Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Tabia ya madereva wengi wa mabasi Tanzania kuvunja sheria au kuwa na haraka kuliko watumiaji wengine wa barabara ni chanzo cha ajali nyingi. Ifikie wakati wamiliki wasifumbie macho tabia hii...
4 Reactions
14 Replies
323 Views
Watanzania wa asili – Hawa ni watu wa makabila ya kienyeji ya Tanzania kama Wanyamwezi, Wazaramo, Wasukuma, Wachaga, Wahaya, n.k. Hili suala halina chembe yoyote ya kikabila maana ni uhalisia...
8 Reactions
63 Replies
2K Views
Wakubwa shikamooni wadogo amjambo. KIUKWELI NINA KILA SABABU YA KUKISHUKURU HIKI CHAMA CHA KUSAIDIA WAPAGAZI (wapanda milima) KIUKWELI CHAMA HIKI KIMEWASAIDI POTA WENGI SANA AMBAO WALIKUWA...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu Kwema! Kwa watembezi wa mikoa ya Tanzania na wachunguzi huru mtakubaliana na mimi katika utafiti huu usio rasmi. Utafiti huu nimeufanya kwa miaka minne tangu 2016 mpaka 2020 nikiwa...
23 Reactions
54 Replies
6K Views
Asalam, Leo nimeona sio mbaya kujadili mada hii, NBS inaonesha karibia 65% ya Watanzania wanajihusisha na kilimo. Kilimo cha kujikimu na kiasi kidogo kubadilishia mboga. Tukichanganya ufugaji na...
2 Reactions
25 Replies
962 Views
Hapa kuna mpangilio mzuri zaidi wa maandishi yako kwa mtiririko mzuri na uwazi: Nguvu ya Hofu na Sanaa ya Kubadilisha Nishati The Keeper Don Pablo – The Master of The Mind Brotherhood...
7 Reactions
5 Replies
191 Views
Manipulation: Ni jinsi gani unaweza kumshawishi mwanadamu mwenzako?, its simple, mfanye akuamini zaidi ya nafsi yake, mfanye aamini ya kufikirika yana special connection na wewe. Confusion...
3 Reactions
15 Replies
375 Views
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya kutengeneza magari ya umeme ya KAYPEE MOTORS, ambae pia ni Mtangazaji kutoka kituo cha Clouds Media Group, Ally Masoud Nyomwa maarufu kama Masoud Kipanya...
27 Reactions
69 Replies
2K Views
Kwanza kabisa mimi sio Mtaalamu na baada ya kuangalia kwa haraka matakwa ya pande tofauti nimeona ni vigumu sana kwa upande mmoja kukubaliana na matakwa ya upande mwingine kutokana na usalama wao...
9 Reactions
133 Replies
2K Views
Ninaomba kujua ni Vivutio gani vikubwa na vizuri naweza kuvikuta Rufiji kwani GENTAMYCINE nataka kwenda Kutalii huko.
5 Reactions
22 Replies
749 Views
Hii clip inaonyesha namna lipstick inavyotengenezwa je ina usalama? https://www.facebook.com/reel/1143524623889538
1 Reactions
0 Replies
85 Views
  • Redirect
Ubungo Kibangu mtaa wa Kajima kuna shida sugu ya maji, na Mbunge ni Profesa Kitila Mkumbo lakini hamna kitu ametusaidia Suluhisho la maji alileta mradi wa matenkI yaani matenki yanajazwa maji...
2 Reactions
Replies
Views
Kumekua na maneno/minong'ono ya watu kuwa kwa mfano una kiwanja au shamba lako unakoishi alafu haya makampuni ya mitandao ya cm ikataka kuweka mnara kwenye eneo lako karibu na nyumba ni hatari...
1 Reactions
3 Replies
173 Views
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Elihuruma Mabelya, amesisitiza kuwa jiji hilo halitawavumilia wakandarasi wanaochelewesha miradi. Tamko hilo amelitoa katika Viwanja vya...
0 Reactions
0 Replies
107 Views
Direct to point Kutokana na changamoto ya mashirika ya umma kusua sua kutoa huduma kwa wananchi na kuwepo kwa ufanisi mdogo wa mashirika haya. Lakini mbali ya hapo haya mashirika yameendelea kula...
1 Reactions
0 Replies
79 Views
Hii ni thread niliiandika mwaka 2015, na ni mojawapo ya thread ilisomwa sana humu JF, na hata kuandikwa gazeti la Mwananchi. Kutokana na umuhimu wake, nimeona niihuishe tena nikijua kuna wengine...
33 Reactions
41 Replies
2K Views
Mgogoro wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) umebeba historia ndefu inayohitaji muda mrefu kuielezea, lakini nitajaribu kuifupisha kwa kuangazia mambo machache muhimu. Mpelelezi wa...
13 Reactions
41 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…