Kikao cha dharura kati EWURA na waagizaji wa mafuta hakijafua dafu baada ya kutawaliwa na shutuma dhidi ya mkurugenzi wa EWURA na waziri wa nishati na jinsi wanavyojaribu mfumo mzima wa bulk...
Bora niseme na jamii ijue kinachoendelea, taarifa ni kuwa kuna taarifa za watu kuuawa kwa sumu katika Kijiji cha Nakatuba, Wilaya ya Bunda Mkoa wa Mara.
Pia kuna matukio yameshamiri yakihusisha...
Jana tarehe 25/1/2022 wazazi wenye watoto Shule ya Msingi Magu walikuwa na kikao ambacho kiliitishwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Shule kwa taarifa kupitia kwa watoto.
Kikao kilihudhuriwa na wazazi...
Katika Mji wa Bariadi Makao makuu ya Mkoa wa Simiyu, mapema Leo Asubuhi kumekumbwa na Changamoto ya upatikanaji wa Mafuta ya Petroli.
Nimetembelea vituo vya Mafuta 8 ambavyo vimekuwa vikitoa...
Ingekuwa ni amri yangu; huyu Afisa Elimu Taaluma (W) Magu angeondolewa mara moja kwa sababu ni mla rushwa aliyekithiri na ayependelea waalimu wa kabila lake (Wajita).
Amekula fedha kwa walimu...
Mkuu wa Kitengo cha Rasilimali watu Benki ya Maendeleo ya Kilimo Noelah Ntukamazina anashirikiana na afisa mwandamizi wa rasilimali watu Abraham Mwakasungula kupata fedha kwenye taasisi ya...
NIMEKUWA nikiliona hili jambo kwa muda mrefu, nikaamua leo niliweke hapa pengine na wewe uliwahi kuliona lakini kama ukaona freshi tu.
Ukipita Morogoro Road, njia ambayo mabasi ya mwendokasi...
Wazee nendeni Shule ya Msingi Tumaini, ipo Kata ya Kimanga, Dar es Salaam kila siku kila Mwanafunzi wa Darasa la Saba anatakiwa atoe mchango Tsh. 800 na kwa siku ya Alhamisi wanachangishwa Tsh...
Moja kwa moja kwenye hoja kuu. Hapa wilayani Ngara mkoani kagera hakuna mafuta aina ya petrol Leo siku ya nne. Wilaya hii Ina vituo vya mafuta takriban vinane vya mafuta. Lakini Kati ya hivyo...
Wanajamii nimekuwa napita karibu kila siku barabara kuu ya Nyerere inayotoka Mwanza kuelekea Musoma. Ukifika eneo la Kisesa Isangijo kuna kiwanda kinachakata samaki.
Inasemekana mmiliki ni Lameck...
Zipo taarifa zisizo rasmi Mbowe na Lisu nao wanatafutwa kukamatwa kwa kosa la kukosoa uingiwaji wa Mkataba ule wa Bandari na kutoa kauli za kumtweza bi chaunabe.
Je, taarifa hizo zina ukweli wowote?
Ndugu wanajamvi Habari za muda huu,
Nilifungua kesi polisi Igogo Mwanza na hii ni wiki ya tatu mtuhumiwa wangu hajakamatwa, mtuhumiwa amezidi kunitesa na kuniwinda njiani usiku ninapotoka kazini...
Leo mida ya jioni nilikuwa Bochi hospitali, wakati nikiwa kwenye foleni ya kuingia kwa daktari ambayo tayari imeshanichosha kutokana na foleni kuwa kubwa na kucheleweshewa huduma kwa mlolongo...
App ya tiketi mtandao ilizinduliwa ili kumsaidia abiria kuchagua basi, kuchagua siti na kulipa nauli moja kwa moja mtandaoni yeye mwenyewe bila kusumbuka kupiga simu au kwenda kwa makampuni ya...
Makundi ya tembo yanataabisha wanakijiji hawa, ni hatari kubwa, hakuna kulala, ni kukesha, na mchana yapo, hata mda huu wa saa nne usiku nasikia mavuvuzela na kupiga madebe kuyasogeza
Maafisa wa...
Mkandarasi wa barabara ya Tarime Mjini - Nyamongo awe makini baada ya kurundika kokoto barabarani, sasa wananchi wanazichota usiku kwenda kujengea majumbani kwao.
Mkandarasi na Jeshi la Polisi...
Pikipiki sasa zinakokotwa kama baiskeli, bodaboda wahaha! Bei yapaa kwa wauzaji wa videbe.
Inasemekana kuna mgomo wa wamiliki wa vituo vya mafuta. Hawaridhiki na bei ya sasa.
Vipi hali ya...
Tena akiwa na Matamasha yake Makubwa ( hasa ya Mkesha ) huwa anawaambia Watu wa NHC Wanaoendelea na Ujenzi wa Nyumba za Samia Housing Scheme kuwa anaomba abomoe Kuta na akimaliza anawaambia...
Leo majira ya asubuhi hapa Wilayani Sengerema mkoani mwanza tulialikwa kwenye kikao cha watu kutoka TANROADS Mwanza wakielezea kuhusu mradi wa barabara ya Sengerema Buchosa agenda zao zilisema...
Kampuni ya Ardhisol ni moja ya kampuni zinazofanya shughuli za upimaji wa maeneo!
Hawa jamaa wamekuwa wakizunguka kwa wananchi na kuwashawishi wawape viwanja kwa ajili ya kuvipima, na wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.