Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Watu wangi hatutambui kwamba tatizo kubwa la kunywa soda kama Pepsi, Coca Cola nk, ni kwamba zina sukari nyingi sana ambayo si jambo zuri kwa afya yako. Sasa utakuta watu wengi sana wamekuwa na...
24 Reactions
66 Replies
2K Views
Lori la mafuta (ambayo bado hayajathibitishwa kuwa ya aina gani) ambalo limeelezwa kuwa lilikuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Morogoro limepinduka eneo la kijiji cha Mwidu mkoani Morogoro huku...
9 Reactions
74 Replies
2K Views
Wakuu salamu Mimi Mfanyakazi kutoka Kampuni ya China Tanzania Security (CT) ambayo inahusika na usimamizi wa miundombinu katika Vituo vya Mabasi ya Usafiri wa Haraka (Mwendokasi) (DART) pamoja na...
1 Reactions
26 Replies
1K Views
Huwa najiuliza sana taasisi kama Forbes inatumia vigezo gani kumjua tajiri namba moja katika nchi husika. Wanashindwa hata kutembelea wafanyakazi wa kampuni za tajiri husika kuangalia hali zao nao...
25 Reactions
216 Replies
43K Views
HABARI: Mwalimu wa madrassa Abuubakar Mussa Hamisi (19) na mwendesha bodaboda Muhaji Mohamed Rajab 25 wote wakazi wa Dule B lililopo eneo la Bumbuli, wilayani Lushoto, wamepandishwa katika...
3 Reactions
107 Replies
3K Views
Kutokana na ukosefu wa ajira vijana wengi wamejiingiza kwenye biashara ya utapeli wa kimapenzi. Ni vijana wa kiume kabisa wanatengeneza account Facebook, Instagram na Whatsapp wakijifanya...
10 Reactions
40 Replies
1K Views
Makanisani yote makubwa ya mjini yana walinzi na mageti ukienda kwa watumishi (manabii,Mitume) wana bodyguard zaidi ya 4 na wanawalipa kabisa.Imefikia wakati hata akiwa anahubiri huko madhabahuni...
4 Reactions
114 Replies
2K Views
Myself napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa platform ya YOUTUBE maana halisi ya Elimu na Burudani. Kupitia YouTube kuna skills nyingi nimejifunza probably direct ama indirect zimeweza kuwa...
2 Reactions
2 Replies
111 Views
Kwenu wauzaji wa kuku hasa maeneo ya mbezi beach. Kuna jirani anasambaza upendo kuku wakubwa wana barafu Tsh. 5000 Binafsi naogopaga sana hizi zenye barafu swali langu kwenu kuku wapendwa bei...
3 Reactions
40 Replies
819 Views
Katika tukio la kihistoria, wazee wa Kata ya Ivany, Jimbo la Siha, walikusanyika katika shule ya Oshara kwa lengo la kumuombea Mbunge wao, Dr. Mollel. Kikao hicho kilijawa na shukrani na maombi...
0 Reactions
0 Replies
104 Views
Watoto wawili wanafunzi wa Shule ya Blessing Model School iliyoko Nyasaka Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza wametekwa na watu wasiojulikana huku wengine wane wakinusurika. Akitoa taarifa hiyo kwa...
5 Reactions
36 Replies
3K Views
Amani iwe nanyi wapendwa Wale watoto waliotekwa hatimaye wamepatikana lakini watekaji wameuliwa. ===== Wanafunzi wawili wa Shule ya Blessing Model School waliokuwa wametekwa na watu...
10 Reactions
79 Replies
5K Views
Mzuka! Yatosha nasema yatosha. Nimeweka tofauti zangu za kiitikadi nakumuunga Jemedari anayetuboreshea maisha yetu na kutupeleka uchumi wa kati. Lakini mabeberu wanataka kumkwamisha. Sitakubali...
8 Reactions
26 Replies
3K Views
Wakazi wa Kijiji cha Bushimani kata ya Chambo Wilayani Kahama mkoani Shinyanga wameiomba Serikali kukamilisha ujenzi wa Boma la Zahanati walilolijenga kwa nguvu zao mwaka 2012 ili kuwaondolea adha...
1 Reactions
0 Replies
88 Views
  • Redirect
2 Reactions
Replies
Views
Habari wanajukwaa wenzangu na Mamlaka zote zinazohusika. Kumekuwa na sintofahamu sasa ya muda mrefu kuhusu nini hatima ya Wakazi wa Nachingwea katika upatikanaji wa Maji na Salama. Tunaomba...
0 Reactions
0 Replies
143 Views
Wananchi wa Kijiji cha Mtyangimbole kata ya Mtyangimbole Halmashauri ya Madaba, wamemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kupitia Mbunge wa Jimbo la Madaba Joseph Kizito Mhagama, kwa kujenga shule ya...
0 Reactions
0 Replies
77 Views
Mimi kama mdau nahoji kwa nini vijana kutoka Tanzania bara wanapokuja kufanya mafunzo kwa njia ya vitendo ZANZIBAR wanalazimika kulipia kiasi kisichopungua shilingi laki moja na nusu kama gharama...
5 Reactions
38 Replies
619 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…