Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Wana JF salama humu ndani, mimi ni mwanachama wa siku nyingi lakini ni nadra kuniona nikitumia jukwaa hili la Fichua Uovu, nimeona malalamiko mengi yanayowekwa huku yanafanyiwa kazi na mamlaka...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Mtaani kwetu maeneo ya Chamazi Dovya kwa Nzala jirani na Shule ya JB (Dar es Salaam) kuna dampo ambalo sio rasmi, limekuwa kero kwa muda mrefu kwa sisi wakazi wa maeneo hayo, pia lina athari...
1 Reactions
3 Replies
538 Views
TAARIFA YA KUSUDIO LA KUPUNGUZA WAFANYAKAZI (BAADHI) TAREHE 16/10/2023 KWA: VAPI MERKEZI INSAAT VE SANAYI AS TABORA MAKUTOPORA Rejea kichwa cha habari hapo juu Baada ya kufikiria kwa uangalifu...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Hali hii ya vyoo vya Wanaume bandarini Bukoba Mkoani Kagera ni kama hivyo unavyoona kwenye picha, hali ipo hivyo zaidi ya mwezi sasa vimeharibika havina huduma ya maji na vinatumika bila...
0 Reactions
1 Replies
631 Views
Kwa huzuni sana Hawa watu hawana huruma yaani ni wakatili mno. Kweli tumelipia dawa miezi yote hii halafu tunaambiwa eti kiwanda kinachotoa dawa kimesitisha kuzalisha nyie watu nyie muogopeni...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Sina haja ya kutaja jina langu wala kuandika maelezo mengi, lakini kwa ufupi mimi ni Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Kwakweli suala la kunguni UDOM limekuwa linasumbuwa na lina kera...
15 Reactions
97 Replies
9K Views
Hv ninavyoandika hapa hilo (waliloligeuza Dampo kienyeji) linaungua kuanzia saa 10 alhasiri yani ni 'Mimoshi' kwa kwenda Mbele mpk sasa waathirika zaidi n nyumba zilizokaribun na hapo nk...
1 Reactions
0 Replies
373 Views
Habari zenu Wanajamii Forums, juzi kati niliona kuna Mdau ameandika kuhusu suala la uzoaji taka nami nina kero, nimeona nitumie jukwaa hili la Fichua uovu kufikisha ujumbe huu ili mamlaka zichukue...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Kero yangu kubwa ambayo naomba jamii itambue ni kuwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ni kwamba Soko la Karume tunachanga michango mingi kama pesa ya usafi na ulinzi lakini hutujawahi ona...
0 Reactions
2 Replies
794 Views
Anonymous
Sisi watumishi ajira mpya kutoka maeneo tofauti tumeshirikiana kuandika andiko hili kuhusu malipo ya fedha za kujikimu ambayo yamekuwa kizungumkuti kwetu, lengo ni mamlaka zipate kujua...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari wana JF? Niende moja kwa moja kwenye mada. Kumekuwa na upigaji katika mradi wa maji mtaa wa Miwale kata ya Pangani wilaya ya Kibaha Mjini mkoa wa Pwani ambapo miaka kama minne iliyopita...
0 Reactions
0 Replies
565 Views
Anonymous
Wakuu, hii Nchi ya ovyo sana, Kuna wajinga wanapopewa nafasi huwa wanageuka kuwa Miungu watu. Jana tarehe 4/10/2023 Kijiji Cha Kazuramimba, Wilayani Uvinza kulitokea vurugu baina ya Polisi na...
13 Reactions
168 Replies
9K Views
Anonymous
Nimelazimika kuandika hiki ninachokiandika kwa kuwa nimeona ukimya wangu unaweza kuja "kuli-cost" Taifa baadaye na mimi nikaonekana kama sikukitendea vema kizazi changu. Naweza kusema nimesoma...
10 Reactions
10 Replies
1K Views
Anonymous
Ni miaka takribani sita tangu mradi wa umeme kwenye baadhi ya vijiji vya kata za Kagoma wilayani Muleba upite lakini wananchi walio wengi mpaka sasa hawajaunganishiwa umeme. Vijiji vilivyoathirika...
0 Reactions
0 Replies
283 Views
Anonymous
Nina malalamiko yangu kuhusu Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET). Kuna watu tupo wengi tuliomba tubadilishiwe matokeo ya Chuo kwa makosa ya kibinadamu katika...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Anonymous
Kwenye mradi wa SGR huku tunapojenga Reli ya Mwendokasi, hadi kufikia Septemba 2023, imetimia miezi 9 pasipo Mkandarasi wa Mradi Yapi Merkezi kutuingizia malipo yetu katika akaunti za Mfuko wa...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Anonymous
Mazingira hayako vizri yaani vibarua wanaingia saa 2 ASUBUHI na wanatoka 2 usiku Ili hali wanafnya kazi katika mazingira hatarishi. Hamna vifaa vya kujikinga na hewa chafu mule NDANI, hamna hata...
0 Reactions
2 Replies
894 Views
Kuna hii Zahanati ya Serikali ipo Mburahati hapa Dar es Salaam, inafahamika zaidi kwa jina la Zahanati ya Mianzini, kiukweli huduma zao ni mbovu sana hasa kwa hawa mama zetu Wajawazito. Awali...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habarini wakuu, Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nipo maeneo ya bunda,mkoani Mara. Ijumaa iliyopita tarehe nilipata mwaliko kuhudhuria kikao cha wazazi na walimu katika...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Anonymous
Katika mji wa Tukuyu-wilaya ya Rungwe mkoa wa Mbeya kumekuwa na mgao wa upendeleo kwani kuna mitaa inakosa maji kwa miezi kadhaa na bill tunakula. Mfano mtaa wa Tanesco Power Station- chini...
0 Reactions
0 Replies
685 Views
Back
Top Bottom