Stendi Kuu ya Mabasi Dodoma mazingira yake ni machafu na yanatoa hasira kwa sisi tunaotumia eneo hilo kwa ajili ya shughuli mbalimbali za kila siku.
Licha ya kuwa wanakusanya fedha zetu kwa maana...
Sijui shida ni nini. Huku south Africa, botwasana, Námibia huwezi oná bodaboda. Zimejaa zile toyota hiace Kila mahali.
Sisi tuliondoa hiace mjini miaka hiyo. Sasa tumesajili bodaboda na bajaji...
Huku mtaani kwetu kuna mlipuko wa magonjwa ya tumbo ambayo wataalamu wa mambo wanadai ni mlipuko wa Ugonjwa wa Kipindupindu.
Nina ndugu zangu kadhaa hapa Mkoani Manyara, Wilaya ya Babati, Kata ya...
Nilipokea taarifa ya kifo cha baba baada ya kupata ajali ya pikipiki Februari 2024.
Nililazimika kuahirisha mitihani ya chuo iliyokuwa imeanza siku mbili kabla ya kupata taarifa ya kifo cha baba...
Habari, katika kutembea kwangu hapa na pale nimegundua tabia za madereva bajaji na bodaboda wengi hawatii sheria za barabarani, gari linasimama zebra lakini hao jamaa wanapita kushoto au kulia au...
Mnamo tarehe 10/02/2024 Hr wa kampuni ya ulinzi ya G1 security iliyopo upanga jijini dar es salaam mtaa wa kitonga,kwa kushirikiana na baadhi ya watendaji wengine,walijaribu kumuua mmoja wa...
1. Tangaza haraka Kuzuia vile Vijiwe vyote vya Kukodisha Mapira / Matairi ya Kuogelea
2. Kisha amrisha wanaotaka Kufanya hiyo Biashara Kwanza wajisajili Kwenu (Serikalini) na wekeni Ada / Tozo...
Wananchi wa kijiji cha Hurui, kata ya Kikore wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma, wamelalamikia kitendo cha askari polisi wilayani humo, kuwakamata na kuwapiga wakiwa uchi wa mnyama usiku wa manane kwa...
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wa Tanzania hivi karibuni umefanya marekebisho katika kifurushi chake kinachohusisha pia dawa, yakiwemo madawa ya antibiotic, ambapo imepunguza sana bei...
Asee kuna hili jambo linanikera sana na lina Waharibia Wanafunzi future yao.
Nikiwa Mdau muhimu wa Elimu naumia sana kuona Waalimu wa kiume kukatisha ndoto za mabinti kwa kukuanzisha uhusiano nao...
Waswahili usema ukistaajabu ya Musa utayaona ya Felauni. Ukielezwa unaweza usiamini lakini ndio hiko hivyo.
Wananchi wengi wa Kanda ya Ziwa waliozungukwa na Ziwa Victoria wengi wao utegemea...
Umoja wa Watoa Huduma Sekta ya Binafsi APHTA, Mashirika ya Dini (CSSC), na Bakwata wanapenda kutaarifu umma kuwa mazungumzo yaliyokuwa yakifanyika baina ya umoja huo na Wizara ya Afya. Kamati ya...
Kuna jambo la naona wengi tunalalamika ila hakuna linapofika.
Miezi kadhaa iliyopita Hospitali ya Muhimbili ilianzisha tozo za parking ambazo ilikuwa ukikaa chini ya nusu saa ni bure ila...
GRACE HONDI TLUWAY ni mgonjwa ambaye alienda mchana wa Saa Saba katika Hospitali ya Magunga kwa ajili ya kupata matibabu na aliondoka bila kupatiwa dawa kwa madai ya mtandao.
Alipelekwa tena...
Afisa mtendaji wa kata ya Malindi, iliyoko tarafa ya Mlalo, wilaya ya Lushoto - Tanga, amechukua maeneo makubwa ya shule ya sekondari Mtumbi na kuyakodisha kwa watu mbalimbali kwa manufaa binafsi...
Wakazi wa Hale tunashukuru kwa kuletewa kituo ambacho kitasaidia kwa kiasi kikubwa kusaidia wakazi wa maeneo yaliyo karibu yake.
Ila kweli Mzava, ndio tuletewe mganga (dokta) ambaye alikuwa na...
Habarini,
Haya mambo ya Umungu mtu ndani ya mahakama yamepitiliza kiasi kwamba watumishi wanafanyiwa mambo ya ajabu hasa kwenye maslahi yao kukatwa ovyo bila ridhaa zao.
Ni hivi majuzi tu Jaji...
Katika hali ya kushangaza na kustaajabisha, wananchi kijiji cha misufini wilaya ya kibaha wamezuiwa na RUWASA kutumia maji ya kisima walichochimba kwa nguvu zao wenyewe kisa RUWASA kutaka kuingiza...
Sisi Wananchi wa Mtaa wa Chamwenda, Kata ya Nyasaka, Wilaya ya Ilemela Mkoa wa Mwanza tunaomba hii kero yetu iwafikie TANESCO.
Hili Shirika letu la Umeme tumeshtoa taarifa kwao kuhusu changamoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.