Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Hii ni taarifa ambayo si ya kupuuzwa hata chembe, mambo yenu ya kuitisha Mkutano wa hadhara ili kuelimisha umma kuhusu Mkataba wa kutia aibu wa Mauzo ya Bandari haujawafurahisha madalali na wako...
10 Reactions
16 Replies
2K Views
Sisi wazazi tunaosomesha watoto wetu shule ya sekondari Venance Mabeyo tulikaa kikao cha wazazi na kukubaliana kila mzazi kuchangia limu moja kwa kila mtoto ili kufanikisha zoezi la ufundishaji...
1 Reactions
12 Replies
937 Views
Wilayani Nansio vituo vyote vya mafuta havina mafuta, Rais Samia ametulia tu. Hii nchi sasa imeelekea kufeli tena big big failure.
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Habarini wanajamvi, Leo kuna gari Moja ndogo ya abiria (hiace)imegonga watoto wawili wa shule na kuwaua karibu na sheli moja hivi. Sasa kuanzia asubuhi wananzengo wamefunga Barabara zote kuu...
13 Reactions
55 Replies
5K Views
Habarini, naleta taarifa hii kwa masikitiko makubwa sana... Mashine ya CT SCAN katika hospitali ya Mloganzila ni mbovu takribani mwezi mmoja na nusu na hali ni mbaya, wagonjwa wengine inawapasa...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Kama kawaida Kituo cha Mbezi Luis maarufu kwa jina la Mbezi Mwisho, leo tena Agosti 11, 2023 hakuna mwanga, giza limetawala na kusababisha usumbufu mkubwa wa watumiaji. Hii sio mara ya kwanza...
4 Reactions
9 Replies
967 Views
Sakata la Chuo Kikuu cha Iringa roho za Watanzania zinateseka katika hicho chuo, kwanza hakilipi mishahara kwa wakati matokeo yake Watumishi wasio waadilifu ikiwepo Ofisi ya Uhasibu wanatengeneza...
1 Reactions
2 Replies
997 Views
Kwema Wakuu, Hapa mtaani nilipo kuna ka binti kamemaliza Form4 na majibu ndio yametoka siku chache zilizopita. Shule aliyomaliza inaitwa Mikocheni Sekondari, na ilipo ni njia ya Kawe (Old...
9 Reactions
62 Replies
3K Views
Naam, habari zenu wanajukwaa. Kama ambavyo kichwa cha habari kinavyojionesha hapo juu, ni hivi kumekuwa na biashara ya ukahaba ambayo imekuwa iliendelea katika viwanja vya shule ya sekondari ya...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Mh.Rais mama SSH heshma yako mama yangu(Shikamoo). Binafsi mimi na wananchi wenzangu tumekuwa tukifuatilia kwa muda mrefu kupata huduma ya maji pasipo mafanikio yeyote. Kwanza Mh. Rais naomba...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Mkoa wa Morogoro wilaya za Malinyi ,Ifakara, Mahenge, Kilosa na Mvomero hakuna mafuta ya petrol wiki sasa, imefika tunashangaa hakuna tamko serikalini. Hii imeleta usumbufu mkubwa sana kwa...
0 Reactions
9 Replies
929 Views
Tangu kampuni ya ulinzi ya SUMA JKT itolewe kufanya kazi Kigamboni Ferry, kumekuwa na usumbufu mkubwa na sina shaka kukosekana kwa mapato kutokana na mfumo mbovu wa hii kampuni binafsi ya ulinzi...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari za mda huu, Tunapenda kutoa Malalamiko yetu sisi wafanyakazi na viongozi wa wafanyakazi, (sababu hatuna sehemu ya kwenda kusemea, kwani kila sehemu DAWASA imeweka mkono wake na kuzuia...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Traffic wilaya ya Sengerema wanatakiwa wazinagatie taratibu za kazi zao badala ya kuwakomoa hasa wenye private cars. Siku moja nilisafiri kuelekea Geita kupitia Busisi. Nimevuka kivuko salama na...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
TANESCO ilisema imeondoa service line lakini Cha kushangaza nimenunua umeme kwa miezi miwili wananikata Tsh. 6000, sijajua shida Nini, Ina maana siku hizi TANESCO haifuati miongozo ya wizara...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Jamii Forums naomba muwafikishie taarifa kwa Mkurugenzi wa EWURA kuwa wiki ya tatu hatuna mafuta ya Petrol katika Wilaya ya Kyela Mkoa wa Mbeya. Nauli zimeanza kupanda, sehemu yakwenda kwa buku...
1 Reactions
4 Replies
966 Views
Idara ya biashara ni changamoto ikiongozwa na huyu afisa biashara Giyola Chang’a. Hakuna Kinachoshindikana ndani ya idara biashara kama una hela mkononi. UKiwa hauna tax clearance, adi...
0 Reactions
0 Replies
806 Views
Huduma yeyote ile inayoiwezesha jamii husika kupata huduma nyingine, ikicheleweshwa kwa jamii, Maendeleo kwenye nchi huwa yanachelewa au yanaenda Taratibu. NARUDIA! "Huduma yeyote ile...
1 Reactions
2 Replies
692 Views
Habari. Mimi ni Safari Guide, nina Kero kubwa sana kuhusu Traffic Police wa Arusha. Wamekuwa wakisimamisha magari ya watalii kila mahali hawajali kama umebeba wageni au la, waanza kuomba leseni...
6 Reactions
10 Replies
1K Views
Jeshi la Uhamiaji Tanzania tunawashukuru kwa kazi nzuri, tunaomba msaada huku Bukoba Mjini, kuna jamaa mmoja raia wa Uganda anaishi Mtaa wa Kagondo, aliua mtu kwa kumchoma na moto, jamaa huyo ni...
0 Reactions
9 Replies
916 Views
Back
Top Bottom