Upunguzwaji wa Mabebewa kiholela kwenye Treni ya Mwakyembe (Tazara - Mwakanga) ni kero kubwa kwa abiria, inajaza kupita kiasi na kuhatarisha Usalama wa abiria.
Imekuwa hatari pia kwa magonjwa ya...
Desemba 24, 2010: Aliyekuwa Meneja Uhusiano wa TANESCO, Badra Masoud, alitangaza kuanza kwa Mgawo Mkali wa Siku 30 nchi nzima na kuahidi utaisha Januari 2011
Machi 2011: Aliyekuwa Meneja Uhusiano...
Kuna tukio limetokea kwenye familia yetu hivi karibuni (Februari hii 2024), baada ya kufikiria nikaona ni vema nishee na watu ili pengine inaweza kuwa sehemu ya kuiamsha Serikali na Jamii kwa...
Nikiwa mmoja ya vijana walio katika program ya BBT LIFE iliyo chini ya wizara ya Mifugo na uvuvi napenda kusema haya nikiwa na uchungu wenye kuumiza, Vijana wenu mnawatumia kisiasa.
Kwanini...
Nawapa alarm TAKUKURU, Halmashauri ya Mji wa Kibaha mkoa wa Pwani inanuka wizi wa fedha za wananchi kupitia urasimishaji wa makazi na upimaji wa viwanja katika kata mbalimbali ndani ya Mji wa...
Sisi wakazi wa Isyesye iliyoko mkoa wa Mbeya tunashida moja na TANESCO, hatukatai kuna mgawo wa umeme lakini kuna kero moja inayotukwaza sana wananchi: Umeme umewekwa kwa zamu lakini cha...
Kwa siku za hivi karibuni kumekuwepo na viashiria vya wauzaji wa nyama wengi mkoani Kagera hususani Manispaa ya Bukoba kutumia dawa mbalimbali kupulizia nyama ili kuepusha nzi wasisogelee pamoja...
Siku chache baada ya kutitia kwa Mgodi ya dhahabu wa Ikinabushu, Wilaya ya Bariadi Mkoani na kusababisha vifo vya wachimbaji 22, kuna mapya yameibuka ambayo ni nyuma ya pazia ya kilichotokea kabla...
Mamlaka husika waje walitazame usalama wa daraja dogo linalounganisha mawasiliano kutoka Boko Magengeni na Bulumawe linalopatika Kata ya Bunju ambalo lipo hatarini kubomoka kutokana na mvua kubwa...
Habari za muda tena, heri ya siku ya mapinduzi.
Moja kwa moja kwenye mada, jana nikiwa katika harakati za kutafuta mkate wa siku muda wa saa 4 asubuhi nilianza kuhisi maumivu jicho la kulia kadri...
Naomba tufikishie kilio chetu sisi maagent wafanyakazi wa TRA ukienda floor namba 10 utakuta foleni kama wanangoja mwendokasi kupata huduma, wakati kuna mfumo upo kwa system ingesaidia kumaliza...
Kuna kampuni inaitwa SUMA JKT ni wababaishaji sana.
Katika Bandari ya Tanga wanalipa vibarua kwa mateso, vibarua hawalipwi kwa wakati pesa zao.
Kingine pesa za PSSSF; mtu pesa alioingiza kwa...
Eneo la Kawe katika Kituo cha Daladala cha Maringo kuna hali ambayo imekuwa ikinikera kwa muda mrefu, mitaro inayopotisha maji inazibwa kwa makusudu kwa kutumia viroba na vijana wanaofanya...
Habari Wakuu?
Nimepita Mitaa ya Mikocheni leo na kukuta Kituo cha Mafuta cha Barrel kilichopo Mikocheni kinaendelea kufanya kazi ikiwa ni takriban mwezi mmoja tangu Waziri wa Ardhi, Nyumba na...
Mimi ni mkazi wa Mwanza, Wilaya ya Ilemela naomba msaada kwa mamlaka zinazohusika kuhusu ndugu yetu.
Kuna ile habari ya yule kijana aliyekamatwa Namtumbo (Ruvuma) kwa kosa la kuhubiri watu...
Mimi ni mdau niliye ndani ya Chuo cha Maendeleo ya Wananchi (FDC SAME)
Kumekuwa na changamoto ya Mkuu wa Chuo kutopenda kuhojiwa kuhusiana na masuala ya matumizi ya fedha.
Hali hiyo imesababisha...
Kwa mara nyingine tena, Jeshi la Polisi Mkoani Simiyu linatuhumiwa kuhusika katika kifo cha Mwananchi aliyekamatwa na Askari Polisi kisha kudaiwa kumpiga na kumsababishia maumivu makali na...
Ni mara nyingi nimeona haya magari ya wanaokusanya taka mitaani, na wale wanaopitia taka majumbani wakifanya kazi zao katika mazingira hatarishi yasiyojali afya ya ya watu wale.
Wamekuwa wakizoa...
Kuna vitu vinaumiza na kukera sana kwenye jiji la Dar es Salaam. Hali ya Masoko yake ni mbaya mno, ni ajabu sana kuamini Masoko haya yapo Dar es Salaam, sehemu inayoongoza kwa makusanyo nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.