Hahahahaaaa, wakuu last weekend wife alikuwa amealikwa kwenye harusi ya mdogo wa workmate wa ofisi yao ya zamani, lakini akawa anasitasita kwenda, sasa nikamuuliza kwanini, yeye akasema hana...
Kwani wao waweze wana nini na sisi tushindwe tuna nini, tupeane madini please.
Huku wengine tunawahi kuamka kwenda makazini, vibaruani, madukani, maofisini, n.k. kuna wenzetu wenye frem Sinza...
Tumsifu Yesu Kristo. Taarifa hii inatolewa na Idara ya Elimu ya Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) kuhusu matokeo ya mtihani wa kidato cha nne wa mwaka 2024 kwa shule za Kanisa Katoliki...
Kijana wangu kafikisha miaka 18 na smartphone juu.
Naomba orodha ya mitandao ya kujenga ambayo isipite siku mwenye maono hajapita.
Binafs huwa nikipekua JF huwa najiaminisha nimejua yanayojiri...
Huu ni uchunguzi wangu binafsi.
Ni kabila kubwa kabisa kusini yote na hata maneno ya kimakonde utayakuta kwenye lugha zao bila wenyewe kujua kuwa ni maneno ya kimakonde. Mfano, kule Kilwa yule...
Mwanaume anayejulikana kwa jina Peter Mayala (45) mkazi wa Kijiji cha Mwamagunguli, Manispaa ya Shinyanga, amejiua kwa kujinyonga ndani ya chumba chake cha kulala baada ya kujaribu kumuua mtoto...
FURSA KUBWA KWA WAJASIRIAMALI NA WAFANYABIASHARA!
Benki ya NMB imetenga Shilingi Bilioni 100 kwa ajili ya Mikopo ya Miradi na Biashara za kusambaza Nishati Safi ya Kupikia kwa Watanzania...
Sema unavyotaka kuhusu Afrika – ardhi yenye rutuba, mandhari ya kuvutia, na utajiri wa rasilimali. Lakini angalia tunachoifanya!
Tuna vipenzi wa mataifa ya kigeni, viongozi wasio na dira, na...
Baada ya takriban miezi miwili, kesi ya kuua bila kukusudia inayowakabili wamiliki watatu wa jengo lililoporomoka mtaa wa Mchikichi na Congo, eneo la Kariakoo, itatajwa Leo Januari 13, 2025 katika...
Je mwafrika ni kizazi cha nani? Mtu anaechukiwa na kudharauliwa na kila aina ya mtu hapa duniani. Mtu aliekuwa mtumwa wa kila aina ya mtu duniani.
Au sisi ni nzao ya Ham?, mwana alieona uchi wa...
Kilimo ndiyo sekta muhimu sana katika uchumi wa Tanzania na asilimia zaidi ya 75 wanajishughulisha na kilimo.
Muda wote tunategemea mvua za msimu katika kilimo chetu na mvua zenyewe zimekuwa...
The goal haswa ni kukujenga katika upya maana utoto unafanania na una respresent mwanzo.
Jiulize huyu dogo naemuona hapa angefanya unyama huu naotaka kufanya?
Jiulize hivi huyu dogo namtendea...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imeanzisha miradi ya majaribio (pilot projects) kwa ajili ya matumizi ya teknolojia mpya katika ujenzi wa barabara ikiwemo Armarseal.
Teknolojia hii...
Wakuu,
Babu yangu ambaye ni kaka yake marehem bibi ni mwanajeshi mstaafu na mkurugenzi mtendaji ktk kampuni moja wapo ya uchimbaji madini huko Ushirombo mkoani Geita.
Nilipomaliza shule...
Habari za wakati huu,
Waswahili husema penye wengi pana mengi.
Naombeni mnisaidie katika hili ndugu zangu, Hapa nilipo sina kazi wala hata mtaji wa kufanya chochote sina, napambana lakini naona...
Mtu mweusi ana roho mbaya sana.
Wakenya na wabongo wanawachongea wenzio ambao wanaishi sasa hivi kwa kujificha kwasababu hawana vibali vinavyowataka waishi Marekani baada ya Serikali ya Trump...
Wakuu habari.
Nimekuwa nafatilia Sana kuhusu mada mbali mbali kuhusu mtoto kusoma shule za kata au kayumba na kumsomesha shule za gharama Private.
Kwa kuanza nitatoa mifano mifano kadhaa kuhusu...
Wadau hamjamboni nyote?
Uzi huu unakusudia kuwaenzi Waandishi wetu wakongwe na wanaoheshimika wa ndani na nje ya nchi.
Hivyo unachotakiwa ni kuweka msemo/ nukuu moja, jina la Mwandishi , Kitabu...