Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Anonymous
Mimi ni jirani ninayeishi Kata ya Matevezi au Ngaramtoni ya chini, Arusha Manispaa. Nimekuwa nikisikia kelele za yowe mara nyingi Waraibu wakiadhibiwa katika Kituo hiki kinachomilikiwa na Kijana...
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Hii ni Shule ya Sekondari BUJUNANGOMA iliyoko Kata Katerero Wilaya ya Bukoba Vijijini, Mkoani Kagera. Wazazi wa wanafunzi wa shule hii wameandika Barua kwa Rais Samia Suruhu Hassan, Waziri Mkuu...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
2. Ofisi ya Rais • TAMISEMl tmcpokea barua yenye Kumb. Na. SAD 429/546/11/6 ya tarebe 13 Novemba. 2023 kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi (IKULU) kuhusu somo ta/wa hapo juu. 3 Ktrtokana na kuwepo...
5 Reactions
12 Replies
782 Views
Anonymous
Ratiba ya mabasi hayo yanaanza kutoka Rombo saa 9 usiku na basi la mwisho saa 11 alfajiri. Jambo hili licha ya kuleta usumbufu kwa abiria lakini pia linahatarisha usalama wa abiria kutokana na...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Anonymous
Kwa kipindi kirefu sasa rais wetu, mama Samia Suluhu Hassan amekuwa akihangaika kubuni mbinu mbalimbali kwa lengo la kutatua kero za wananchi. Sisi wananchi wa kata ya Lukobe, Morogoro...
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Wadau kulingana na taswira ya jiji la Dar es Salaam kwa sasa, eneo la Mbezi Luis, ni eneo ambalo limekaa kimkakati katika kukuza uchumi wa Dar es Salaam na nchi kwa ujumla, cha kushangaza...
2 Reactions
4 Replies
899 Views
Kuanzia mapokezi, Dirisha la Malipo - hapa ndo pana shida mnooo😭😭, unayezilipa shida ni kurudi tena ili risiti iingizwe kwenye mfumo. Unaeza kaa hata masaa ma tatu hafi 10.na ukirudi tena siku...
1 Reactions
2 Replies
460 Views
Naandika uzi huu kwa uchungu na majonzi makubwa. Siku za hivi karibuni nikiwa mkoa wa ugenini mishale ya usiku nilianza kujisikia hovyo sana kwa ghafla tu. Hali ilianza kubadilika mida ya saa...
78 Reactions
233 Replies
10K Views
Wakazi wa kulwa pande tuna kero kubwa juu ya barabara hii. Kila siku tunapigwa kalenda tu kwamba itajengwa kwa kiwango cha lami lakini hakuna utekelezaji. Serikali itambue wajibu wake, sio...
0 Reactions
1 Replies
469 Views
Huu ndio muonekano wa Shule ya Msingi Kugulunde iliyopo katika Kitongoji cha Mahande, Kata ya Mtii, Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro. Shule hii ya Serikali haina miundombinu inayoridhisha...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Siku kadhaa nyuma nilipata kutembelea eneo la leaders club aisee uchafu niliokuta na miundombinu chakavu ni Ile Ile ambayo niliiacha miaka ya 90 Hadi mwanzoni mwa 2000 kuendelea mpaka 2013-2015...
0 Reactions
0 Replies
402 Views
Kituo cha Afya Zamzam kilichopo Manispaa ya Bukoba huku Mkoani Kagera kinatoa huduma mbovu sana upande wa afya, hasa kwa Wanawake Wajawazito. Haijalishi kama una kadi ya Bima au la, bado huduma...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Sisi baadhi ya Wakulima wa Vijiji vya Mwitikira, Ndaleta, Katikati na Ngabolo Wilayani Kiteto Mkoani Manyara tunapenda kujibu na kutoa ufafanuzi juu ya kinachoendelea kuhusu wenzetu kadhaa...
0 Reactions
1 Replies
420 Views
Mimi ni mkazi wa Tanga, hapa kwetu kuna kero moja kubwa ambao binafsi naona inaweza kuwa inawagusa watu wengi kwa maana ambao wanaumia au wanakwazwa na kinachofanyika. Ni kuhusu Hospitali ya...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Mimi nikiwa mfanyakazi wa Taasisi hii tangu kipindi ikiwa NBC Bank nasikitishwa sana na yanayoendelea humu ndani, Kwa kuwa haya mambo tumekuwa tukishauri kwa nyakati tofauti na kupuuzwa nimeona ni...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Ngoja niwasanue wananchi wenzangu Siku hizi wilaya Bagamoyo (Mapinga, Kerege, Kiaraka), ambapo wengi wetu wafugaji wa kuku ndiyo tunafanyia ufugaji mkubwa) Nimekuwa naona makundi ya wakina mama...
40 Reactions
119 Replies
9K Views
Siku chache baada ya baadhi ya Wakulima wa Vijiji vya Mwitikira, Ndaleta, Katikati na Ngabolo Wilayani Kiteto Mkoani Manyara wanaodai kuporwa maeneo yao ya mashamba kuamua kurejea katika mashamba...
1 Reactions
5 Replies
979 Views
Mimi ni mwenyeji na mkali za Dodoma, niende moja kwa moja kwenye mada yangu, kama inawezekana Waziri wa Maji aivunje Bodi ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) kutokana na...
1 Reactions
1 Replies
652 Views
Askari wa Lukobe, Morogoro wameshindwa kulinda Usalama wa raia, IGP Wambura tusaidie Mimi ni Mkazi wa Kata ya Lukobe Mkoani Morogoro, miezi miwili iliyopita nivamiwa nyumbani kwangu nikaibiwa...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Leo tarehe 21 mwezi wa 11 kumefanyika Kikao cha Wafanyakazi wanaojenga Mradi wa SGR na Maafisa Rasilimali Watu wa Kampuni ya Yapi Merkezi ambaye ni Mkandarasi Mkuu wa Mradi huo, hakuna muafaka...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Back
Top Bottom