Kuna utaratibu umezoeleka kwa Askari wa Usalama Barabarani (Trafiki) kusimamisha Magari na kutaka Madereva au kama ni Daladala basi Kondakta amfuate alipo bila hata kukagua Gari.
Huu utaratibu...
Benki kuu ya Tanzania ni taasisi kubwa na yenye heshima kubwa. Kuna jambo silielewi, sisi tuna madai yetu ya pesa za likizo za mwezi wa 12 mwaka jana. Hatujalipwa mpaka leo. Tukifuatilia kwa...
Dampo lililopo kwenye soko la Stereo hapa Tekeme, Dar es Salaam ambapo ni sehemu kwa Wauzaji wa soko hili kuhifadhi takataka baada ya wao kufanya usafi kwenye maeneo yao, limekuwa ni kero kubwa...
Habari wadau. Kumekuwa na wimbi la wafanyakazi wa NHIF waliopo mahospitali kuwataka wazazi wabadilishe vitambulisho vya watoto kwakuwa picha zilizopo kwenye vitambulisho hazifanani na watoto...
Bandari ya Dar es Salaam ina changamoto kubwa ya mizigo kuchelewa, hii ni kero ambayo imekuwepo kwa miezi kadhaa sasa na Serikali na mamlaka zipo kimya, kiasi kwamba imefikia hatua baadhi ya watu...
Mimi ni Mkazi wa Arusha, nina kero kuhusu Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Arusha (AUWSA), hapa Lemara kuhusu suala la kuunganishiwa maji.
Awali, tulivyofanya maombi ya kuunganishiwa...
Hali ya masoko kwa kweli ni mbaya sana, yaani unaweza kununua bidhaa ukaharibu viatu na ukapata magonjwa mazingira ya masoko yetu. Kila mfanya biashara analipa ushuru wa kuwepo sokoni, hata hivyo...
BRELA wamekuwa sababu ya wafanyabiashara wengi kushindwa kurasimisha biashara zao kwani ukitaka kufungua kampuni utapitia machungu na mwisho utaacha kabisa.
Brela wamekuwa wanafanya masahihisho...
Mlembea, ni moja ya Shule ya Serikali iliyopo Wilaya ya Rombo katika Tarafa ya Mashati Mkoani Kilimanjaro ambapo kwa Mwaka huu wa 2024 imeandikisha Wanafunzi watatu tu (3) kuingia darasa la kwanza...
Kuna tatizo tunaomba Serikali, Jamii na hasa mamlaka husika zifahamu ili hatua zichukuliwe, ni kuhusu kero ya joto kutokana na msongamano wa watu Kivukoni Jijini Dar es Salaam.
Abiria tunaotumia...
Ninaandika mambo haya kwa masikitiko kutokana na mustakabali wa elimu ya nchi inavyoharibiwa na baadhi ya viongozi kutojali.
Leo nitatoa habari za hali ya rushwa na kutojali ubora wa elimu...
Mvua zimeleta majanga na kuacha majanga. Lakini Mvua zisingekuwa na maafa makubwa kama tungekuwa na mifumo mizuri ya maji taka. Kwa kuwa na mifumo mibovu maji yamejitengenezea njia zake na...
Wakazi wa Sinza tunawaomba uongozi wa juu kuchukua hatuola stahiki kwa uongozi ulipo sasa kuanzia ngazi ya Diwani kuja hadi serikali za mitaa kwakuwa wameshindwa kusimamia zoezi la uzoaji taka...
Mimi ni mkazi wa Mkoa wa Pwani, napatikana Kijiji kinaitwa Mipeko ambacho kipo Wilayani Mkuranga karibu na Mbande ya Mbagala ya Dar es Salaam, hali yetu ya usalama wa Barabara ni mbaya.
Barabara...
Nimepanda Happy Nation( BUSINESS CLASS) la saa 10:00 kutoka Bukoba to Dsm kwa NAULI ya 120,000/.
Hilo basi halina AC na pia CHOO chake haki flush tunalazimishwa kuchimba dawa kwa KUJILIPIA hiyo...
Kuna baadhi ya Maafisa wa TRA, TAA upande wa Airport Export wanasumbua wateja.
Bila ya kuwatoa hupati release ya mzigo wako na watu wale Security wa TAA ndo kabisa usipowapa hela wanaweza ficha...
Wafanyakazi wa mgodi wa Dhahabu CATA MINING uilioko Kijiji Katalyo Wilayani Butiama Mkoani Mara, wameanza mgomo wa kutofanya kazi na kuamua kulala katika ofisi za mgodi huo, wakishinikiza uongozi...
Habari wadau! Hivi kweli nchi inayopigia kelele kukuza utalii iko gizani Kwa kiwango hiki
Jiji la Arusha tangu asubuhi Hakuna umeme hadi sasa hivi. Jitafakarini enyi wenye dhamana
Mradi wa REA uliopo TANGA, LUSHOTO BUMBULI, kata ya FUNTA kijiji cha MANGA. Ni mwaka wa 3 mradi haujakamilika.
Tulifika mpaka TANESCO wilaya kuwaeleza hawajafanya chochote (kama pesa za mradi...
Hii Barabara ina Kibao cha ujenzi wa Lami tangu enzi za JPM. Lakini mpaka sasa haieleweki lini litafanyika zoezi hilo. Barabara inaendelea kuharibika kila kukicha kutokana na mvua za kila siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.