Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Habari, Naomba mtusaidie kuizungumzia kero yetu hii ya Halmashauri ya Wilaya ya Bahi hususani Idara ya Elimu. Na hii imekuwa kama kero sugu. Afisa Elimu amekuwa na kawaida ya kuwahamisha walimu...
0 Reactions
1 Replies
270 Views
Hivi karibuni Jeshi la Polisi lilitangaza nafasi za ajira katika mikoa tofauti, kilichokuwa kinafanyika ni wale tunaohitaji kuomba tulitakiwa kufanya hivyo kupitia ngazi ya Mkoa. Mkishafanya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ningependa kuwauliza wizara ya Uchukuzi kupitia Waziri Bashungwa ni lini Kituo cha ukaguzi wa mizigo kilichopo kata ya Misugusugu mkoani Pwani kitahamia Vigwaza kuliko jengwa kituo kikubwa cha...
0 Reactions
0 Replies
256 Views
Kutokana na Hospitali ya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam kupokea idadi kubwa ya wagonjwa, iliamua kuanzisha kitengo maalumu (dawati) la 'NIULIZE MIMI' kama ambavyo baadhi ya hospitali nyingine...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Tunamuomba kamishna wa mamlaka ya mapato akae na hawa vijana na kuwakumbusha maadili ya kazi. Kabla hatujachukua hatua kali zaidi za kuwavua ngua na adhabu nyingine, meneja na watumishi wake...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Ingawa viongozi wa Mkoa na Wilaya hawataki kutoa taarifa kwa jamii juu ya uwepo wa mlipuko wa ugonjwa wa kipindu pindu. Ni kuwa Halmashauri ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu imekubwa na visa wa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Juzi watumishi Kada ya ualimu na Afya katika Wilaya za Rombo na Sikonge walilalamika kutolipwa stahiki zao ambazo ni fedha za kujikimu. Hivyo hivyo kadhia hiyo imetukumba sisi watumishi katika...
1 Reactions
2 Replies
604 Views
Kiwango Cha uvuvi haramu katika ziwa Victoria kimefikia hatua ya kuvua vifaranga vya Sangara. Hivi ni vifaranga vya Sangara vikiuzwa soko la Bugashani Bukoba. Je, wataalamu pamoja na kitengo cha...
1 Reactions
6 Replies
404 Views
Vitambulisho vya ulowezi wanavyopewa baadhi ya wakazi wa Biharamulo mkoan Kagera (na Familia zao) kwa kuwa na asili ya Rwanda ,je Ni sahihi naomba pia vigezo vya mtu kuitwa mlowezi. Hii...
0 Reactions
0 Replies
224 Views
Ametoa daivesion bila kueka kibao kua kuna daivesion wageni wakija wanapitiliza na kudondokea kwenye vifusi pia divesion imechimbika mashimo na mkandarasi ashahamisha mitambo yake
0 Reactions
0 Replies
230 Views
SIsi watumishi walimu tuliwasilisha fomu zetu za likizo tangia mwezi wa 11 mwanzoni, ila mpaka tarehe ya leo hatujalipwa wakati likizo imeshafikia nusu. Tunaomba mkurugenzi atueleze likizo...
3 Reactions
3 Replies
394 Views
Tunapitia wakati mgumu sana tunaofika Kitengo cha TRA Ofisi Kuu Mwanza ili kupata Control Number za kulipia Capital Gain Tax. Kufanya Uhamisho wa viwanja Sheria imebadilishwa, ni Asilimia 3 sasa...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Leo alfajiri saa 10 usiku nilikuwa Stendi ya Magufuli kupanda basi nasafiri kuelekea Mkoa fulani. Nilisikia harufu mbaya kama chemba inayovuja eneo wanaposimama Abiria wanaosubiri basi la...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wanabodi Naomba niingie kwenye mada, kama ni mtumiaji wa barabara ya Mandela na mfuatiliaji wa mambo nyakati za jioni utagundua kuna jambo la kutengeneza. Iko hivi, wakati unatoka Ubungo...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Anawauliza watoto wanaochukiwa na baba zao. Je amewaandaa kisaikolojia? Mbona yaonekana kama ni udhalilishaji kwa watoto na wazazi wao. Angalia clip hapa.
8 Reactions
312 Replies
22K Views
Salam Husikeni na kichwa cha habari hapo juu , Wakazi na watumiaji wa barabara kuu itokayo kimara kuelekea bonyokwa na vitongoji vya karibu kama Baa mpya,Mavurunza,Kwa Mringo na Golani wamekuwa...
1 Reactions
4 Replies
761 Views
Kumekuwa na changamoto ya kukatika Kwa umeme ovyo au umeme kuwa mdogo sana kipindi cha msimu wa senene. Hali hii inatokea sana wakati wa usiku ambapo muda huo ndo wakazi wengi wa Muleba...
1 Reactions
0 Replies
391 Views
Unaweza kuongea leo ukapuuziwa ila ni mbinu zinazotumiwa na taasisi za dini na ili kupitia makanisa wengi wamepatia mwanywa kutakatishia pesa zao. Kwenye kutakatisha fedha kuna njia nyingi, ndio...
1 Reactions
3 Replies
456 Views
Wakati serikali ikiingia mfukoni kugharamia elimu bure kwa shule zake za msingi na sekondari hapa nchini kwa kutoa mabilioni ya ruzuku, mambo ni tofauti kabisa kwa jiji la Arusha, ambapo afisa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakazi wa Wilaya ya Ubungo, kata ya Kimara, mtaa wa Mavurunza kwa Mtolo kanisani, tunasikitika nguzo hii imeisharipotiwa zaidi ya mara mbili kupitia huduma kwa wateja. Kila tukiripoti TANESCO...
0 Reactions
0 Replies
902 Views
Back
Top Bottom