminal), upande wa jengo la abiria na sehemu nyingine kadhaa hakuna umeme.
Leo...
Hashimu Ally Phillemon, mkazi wa Babati Mjini anaeleza kwamba alikamatwa eneo lake la kazi, Paleii Lake View Garden, mali ya mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul, Naibu Waziri wa Sheria na Katiba...
Habari!
Napenda kuchukua nafasi hii kuwasilisha kilio cha Watanzania wanoishi na kutumia barabara ya kuanzia madale mwisho kwenda mbopo had mabwepande.
Hali ya barabara hii ni mbaya, ukijumlisha...
Imezoeleka watu kufahamu biashara haramu ya binadamu kama biashara inayofanyika kwa kuvuka mipaka, yaani kati ya nchi moja kwenda nchi nyingine, lakini ukweli ni kwamba biashara haramu ya binadamu...
Picha kwa Hisani ya TRC
Jamani nawapongeza kwa kupaza sauti na kwa taarifa mnazozitoa Jamii Forums, nyie ndio Chombo pekee cha Watanzania ambacho mnatupa nafasi ya kueleza kero zetu kwa uwazi...
Hospitali ya Mbagala Zakhem iliyopo Mbagala Dar es Salaam imekuwa kama ni sehemu ya kuwamaliza Watu, kuna mifano mingi tu kuhusu huduma zao kutokuwa na kiwango kizuri na hivyo kuwaathiri wengi...
Hospitali ya Rufaa ya Bugando iliyopo Jijini Mwanza ni moja ya Hospitali tegemezi zaidi kwa ukanda huu wa Ziwa na hata kwa mataifa ya Afrika Mashariki kutokana na namna walivyojipambanua kuwa...
Najua nikitoa hapa kero yangu hapa Jukwaa la Fichua Uovu, kero yangu itafika kwa wahusika.
Kero yetu/yangu kubwa ni kwa Wahudumu wa CRDB Tawi la Gongo la Mboto lililopo pale Mzambarauni Kiukweli...
Mimi ni miongoni mwa Wafanyakazi wa Hospitali ya Rufaa ya KCMC, Kitengo cha utafiti KILIMANJARO CLINICAL RESEARCH INSTITUTE (KCRI).
Katika kitengo hiki Waajiriwa wengi ni wale wa mkataba, kwani...
Tarehe 24/01/2024 Ndugu Hamis Athumani Mkazi wa eneo la Mashamba Pori, Kibaha Mkoani Pwani aliuliwa kwa kupigwa na machepe.
Siku ya tukio Marehemu alikuwa nyumbani kwake eneo la Mashamba Pori...
Sehemu ya kula wasafiri pale Morogoro Msamvu njia ya kwenda Iringa ni chafu, vyakula vinavyouzwa vimelala siku mbili, chips ni nyeusiii sijui ni mafuta au ndio tunauziwa vyakula vya kulala!
Na...
Serikali pamoja na watu wa Nyamongo njoo I hapa mtueleze shida ni ni ipi kati yenu na wawekezaji wa mgodi wa North Mara Kiasi kwamba vurugu Kila mara?
Vurugu hizi zimekuwa zinachukua maisha ya...
Sisi Wananchi wa Mkoa wa Kigoma, Wilaya ya Buhigwe, Kijiji cha Mwayaya kwa sasa tunaishi kwa hofu na manyanyaso makubwa, tunafanyiwa ukatili mkubwa ambao hauvumiliki na hawa matapeli wanaojiita...
Baada ya Maktech kukosa tenda ya kituo cha usimamizi wa mtandao (NOC) Cha kampuni ya Vodacom, imetokea sintofahamu baada ya uongozi wa Maktech na Nokia kuwalazimisha wafanyakazi kuandika barua Ya...
Treni ya Mwakyembe imesitisha ratiba yake ndani ya wiki mbili sasa, Treni hiyo ambayo safari zake huwa ni kuanzia Tazara kuelekea Kigogo sokoni Jijini Dar es Salaam imekuwa msaada mkubwa kwetu...
Mtandao ya simu imerahisisha huduma ya kulipa vitu mbalimbali ikiwemo malipo ya serikali na biashara binafsi. Ni kawaida kwa sasa kukuta biashara ina LIPA NAMBA ambapo mtu anaweza kulipa kwa namba...
Kivuko cha MV KOME II kinachofanya safari zake kati ya Nyakarilo na Kome Kisiwani katika Halmashauri ya Buchosa, Wilayani Sengerema naweza kusema kinawafanyia ukatili abiria wanao tumia usafiri...
Nimejiuliza hivi Wakandarasi wanaojenga vituo vya mabasi huwa wanachaguliwa kwa kuangalia vigezo gani?
Nasema hivyo kwa kuwa vituo vingi huwa vizuri vikiwa vipya tu baada ya muda changamoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.