Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Anonymous
Hivi ndivyo ilivyo katika Camp ya Itigi, sisi Wafanyakazi wa Mradi wa Reli ya SGR, tumeandamana hadi kwa HR wa Mkandarasi Mkuu wa Mradi, Yapi Merkezi tukitaka kujua majaaliwa ya stahiki zetu baada...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba muongozo wa likizo kwa mtumishi wa umma umekaaje. Ni haki mtumishi kufutiwa likizo yake ya mwaka? Maana nimefanya kazi miezi 12 bila likizo nimehamia kutoka halmshauri nyingine ambako...
0 Reactions
0 Replies
257 Views
Anonymous
Habari Wana JF, binafsi nipongeze Jukwaa hili la Fichua Uovu, nimekuwa naliona mara nyingi sikuwa najua jinsi ya kulitumia, nimepata msaada kutoka kwa memba mwenzangu, nami nimeona nilitumie...
0 Reactions
8 Replies
863 Views
Anonymous (a017)
Kumekuwa na changamoto kwa watumishi wa idara ya afya Korogwe kulipwa fedha za on-call allowances; huu ni mwezi wa nane tangu February wakiuliza wanagombezwa na viongozi (ofisi ya mganga mkuu...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Anonymous
Chuo kikuu cha Kampala nchini Tanzania (KIUT) kimekuwa na utaratibu au mazoea ya kukwepa kulipa Wafanyakazi walioacha kazi au kuondoka chuoni hapo mishahara ambayo hayakulipwa kipindi walipokuwa...
0 Reactions
0 Replies
616 Views
Anonymous
Chuo kikuu cha Kampala nchini Tanzania (KIUT) kimekuwa na utaratibu au mazoea ya kukwepa kulipa wafanyakazi walioacha kazi au kuondoka chuoni hapo mishahara ambayo haikulipwa kipindi walipokuwa...
0 Reactions
0 Replies
351 Views
Anonymous
Kinachoendelea Shule ya Sekondari Mpanda Day, Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi ni kinyume cha Sheria, Serikali imetangaza elimu bure kidato cha kwanza mpaka cha nne, lakini Wanafunzi wa kidato...
2 Reactions
61 Replies
3K Views
Kinachofanyika Kibaha Kidimu ni dhuruma ya mabavu ya waziwazi, watu wanapokonywa umiliki wa maeneo yao hata baada ya kuyamiliki kwa zaidi ya miaka ishirini na kuambiwa wayanunue, wakati wapo watu...
7 Reactions
29 Replies
5K Views
Hbr za asbh ndg zangu wanaJF, Naomba kuingia kwenye mada moja kwa moja kuhusu hili suala la vituo maalum mkoa wa Mwanza hususan mwanza jiji. Ndg wanaJF vituo hivi vya elimu maalumu kwa Mwanza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kahama ni moja ya miji inayokua kwa kasi sana nchini. Pamoja na hilo, nadhani pia ni moja ya miji michafu sana nchini. Mitaro mingi ya barabarani inatiririsha maji machafu ya bafuni na yakwenye...
3 Reactions
6 Replies
798 Views
Merchandising executive kwa jina la Perumal aliyepo kiwanda cha A to Z katika kampuni ya Red Earth amekuwa na tabia endelevu ya kuwatukana, kuwabagua, kuwadhalilisha na kuwaonea watanzania...
11 Reactions
40 Replies
3K Views
Anonymous
Jiji la Dodoma limekuwa na miundombinu mibovu ya mitaro na machemba haswa eneo la Area C. Tunahitaji Serikali ishughulike na kurekebisha mitaro na machemba kumalizika haswa kabla janga la mvua...
0 Reactions
0 Replies
174 Views
Anonymous
Wakuu ,heshima mbele. Niende moja kwa moja kwenye mada itakayokuwa na maswali kadhaa. Je nani hasa alikua akifadhili ofisi /kazi za 41 . Maana ofisi /kazi hii ilihitaji gharama kubwa je pesa...
2 Reactions
3 Replies
505 Views
Anonymous
Nimekuwa nikipata shida sana kupata baadhi ya Huduma kutoka kwa Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini – RITA (Insolvency and Trustee Registration Agency). Mfano, wanasema baadhi ya huduma...
1 Reactions
1 Replies
634 Views
Anonymous
Wakuu , heshima mbele. Niende moja kwa moja kwenye mada. Kiukweli TANESCO hili shirika unaweza kudhani pengine tukibadili viongozi wa juu ndio inaweza kuwa mwisho wa matatizo ila pengine naona...
3 Reactions
2 Replies
753 Views
Anonymous
Hospitali ya Vijibweni Kigamboni ndani ya Dar es Salaam kuna kero ya vyoo ambayo ni hatari kwa watumiaji. Vyoo hivyo vya ni vichafu kwa ndani, vinanuka harufu kali mno kuna uchakavu mwingi pia...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Anonymous
Mapema jana(Novemba 30, 2023), wagonjwa tuliokuja hapa hospitalini kutibiwa tulikutana na kadhia ya kutukanwa na muhudumu aliyekuwa chumba cha wagonjwa wa nje(OPD) wanaotibiwa kwa bima. Mhudumu...
1 Reactions
1 Replies
480 Views
Anonymous
Hivi karibuni kulitokea nafasi ya ajira za Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Polisi ambapo zaidi ya Wananchi 1,000 walituma maombi ya ajira. Lakini wakati mchakato unaendelea, sisi tuliopata...
0 Reactions
4 Replies
707 Views
Anonymous
Wananchi tulioathiriwa na Mradi wa Umeme wa Rusumo Hydroelectric Power Project baada ya busting bado hatujapewa fedha za kuhama ili kupisha mchakato huo wa umeme. Maafis wa Serikali wanaendelea...
0 Reactions
0 Replies
769 Views
Anonymous
Mimi ni Mkazi wa Muheza, Kijiji cha Ngomeni, Kambi ya Mikoroshini Mkoani Tanga, tunaomba Serikali Kuu na Mamlaka zenye nafasi ya kutusaidia kufikisha salamu kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom