Kichwa cha mada chahusika hapo juu. Usaili wa mahojiano wa nafasi tajwa hapo uliofanyika leo tarehe 08/09/2022 umegubikwa na vitendo vya udanganyifu. Maswali yote sita ya nafasi tajwa juu hapo...
Habari zenu wadau.
Bila shaka mpo poa aisee, mimi sitochoka kuongea tafadhari ebu wizara husika kupitia vyombo kama PCCB piteni kwenye ma halmashauri ya wilaya mkague pesa za kujikimu.
Tunapitia...
Wilaya ya Uyui inalazimisha waalimu kuchangia michango ya Mwenge na Mwalimu asiyechangia wanamuwajibisha. Pia, imesisitiza Walimu na Wanafunzi kuwepo shuleni kipindi chote cha mpumziko mafupi kwa...
Nchi ilipofikia unafokewa hadi na customer care. Bongo now kila mtu boss, wafanyakazi DAWASCO kuna shida gani ya maji mwanarugali hadi mwenzi unapita hamna maji, ukiwapigia wanasema mpigie Aweso...
Sisi Wananchi wa Mtaa wa Agape, Kata ya Muriet Mkoani Arusha tuna changamoto ya kukosa maji kwa muda wa miezi miwili sasa.
Licha ya kufanya jitihada za kuwasiliana na mamlaka ya Maji (AUWSA)...
Ujenzi wa Reli ya Kisasa ya Standard Gauge Railway “SGR” kutoka Dar es Salaam hadi Mwanza unaendelea ukiwa na jumla ya Kilometa 1,219, bado kuna mambo kadhaa hayaendi sawa.
Licha ya Serikali ya...
Habari za leo ndugu zangu?
Kwa miezi kadhaa sasa, wananchi wengi wa Kibaha wanaoomba kuunganishiwa maji kwa mara ya kwanza (wateja wapya) hawajaweza kupata huduma hiyo.
DAWASA Kibaha wanapokea...
Habari,
Nimejaribu sana kufuatilia na kugundua sana sehemu ya Mwananyamala kumejaa sana wakimbizi au Malawi au wamalawi wengi wano ishi bila ya kua na vibari.
Sijajua Uhamiaji wanafanya kazi...
Tanzania hakuna uraia wa nchi mbili lakini naona kama wageni wanaomiliki Pasipoti za Tanzania na za mataifa mengine wamekuwa wengi Sana.
Sikukuu za mwisho wa mwaka nilikuwa South kwa mwaliko wa...
Salam!
Huduma ya kupata TOKEN za maji uliyonunua kwa njia ya mtandao ni shida.
Unanunua maji ni kama una bet, inaweza usipate sms ya token, na ikirudi huchukuwa masaa.
Kupiga huduma kwa wateja...
Muonekano wa sehemu ya Dampo Bakhresa ulivyo wakati wa msimu huu wa kiangazi.
Miaka zaidi ya 10 iliyopita wamiliki wa Makampuni ya Bakhresa, walifika katika Kata ya Vikindu, Wilaya ya Mkuranga...
Juni 2023 (sikumbuki tarehe rasmi) Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ilitoa taarifa kuwa hadi kufikia Desemba 31, 2023 kila mtu mzima Nchini Tanzania anatakiwa kuwa na Namba ya Mlipa Kodi (TIN)...
Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira Masasi, Nachingwea(MANAWASA) ni taasis ya serikali kama taasis nyingine lakini ni taasis ambayo inaendeshwa kwa matakwa ya mtu mmoja tuu ambaye ni...
OCD bunda kuna danguro linalotumia mwamvuli kama Baa maeneo ya uswahilini Bunda,hapa ndipo waporaji wa maeneo mbalimbali ya mkoa wa mara wanapokutana na kuratibu mipango yao yote ya jinsi ya...
Baadhi ya Wafanyakazi hao katika Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR), leo Agosti 17, 2023 wameendeleza mgomo wao wakishinikiza malipo yao kutoka kwa Mkandarasi Kampuni ya Yapi Merkezi.
Sehemu...
Kuna jambo limetokea linahusu rushwa, sijajua kwa sababu zipi halitangaziwi au halitajwi hadharani, inawezekana kuna bado mamlaka zipo kazini au inawezekana pia kuna vitu havipo sawa.
Hapa kwetu...
Nianze kwa kusema ukweli kwamba Waziri Juma Aweso, Anafanya kazi kubwa ya kuhakikisha kwamba Tanzania tatizo la maji linakwisha lakini naamini watendaji wake ndio wanaomkwamisha.
Ni miezi mitatu...
Madaktari naomba niwaulize, kwani miwani sio matibabu ya macho? Kama uono wako unategemea miwani na usipovaa sio tu kwamba huoni bali unaumwa sana na kichwa, kwanini sasa NHIF wanagoma kulipia...
Hii ni Shule ya Msingi Shungubweni, ipo Tarafa na Kata ya Shungubweni, Wilaya ya Mkuranga katika Mkoa wa Pwani.
Kama inavyoonekana hapo ndani haikidhi kabisa kwa matumizi ya Wanafunzi kwa kuwa...
Wakati Watanzania, Wana-Afrika Mashariki na Afrika nzima wakiendelea kutazama kuhusu ujenzi wa Reli ya Kisasa ya Standard Gauge Railway maarufu kwa jina la SGR kutoka Dar es salaam hadi Mwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.