Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Kijiji cha Busolwa eneo la Nyalugusu Mkoani Geita kuna Wachimbaji Wadogo na Wanachama cha Chama cha Ushirika cha Wachimbaji Wadogo cha Ifugandi wametishia kushiriki katika Uchaguzi wa Serikali za...
1 Reactions
0 Replies
260 Views
Tanzania imeweka lengo la kupunguza utoaji wa gesi chafu kwa asilimia 10 hadi 20 ifikapo Mwaka 2030. Hii ni sehemu ya jitihada za kimataifa za kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi. Taarifa...
1 Reactions
0 Replies
390 Views
Habari, Kuna mdau namfahamu alikuwa amepata nafasi ya kazi kwa kampuni tajwa apo juu, alitumiwa meseji ya maelekezo kuwa wataanza kufanya training ambayo ina shift, kuna asubuhi na usiku, uyo...
0 Reactions
5 Replies
745 Views
Sintofahamu ya ununuzi wa majenereta katika Kampuni ya Uendeshaji na Uendelezwaji wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro (KADCO), imetatuliwa baada ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na...
0 Reactions
0 Replies
109 Views
Mkandarasi Mkuu wa Reli ya Kisasa (SGR), Kampuni ya Yapi Merkezi anatarajiwa kufikishwa Mahakamani kwa kile kinachodaiwa kutowasilisha fedha za michango ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) ya...
1 Reactions
2 Replies
483 Views
Habari, naomba nitoe taarifa kwa JWTZ ya kwamba Kuna mtu anajiita Generali Charles Mwamwega na kudanganya watu yeye ni makubwa jeshini na anafanya kazi kwenye ofisi ya Rais wa Zanzibar Ikulu...
15 Reactions
278 Replies
12K Views
Nina ombi kwa RPC wa Dodoma, msaidie huyu Katibu Mkuu wa Kanisa la Pentekoste atafilisika na kuuawa. Tatizo hili lilianza mwaka 2021, Baada ya Kiongozi huyo wa dhehebu la Pentekoste kuingia...
15 Reactions
57 Replies
3K Views
Anonymous
Uhitaji wa Vitambulisho vya Taifa kwa wananchi ni mkubwa sana, lakini wananchi wanakumbana na changamoto nyingi, hasa kupitia idara ya uhamiaji. Kama iliyokawaida, Wananchi wanapaswa kufika katika...
0 Reactions
9 Replies
417 Views
Sisi baadhi ya Walimu Wilayani Kilwa tunazuiwa kujiunga katika Chama cha CHAKUHAWATA licha ya kuwa kuna wenzetu kati ya Walimu zaidi ya 300 wameshaamua kuhama kutoka CWT na kuhamia upande huo wa...
8 Reactions
27 Replies
2K Views
Si vibaya kuuliza Wakazi wa kigamboni kibada na mjimwema hadi cheka nadhani mnajionea sehemu ya barabara imevunjwa vunjwa alafu imechwa hivyo hivyo full vumbi mpaka sasa sijapata jibu kama...
1 Reactions
1 Replies
134 Views
Wiki iliyopita mida ya jioni nilikuwa maeneo ya Msufini Manispaa ya Singida ambapo rafiki yangu niliyemfata ni Bodaboda, hivyo nikakaa kijiweni kwao kwa muda. Tukiwa hapo akaja boda mwenzao ambaye...
0 Reactions
1 Replies
580 Views
Wahusika. Hakuna asiyependa maendeleo, lakini kinachofanyika kwenye barabara hii kutoka mzunguko wa kwenda feri hadi Daraja la Mwalimu Nyerere ni kero. Kama hakukuwa na fedha za kutosha...
1 Reactions
1 Replies
260 Views
Meli ya MV. Victoria iliyo chini ya Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL) inayofanya safari zake kati ya Mwanza na Bukoba, kwa miezi kadhaa sasa “crane machine” haifanyi kazi baada ya kuharibika...
0 Reactions
0 Replies
554 Views
Mimi ni Mkazi wa Gongo la Mboto Majohe, Dar es Salaam, huku kwetu kuna tatizo la uchimbaji mchanga sana, sisi Wananchi tunahofia Bonde linaweza kutanuka kutokana na uchimbaji huu Wanaofanya hiyo...
0 Reactions
0 Replies
163 Views
Mumba ni shule iliyoko Manispaa ya Kigamboni na ikiwa na darasa la awali hadi Darasa la 4 na ikiwa na Walimu wanne na mmoja wa kujitolea ila Mwalimu Mkuu na Mwalimu wa kujitolea ambae ana takriban...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari! Tunaomba serikali ya Wilaya, mkoa na hata Wizara inayohusika kuingilia kati sintofahamu iliyopo soko la matunda na mbogamboga Msufini - Singida, kati ya wajasiriamali na wenye eneo...
0 Reactions
9 Replies
331 Views
Waziri wa ustawi wa jamii tunakuomba ufuatilie kutuo hichi kituo, ambacho kiko Sinza Madukani kinamillikiwa na mwanamama aitwae Ziada Ijango, kituo hichi kinahatarisha afya za watoto kina watoto...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Habari Wana Jamiiforums wenzangu, ndugu yenu Mwanongwa katika pilika zangu nikakutana na Stori za kwamba kuna Wafanyabiashara wa Ndizi pamoja na Maparachichi ndani ya Mkoa wa Mbeya wamekuwa siyo...
29 Reactions
61 Replies
3K Views
Kwa Kiswahili kinajulikana kama CHOMBO CHA KUSIMAMIA UBORA TANZANIA (TBS) Jina zuri lakini la kizungu.. Sio tatizo sana Jengo zuri la viwango Mazingira mazuri ya Kazi Vitendea Kazi bora Maslahi...
16 Reactions
29 Replies
2K Views
Hapa mkoani Singida, Afisa Habari mmoja mwanaume anatuchezea michezo ya nyumba mbele. Waandishi wa Habari Mkoa wa Singida tunateswa sana na huyu Afisa Habari anayekata posho zetu juu kwa juu na...
2 Reactions
3 Replies
538 Views
Back
Top Bottom