Wachina wamehamisha kabisa vifaa vyao. Je fate ya barabara hiyo ni ipi?
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, take action please, tatizo ni nini? basi waje wairudishe kama ilivyokuwa maana ni...
Mimi ni Mtanzania ninayeishi Marekani, kuna Mtanzania mwenzetu mbaye alikuja kama Mwanafunzi hapa, sijui vizuri kuhusu historia yake huko nyuma.
Miaka kadhaa iliyopita alipata changamoto ya Afya...
Mama Samia , Katika halmashauri iliyojaa wizi ni hii, bahati mbaya sana janja janja hutengenezwa na kupewa Hati safi.
Nendeni mjionee ni nyumbani Kwa Mwl Nyerere lakini majizi hayana Aibu ...
Mimi ni Mkazi wa Kibaha Maili Moja, Mtaa unaoitwa Muheza, tangu Mwaka 2020 sisi Wakazi wa huku tulilipishwa kiasi cha Shilingi 150,000 kwa ajii ya kupimiwa viwanja vyetu lakini hadi sasa Agosti...
Hospitali ya Massana ambayo ipo mitaa ya Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam ipo mbioni kufilisika au kufa kabisa kutokana na zoezi la Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuchukua fedha kwenye Akaunti...
Salamu kwenu nyote.
Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye uwezo wa kuiga na kupanga mambo mazuri sana, ikiwemo sera na kuweka mikakati ya uwanzishwaji wa mambo ya kimaendeleo. Hali kadhalika ni...
Kila nikipita hapa soko la Karume huwa nashangaa sana jinsi kundi kubwa la wamachinga wanavyofanya biashara zao chini ya nyaya kubwa za umeme bila hofu yoyote, sehemu nyingi ambapo naona kuna...
Baada ya kustaafu, mzee huyu kwasasa anaishi mkoani Morogoro. Moja ya madoido yake katika uzee wake ni kuchomoa hadharani silaha yake ya moto (bastola) kila anapokerwa na mtu.
Miongoni mwa...
Hospitali ya Aga Khan wanataka kutoza Shilingi 6,000,000/= kwa huduma za kujifungua kwa njia ya upasuaji wakati Hospitali nyingine zenye hadhi sawa ya rufaa ya Kanda wanatoza kiasi cha Shilingi...
Muonekano wa milango ya kituo cha afya Bulige baada ya kung'olewa na mafundi ambao wanadai haki zao kwa muda mrefu ambapo mafundi hao wanataka kuuziwa nyumba kutokana na mikopo waliochukua kwa...
Kamati ya Olympiki ya Kimataifa (IOC) hutoa ruzuku kwa wanachama wake wote duniani wajulikanao kama (NOC) yaani National Olympic Committees kwa kila nchi ambayo inashiriki mashindano ya Olimpiki...
Kwanini wahusika wa miondo mbinu nyingi ya mwendokasi imewaacha mama ntilie na wauza chips wanaofanya kazi pembezoni ama karibu na miundombinu hii wamwage maji machafu na mataka taka kwenye mitaro...
Habar Wana jamvi,
Wiki iliyopita nilipata wasaa wakutembelea kwetu Kijijini nikiwa kule Kijijini nilipata nafasi yakuzungumza na watu wa makundi mbalimbali, Wazee, Vijana ndugu na marafiki...
Hii nchi inazidi kuoza tu hii imenisikitisha sana
MJAMZITO AFARIKI KATIKA MAZINGIRA YA UTATA KITUO CHA AFYA MBEZI YA KIMARA, DAR ES SALAAM!
Mpendwa Baba Askofu Mwamakula!
Ndugu yetu Elizabeth...
Wafanyabiashara wadogo walioondolewa pembezoni mwa barabara Mwaka 2022 na kupelekwa katika eneo la Kata ya Majengo ilipokuwa Stendi ya Zamani ya Halmashauri ya Mji wa Tunduma Mkoani Songwe...
Wakuu,
Nane-Nane ya Mwaka huu imegubwikwa na ufisadi wa hali ya juu hususani katikamaandalizi yake. Hii yangu inakuja kama muendelezo wa kile amba ho kiliwekwa wazi kwamba kuna vyoo viwili tu...
Mimi ni Mwanakijiji wa Hoyoyo, kilichopo Mkuranga Mkoani Pwani, miaka kadhaa nyuma tulipata ugeni wa kutembelewa na Mke wa Rais Kikwete, Salma Kikwete wakati huo JK akiwa bado yupo madarakani...
Kuna changamoto ambayo bila kuifuchua inaweza kuzidi kuwa kubwa na kusababisha ubadhirifu, rushwa na mengine mengi yasiyofaa kwenye jamii yetu.
Uongozi wa Halmashauri ya Arusha DC imekuwa...
Wakazi wa Wilaya ya Kahama kata ya Majengo, ni wiki ya pili sasa kaya zaidi ya 400 hazina huduma ya maji kutokana na mgomo wa wafanyakazi, wakidai malimbikizo ya mishahara kwa mkandarasi...
Hii bank kuna walimu wanaipigia kelele kwamba wanakata deductions kabisa za makato ya mkopo ambao hawajautoa kabisa na wakipigiwa simu wanajibu kirahisi shida mfumo. Sasa kama shida ni mfumo mbona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.