Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Anonymous
Wafanyakazi wa Hospitali ya Mtakatifu Joseph Peramiho iliyopo Songea mkoani Ruvuma wakiwemo wauguzi na wafamasia wametishia kuishtaki hospitali hiyo kwa madai ya kutokulipwa mishahara yao ya mwezi...
0 Reactions
0 Replies
153 Views
Ni siku chache zimepita tangu Huduma za Usafi wa Treni ya SGR uanze na juzi tulishuhudia Rais Samia Suluhu Hassan akiongoza zoezi la uzinduzi. Usafiri huo umekuwa kimbilio kwa Watu wengi, sababu...
18 Reactions
79 Replies
6K Views
Anonymous
Ni zaidi ya mwaka sasa tangu tathmini na uthamini ufanyike lakini bado malipo ya fidia hayajafanyika na hakuna taarifa yoyote. Wakazi wanashindwa kufanya maendeleo yoyote kwenye maeneo yao...
0 Reactions
0 Replies
129 Views
Fikiria unatafuta ajira ili upate pesa, mwingine anakwambia utoe pesa ili upate ajira. Kwa wale wenzangu na mimi mtakuwa mnaelewa machungu ya kuambiwa hivyo ili hali mfukoni huna hata mia na...
5 Reactions
11 Replies
356 Views
Hapa Halmashauri ya Wilaya Karagwe, Mkoa wa Kagera kuna changamoto kubwa ya kukosekana kwa uadilifu na uwajibikaji unaofanywa hasa na Walimu Wakuu wa Shule pamoja na Ma-Afisa Elimu katika ngazi ya...
4 Reactions
33 Replies
1K Views
Anonymous
Hizi leseni mbona zinatolewa kwa upendeleo na maombi yetu yanaambiwa hayasikilizwi kwa kuwa hakuna board, wote wamestaafu huku wachimbaji wengine wakipewa leseni Waziri Mavunde hebu tusaidie na...
0 Reactions
2 Replies
293 Views
Soko hili linakadiliwa kujengwa kwa zaidi ya Milioni 500Tsh. Lina muda sasa vibanda vyake havifanyi kazi iliyokusudiwa kutokana na kuwa na miundombinu isiyo rafiki kwa ufanyaji biashara, hivyo...
1 Reactions
4 Replies
362 Views
Mfanyabiashara maarufu katika mikoa ya Arusha, Dar na Dodoma Joseph Kalugendo mkazi wa Moshoni jijini Arusha, ameibiwa fedha zake zaidi ya milioni 100 katika benki ya NMB tawi la Clock Tower...
42 Reactions
278 Replies
30K Views
Mimi ni mkazi wa mtaa unaitwa Vitendo, Kata ya Misugusugu, Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani. Hapa jirani yangu kimejengwa kiwanda kikubwa cha kuten geza Ethanol na vingine vinavyotokana na molasses...
0 Reactions
2 Replies
368 Views
Sisi wakazi wa Dodoma tumechoshwa na mmiliki wa kampunı ya ukopeshaji Fedha ya Imarika, imekuwa ikitoa mikopo umiza kwa riba kubwa ya asilimia 40, imekuwa akidhulumu dhamana zetu kwa kubadilisha...
0 Reactions
0 Replies
197 Views
Habari zenu, kwanza nianze kwa kuwapa hongera wale wote walio kwenye mfungo wa KWARESMA na RAMADHANI, MUNGU WA MBINGUNI awaongoze salama hadi mwisho. Leo nimekuja mbele yenu nataka ushauri...
9 Reactions
25 Replies
2K Views
Leo nina ujumbe ambao nataka unawahusu baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Maji Buzuruga - Mwanza ambayo ndio Ofisi ya Maji Ilemela, kwa ufupi ni kama inanuka Rushwa ya waziwazi. Imekuwa kawaida...
0 Reactions
0 Replies
216 Views
Hali ya soko la Kijichi lililopo kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Temeke ambalo lilijengwa kupitia mradi wa uboreshaji wa miundombinu katika Jiji la Dar es Salaam (DMDP). Soko la Kijichi...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Wanajukwaa nimeona nilite jambo hapa jukwaani nikiamini kuna macho ya Serikali yanaweza kuwepo yakaliona wakalichukua kwa maslahi zaidi na kulifanyia kazi au wakawa nao na mtazamo tofauti wenye...
5 Reactions
11 Replies
918 Views
Moja kwa moja niende kwenye mada tajwa hapo juu. Mkurugezi kwa kushirikiana na afisa elimu halmashauri ya Kibaha mji wamewasimamisha kazi walimu wapatao watano wa shule moja ya Mwambisi sekondari...
3 Reactions
11 Replies
865 Views
Muda huu mlima wa morogoro unaungua naiomba serikali iingilie kati mkuu wa mkoa tuma timu ikazime kwakweli inaumiza sana kwasisi wapenda mazingira.
10 Reactions
46 Replies
2K Views
Anonymous (41ab)
Kanisa la kilokole la Bethel linalopatikana katika eneo la Nyasaka-Msumbiji, kata ya Kawekamo,wilaya ya Ilemela,mkoa wa Mwanza limekithiri kwa kupiga kelele kuzidi viwango vibakubalika kisheria...
0 Reactions
12 Replies
889 Views
Habari Wanajamvi, Tunapoelekea kwenye suala la Uchaguzi nchi imeendelea kuchafuka kweli, matukio ya utekaji na kupotea watu yanazidi kuongezeka. Baadhi ya Wananchi hususan wafuasi wa Vyama vya...
2 Reactions
10 Replies
423 Views
Mwenyekiti wa Serikali za Mtaa Mpululi, Dodoma anagawa anawapora ardhi Wananchi wanyonge kisha anawapa vitisho Mtaani kwetu tuna Mwenyekiti wa Serikali za Mtaa ambaye amekuwa akiwaliza watu...
2 Reactions
2 Replies
374 Views
"Ukistaajabu ya Musa,Utayaona ya Firauni", katika hali ya kushangaza katika soko la Vingunguti lililopo jijini Dar es salaam ambapo huchinjwa zaidi ya ng'ombe 500 kwa kila siku, ni kwamba kati ya...
20 Reactions
57 Replies
3K Views
Back
Top Bottom