Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Anonymous
Vyoo vya Umma vya eneo la Mapokezi ya Hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya ni vichafu havifai kuwa eneo kama la Hospitali kubwa ya umma. Huku ni kurudisha nyuma jitihada za Rais Samia anayekosa...
2 Reactions
8 Replies
821 Views
Ukweli kwa sasa ni huu, Kutokana na dunia kuwa na mvua chache, na ukanda wa Afrika pia kuathiriwa ni vyema sasa mazao yafuatayo yawekewe zuio la kuuzwa nje ya nchi ili kujihakikishia usalama wa...
3 Reactions
61 Replies
3K Views
Madereva wa mabasi ya mikoani pamoja na Costa hasa zile zinazofanya safari zake Moshi - Arusha wametishia kugoma kwa kile kinachodaiwa ni miundombinu mibovu iliyopo Stendi ya Bomang'ombe hasa...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Wilaya ya Pangani, Kijiji cha Ushongo Mtoni kumekuwa na taka hatarishi za hospitali zinazoonekana ufukweni. Wanakijiji wameshuhudia Drip, Sindano na chupa za dawa mbalimbali ufukweni. Kuna...
0 Reactions
5 Replies
578 Views
Hospitali ya Malolo (Reginal level) Wafanyakazi hawajalipwa mishahara tokea December 2023(Majority) huku wachache hawajakamilishiwa mishahara ya mwezi November. Uongozi wanasema NHIF hawajalipa...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Anonymous
Kuna mazingira ambayo ni kama utapeli unaofanywa na Vijana wanaoendesha Bodaboda wakati wa usiku maeneo mengi ya Dar es Salaam wakati wa kurudisha chenji. Kuna siku nilitoa Tsh. 10,000 baada ya...
15 Reactions
37 Replies
4K Views
Video credit: EATV Familia yaomba Serikali kuwasaidia kupata haki ya mtoto wao ambae wanadai amelawitiwa shuleni. Wazazi wadai Serikali ya Mtaa na kituo cha polisi hakiwapi ushirikiano...
11 Reactions
98 Replies
6K Views
Moja ya mujukumu ya Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali, imekuwa ni kutoa vitambulisho kwa waandishi wa Habari (PRESS CARD). Kwa muda mrefu sasa, ili Mwandishi wa Habari hasa wale wa Mikoa tofauti...
2 Reactions
7 Replies
887 Views
Natambua kuwa nia ya serikali kuanzisha mfuko huu ilikuwa ni kuwapunguzia makali ya umasikini baadhi ya wananchi wasio na vipato kabisa. Kundi hili ni la wazee, yatima, walemavu, nk. Utafiti...
2 Reactions
3 Replies
492 Views
Hospitali ya Ekenywa wanalazimisha wateja wa Bima hasa NHIF kununua dawa kwao. Ukienda kutibiwa wanakwambia hii dawa haipo kwenye bima; ukienda Kwa mfamasia ukimuomba akuandikie jina la dawa...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Anonymous
Wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Kwenda kwa: Makamu Mkuu wa Chuo Chuo Kikuu Huria cha Tanzania YAH: MALALAMIKO YETU WANAFUNZI KUHUSU MATOKEO Husika na kichwa cha habari Sisi ni...
6 Reactions
18 Replies
4K Views
Ni ajabu ila ni kweli. Bohari ya Dawa (MSD) ambayo ipo chini ya Wizara ya Afya ambayo Waziri wake ni Ummy Mwalimu ilikabidhiwa uendeshaji wa Kiwanda cha Dawa cha Keko na Msajili wa Hazina mwaka...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
Kwa niaba ya wanafunzi waliohitimu kozi zote za afya ngazi ya cheti na diploma nchini toka kwenye vyuo vilivyosajiliwa ambavyo vipo chini ya baraza la elimu na mafunzo ya ufundi(NACTVET) hadi leo...
2 Reactions
3 Replies
558 Views
Naitwa Janeth Shayo, mkazi wa Uru, Moshi. Naomba unisaidie kupaza sauti mwanangu Jonathan Makanyaga (07) mwanafunzi wa darasa la kwanza shule ya msingi Mrupanga, ameuawa kwa kupigwa na Mwalimu...
68 Reactions
494 Replies
22K Views
Hapa gari ndogo haiwezi kupita maana itaharibika kabisa. Mkandarasi kama huyu inakuwaje anapewaa kazi na kuharibu barabara. Any way mzee baba alishaondoka acha mjipigie tu.
6 Reactions
15 Replies
792 Views
Kumekuwa na tabia ya hovyo sana inayofanywa na madereva pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa mabasi ya Mwendokasi, hasa katika vituo vikuu vya Kivukoni na Gerezani nyakati za jioni ambapo foleni ya...
3 Reactions
53 Replies
3K Views
Anonymous
Mimi ni mmoja wa Madaktari Wanafunzi ambao tulikuwa tunajifunza kwa vitendo kwa muda wa mwaka mmoja katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa (Kitete) iliyopo Tabora. Moja ya changamoto ambayo tulikutana...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ni mmoja wa Wafanyakazi katika Kampuni ya Magazeti ya Serikali Tanzania (TSN) inayojihusisha na uchapaji wa magazeti ya Habari Leo, Daily News na Spoti Leo, bila kuzunguka sana utaratibu...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Nikiwa kama raia mwema na mtumishi wa Kanisa Katoliki lililopo Sinza nimeona sio vema nami nikae kimya wakati kila wiki naenda Kanisani kumuomba Mungu kisha niache familia iteseke wakati nina...
16 Reactions
96 Replies
6K Views
Back
Top Bottom