Habari wakuu
Kumekuwa na kawaida katika nyumba mbalimbali iwe masebuleni au vyumbani midori ikionekana imesheheni, baadhi hupamba midori katika meza na makabati, wengine huthubutu hata kuwa na...
Huwa tunafuga majini, vinyamkera, madogoli na roho chafu majumbani kwetu bila kujua. Tunanunua vinyago na midoli ya gharama kwa ajili ya kupendezesha sebule zetu na wakati mwingine kama kampani...
Habari wana jamvi!?
Nimekua katika masuala ya kitaifa kwa mda wa miaka 20, nimeona kwa namna tofauti tofauti jinsi mambo yanavyo endeshwa kisiasa, kiuchumi, mpaka kimadaraka na kugundua hiki kitu...
Hizi taarifa za serikali naona kama zinanipa maswali mengi bila majibu.
Mei 2024 aliekua waziri wa Utalii Angela Kairuki alisema kwa mwaka 2023 Tanzania ilipata watalii Milioni 1.8, ambayo ilikua...
Haya maono niliyapata kitambo sana ila leo nimeamua kuyawasilisha.
Watu wengi wana mtindo wa kununua maeneo halafu wanatafuta mwenyeji wa pale wanamkabidhi awalindie. Wanamruhusu "mlinzi wao"...
CREATING DEMONS THROUGH MASTURBATION & FORNICATION!
Sefer haZohar ~ Rabbi Yehuda said: When a man emits seed in vain, those drops of seed go forth and ascend into the air. They do not enter the...
Mimi moja ya vijana wenye ndoto na Ulaya binafsi yangu sina connection yoyote ya kwenda huko ila nakumbuka zamani nikiwa shule ya msingi nilikuwa na ndoto za kupata mwanamke wa KIZUNGU Ili iwe...
Maisha hayana formula, Mara nyingine kwenye Maisha yako omba Sana Bahati! Huwezi amini ndio huyu sasahivi anakaa meza moja na Wararabu kutoka Saudia, yeye ndio anaamua akate kipande kipi.
Hii rule ipo kwenye nyanja 5;
1. Kibinafsi
2. Kifamilia
3. Kiimani
4. Kikazi
5. Kimahusiano
Naomba nizungumzie kwa upande wa Kibinafsi na Kiimani.
Sisi binadamu tumekuja Duniani kuishi na...
Basi bwana katika kujitafuta tafuta mwanetu tumuite Jina "machimu"
Tuliishi kwa upendo sana wote tukiwa level moja hali ya chini
Siku zinakwenda "machimu" akapata deal chunya akaenda...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limemtia mbaroni Mtu mmoja aitwaye Emmanuel Sulwa Mapana (24) maarufu Mchambi Mkazi wa Mtaa wa Sima, Wilaya ya Bariadi Mkoa wa Simiyu akiwa na sare za Jeshi la...
Habari kuruta, hivi hizi tovuti za serikali au zozote zile za hapa nchini zinatengenezwa na nani? Seva zake zipo wapi? Mbona zimejaa madudu! Plus zipo slow sana kuLOAD na mambo mengine.
Karibia...
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Daniel Chongolo, amemuagiza Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Songwe, Mhandisi Suleiman Bishanga, kuhakikisha mkandarasi wa barabara ya...
Weledi wa kazi umepunguwa, watu wamegeuka miungu watu , yaan fulu tafurani.
Kuna Mahali nilikuwepo kama wiki tatu, watumishi wanaingia kazin kuanzia mishale ya saa tatu mpaka nne Asubuhi .
Saa...
https://www.youtube.com/live/bkEY8USUkqY?si=wm2vv7CpZh-oXolH
Mwenyekiti wa kamisheni ya Umoja wa Africa atalipwa zaidi ya $16M karibu KSH 2Milioni au TZS 40M Kwa mwezi,
Lakini pia Mwenyekiti...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU), leo Tarehe 15 Februari, 2025 Addis Ababa...
Hii tabia ya kuzuzuka na kusheherekea pale Mtanzania hasa mwanasiasa akijua kuongea Kingereza hata kwa kunyoosha sentesi mbili tu imepitwa na wakati na ni ushamba.
Pia wanasiasa wasiojua...
Waziri anayehusika na utumishi Simbachawene asema asilimia 40 ya wafanyakazi wa serikali ni mizigo
swali kwa nini hawaachishwi kazi? Wapishe wengine?
Serikali kwa nini inaendelea kuwakumbatia...
Habari wana jamvi!
Nisiwachoshe kama ambavyo hampendi kuchoshwa.
Mwaka jana mwezi wa nane nikifanikiwa kutimiza haja ya moyo wangu baada ya kufanya savings ya miaka 25 kukusanya pesa ya mtaji...