Wakazi wa pacha ya MBAE, MBAE NA MJIMWEMA tunateseka na vumbi kwa sababu ya barabara ni mbovu mno halafu hiyo barabara ni muhimu sana Kwa wanafunzi wa chuo cha TIA wanaokaribia kurudi mwezi wa...
Huku kwetu mtaa ya Mbezi ya Chini (Mbezi Chini) kuna changamoto moja ambayo imekuwa kero kwa watu wengi kuhusu uzoaji taka.
Iko hivi, mamlaka za Serikali za Mtaa za mitaa ya Mbezi Chini, Afrikana...
Wakuu DAWASA leo naomba kuwafikishia malalamiko yangu kuhusu ubovu wa huduma zenu. Kuna shida ya Maji katika mitaa ya Tabata hasa kuanzia Posta kuelekea Segerea, Takriban Wiki 2 sasa Maji hayatoki...
Picha ya kwanza chumba cha wahudumu
picha ya pili Wodi ya wagonjwa
Pia Soma = Inasikitisha: Hali ya miundombinu baadhi ya majengo Hospitali ya Mnazi Mmoja, Unguja, Zanzibar
Inashangaza kwa hospital kama hiyo kuwa na wahudumu wababaishaji ambao wanatengeneza mazingira ya rushwa kwa kila namna. Next time nitawataja kwa majina msipojitekebisha.
Mtu anaenda na kadi ya...
Leo tarehe 01/07/2023, nilienda kutembelea shule ya sekondari yenye kidato cha I-vi Nasibugani high school , shule hii ipo tarafa ya Kisiju, kata ya Msonga halmashauri ya wilaya ya Mkuranga mkoani...
Shule hii kidato Cha I-VI, shule imepelekewa wanafunzi 400+ wa kidato cha tano huku hakuna miundombinu inayotosheleza kupokea idadi hiyo ya wanafunzi.
Shule ni kama imetelekezwa hakuna anayejali...
Kuna kitu kinaendelea Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) baadhi ya Wanafunzi wanaolipiwa hela na mkopo na Bodi ya Mikopo (HESLB) wamefungiwa matokeo yao na chuo kwa madai Bodi haijaingiza pesa za ada...
Sisi Watarajali (Interns) wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro (Hospitali ya Mawenzi) tunapitia katika changamoto zenye kuleta ugumu mkubwa katika maisha yetu ya kulitumikia Taifa katika...
Ndugu Wana jf, Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na ofisi ya rais Tamisemi,
Ninapenda kuanika ufisadi mkubwa unaofanywa na Medical officer incharge bwana Charles conorady ktk idara...
Watumishi na Wanahisa waliofungiwa ndani ya Kiwanda cha NPC KIUTA kutokana na mgogoro unaoendelea.
Wafanyakazi wa Kiwanda cha Uchapaji cha Taifa au NPC National Printing Company Limited (KIUTA)...
Rejea kichwa hapo juu, kwa niaba ya Freelancers wote Tanzania wanaofanya kazi chini ya Tigo Tanzania inayoendeshwa na kampuni mama Honora Tanzania PLC pamoja na kampuni shirika zinazosimamia...
Nianze kwa kusema kuwa inawezekana matumizi sahihi ya tiketi zinazotumika katika Kivuko cha Busisi - Kigongo Ferry Mkoani Mwanza hayapo sawa au kuna watu wachache wanatengeneza mazingira ya...
Binti wa miaka 16 anaitwa Recho, yuko kijiji cha NITU, wilaya ya LAELA, Mkoa wa Rukwa.
Ameozeshwa kwa kulazimishwa na wazazi wake pamoja na kaka zake, ambao wamechukua mahari ya shilingi 700,000...
Mkuu wa Usalama wa taifa Wilaya ya Singida, Joseph Komba, anadaiwa kunyanyasa sana Askari wadogo kwa sababu inayodaiwa yupo karibu na OCD na mshauri wa Mugambo wa Wilaya.
Pia inadaiwa amekuwa...
Wagonjwa na ndugu zao wanaingizwa gharama za ziada zisizo na ulazima. Mgonjwa wangu ametoka kanda ya ziwa amefika Muhimbili wiki 2 zilizopita, hadi leo hakuna huduma yoyote ya kibingwa...
Takribani mwezi Sasa wananchi wa Mtaa wa Losirway uliopo Kata ya Moshono Jijini Arusha hawajapata maji. Hali hii imepelekea kuwepo kwa malalamiko mengi kutoka wa wananchi wa Mtaa huo.
Pamoja na...
Ndg Wana jamvi,
Kumekuwa na malalamiko mengi kwa mabasi na magari mengi yanayo pita njia hii ya SEGERA Chalinze kutokana usumbufu wa Polisi huyu.
Anatuhumiwa kwa kulazimisha kupewa rushwa na...
Habari Watanzania,
Nawasalimu kwa jina la muungano..
Nina kero yangu haswa kwa shule za advance wanaopokea kidato cha tano Walimu wakuu wanachukua maamuzi ya kukataa kumpokea Mtoto ikiwa tu...
Mwaka 2020 Kijiji cha Shungubweni, Wilayani Mkuranga Mkoani Pwani, sisi Wananchi wa Wilaya kwa kushirikiana na Mbunge wetu Abdallah Ulega tuliwasilisha maombi ya kujengewa Chuo cha Ufundi Stadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.