Nimehitimu chuo kikuu cha Dodoma hivi punde, lakini mazingira tuliyokuwa tunaishi pale chuoni hakika yanasikitisha.
Colleges nyingi za pale UDOM kuna changamoto kubwa ya usafi chooni na...
Katika pitapitia yangu ya mambo tofauti mtandaoni, nikakutana na post ya JF iliyokuwa na kichwa cha habari “Umewahi kuata Changamoto ya Mazingira ya Rushwa wakati wa Kujifungua?
Nikapata wazo na...
Ninaandika haya kwa sababu nakupenda nchi yangu Tanzania kwa sababu na wewe unanipenda pia. Ninaandika haya kwa sababu sitamani hata siku moja kuona machafuko ndani ya nchi yetu nzuri ya kupendeza...
Note. Huu ni uhalisia wa kinachoendelea bandarini na sio habari za kuchafuana.
Mimi kama mmoja wa wadau wa kubwa wa sekta ya bandari nachukizwa sana na matendo yanayofanywa na maafisa wa TRA...
Baadhi ya sisi Wakazi wa Mtaa wa Kibugumo Wilaya ya Kigamboni pembezoni na ilipo Sheli ya Puma hapa Dar es Salaam kuna mwekezaji ameziba njia ya maji hali ambayo imetufanya tunaoishi maeneo ya...
Mimi ni mmoja wa watu ambao nimekuwa nikifanya kazi kwa ukaribu na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), sina nafasi hiyo ya juu lakini nipo katika sehemu ambayo NHIF wakitimiza wajibu wao...
Nimeamua kuandika hapa kwa kuwa JamiiForums inafuatiliwa na watu wengi ndani na je ya Nchi, mtandao huu unafuatiliwa na watu wa kawaida, Viongozi na Watu wengine mashuhuri. Ningependa kuwaomba kwa...
Mimi ni dereva Bodaboda napatikana Kata ya Mbezi Msumi hapahapa Dar es Salaam, tulijichanga tukanunua eneo la ardhi katika Kijiji kinaitwa Zumba kipo Boko Mnemela, Kibaha Mkoani Pwani...
Naenda moja kwa moja kwenye hoja yangu. Kuna vitu vinafanywa na Serikali vinakera sana. Mfano. TMA walitangaza zaidi ya miezi miwili nyuma kwamba kutakuwa na Mvua kubwa za e El Nino ambazo...
Mimi ni mwandishi katika moja ya magazeti hapa Nchini Tanzania na memba wa miaka mingi wa Jamii Forums, katika majukumu yangu nimefanikiwa kupata nafasi ya kuandika makala na habari mbalimbali za...
Ukiniambia hapa hakuna mazingira ya RUSHWA BASI NASTAHILI KUWEKWA HOSPITALI YA AKILI MIREMBE.
Iko hivi:
Niliomba kupatiwa huduma ya umeme mara mbili na kupewa nambali hizi kama rejea ya maombi...
Tunaishukuru Serikali yetu inatoa fedha nyingi sana kwa TARURA ili iendeleze barabara zetu hasa za Vijijini. Kwa mtindo wa sasa labda siyo wote unapotakiwa kupata kazi lazima utoe rushwa to the...
Habari wana JF,leo napenda niongelee ubabaishaji wa halmashauri zetu kwenye kuwapa stahiki zao waajiriwa.
Tunakumbuka mwezi wa 6 mwaka huu 2023 serikali iliajiri watumishi wapya kada ya afya na...
Angalia huyu binti hapo amefanya sex mbele ya ndugu zake na wazazi bila kujua, anatoka akipandisha chupi na hawezi kusema kutokana na aibu.
Watu wanapokwenda beach, wasichana wengi wanapenda...
Nchi kuwa na Ofisi au Kitengo cha Umma Cha msaada wa Sheria (Public Pro Bono Office/ Department) ni muhimu ili kuhakikisha Upatikanaji sawa wa Haki. Ofisi ya kutoa msaada wa Kisheria (Pro Bono...
Natumaini mu-wenye afya njema. Poleni na mapambano ya kila siku. Ni mara yangu ya kwanza kuandika katika jukwaa hili hasa baada ya kuwa nasoma maandiko mengi tu ya wadau mbalimbali yanayohusu...
Ni kweli kwamba vyuo vikuu vinahitaji viongozi wenye ujuzi wa usimamizi rasilimali watu na utawala wa biashara ili kusimamia uendeshaji wa chuo na kuendeleza uvumbuzi na bidhaa mpya kwa ajili ya...
Mimi ni Mfanyakazi wa Shule ya Msingi Gisela N/P School (Private) iliyopo Kipunguni B Ukonga Ilala hapahapa Dar es Salaam, tunadai mishahara ya miezi 3 mfululizo, ya tangu mwezi wa 7 mpaka mwezi...
Hivi karibuni serikali imefanya uamuzi bora kabisa wa kuruhusu magari ya abiria ( mabasi) kutoa huduma masaa 24.
Hili ni jambo bora na la kupongezwa kwani linachochea ukuaji wa uchumi kwa watoa...
Serikali iangalie ifanye jambo kuhusu Mradi wa SGR hali inapoelekea sio nzuri, wakati wafanyakazi wenzetu wakipambana na Mkandarasi Yapi Merkezi kuhusu kuondolewa kazini, huku sisi ambao bado tupo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.