Jambo la kwanza: ni Tanzania pakee. utakuta mtu kwenye jina la profile ya akaunti yake ya mitandao ya kijamii. anaweka na neno PhD ama Professor ili tu kujitambulisha kwa watu kua ana taaluma ya...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imebaini kasoro kadhaa katika utekelezaji wa Mradi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato, jijini Dodoma, zikiwemo ajira kwa wahandisi...
Biblia inasema Mungu aliwapenda sana wana Isachar ( sio Isaka ni ISACHAR: Huyu Isachar alikuwa ni kati ya watoto 12 wa Yakobo. Sasa huyu Isachar alikuwa na watoto wa kiume 200 ndio hao ambao...
"MIMI MWENYE NYUMBA WAKO APA MBONA SIKU ZINAZIDI?" 12 WAFIKISHWA MAHAKAMANI, WAKABILIWA MASHTAKA 32.
Na. Jeshi la Polisi, Dar es Salaam, Mei 28, 2024
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu...
Ems schools ni shule za public zenye majengo private. Hazina tofauti na Kayumba.
Kwa sababu zote Ems na Kayumba zinatumia mtaala wa Necta.
Ems zinawapa wazazi wanao somesha shule hizo "...
Hapa naomba nizungumze na wapambanaji, the super lucky, best performers na wasioridhika na mafanikio, wanawake kwa wanaume. Guys we got a work to do.
Kwa muda wa hivi karibuni hali si hali...
Umaskini ni fedheha. Kwenye maisha yako yote chukia umaskini kwa kila hali. Fanya jambo lolote la halali kujiondolea umaskini kwenye maisha yako. Ibara ya 25 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa...
Ili kufanikiwa katika malengo yao ya kuitawala dunia kupitia Dini, uchumi, siasa na
Ajira/kazi, Illuminati walifanikiwa kuanzisha taasisi za Kidini, kiuchumi, kisiasa na kazi na ajira, zote hizo...
Katika viumbe vyote kiumbe kinachoteseka sana ni ' BINADAMU' je umejiuliza kwanini?
Sababu kubwa ni kuwa binadamu ndo kiumbe ambacho hakina akili .
Ebu fikiria MTU anaumia ,anateseka , anakuwa...
Bila kupoteza wakati maana nina mengi ya kuwaza baada ya hili
Nilikuwa nikiona watu wanao timuliwa kazi ni wazembe na mara nyingine tukikaa vijiweni tunawazungumzia vibaya hawa mara kafukuzwa...
Mfano tu mtu kakosea katuma pesa kwako kimakosa 70k elfu anaomba uirudishe na wewe ulipo iona ukaamua kuitoa hapo hapo maana ulikuwa karibu na wakala af anapiga simu sana una amua kublock namba...
Serikali ya Tanzania inategemea sana fedha za msaada na mikopo kujiendesha. Ingawa serikali haijawahi kuweka wazi hii hali ila baada ya Marekani mfadhili mkuu kujitoa kwenye baadhi ya mambo...
Pamoja na Misaada kukatwa. ARV zipo za kutosha, watu waendelee kula mbichi kila kitu kitakaa sawa.
**Duniani huko wanapambania Artificial intelligence (AI) sisi huku tunatiana Moyo na ARV [za...
Wananchi wa Kata ya Shibula walioko pembezoni ya Uwanja wa Ndege wa Mwanza wametoa siku saba kwa serikali kuja mezani kuzungumza nao kuhusiana na mustakabali wa maeneo yao endapo ombi lao...
#TANZANIA:TUNDU LISSU:KWENYE NCHI HII HAKUNA HAKI MAHALI POPOTE
“Nchi hii haina haki mamilioni ya wananchi hawatendewi haki, kwenye vituo vya polisi hakuna haki, kwenye mahakama zetu hakuna haki...
Wakuu habari zenu na poleni na majukumu .
Mimi ni msukuma wa mwanza nimeishi mwanza - Nyashishi takribani maisha yangu yote lakini kwa miezi minne sasa nimetua hapa Dar na sina mpango wa kuhama...
Kwa jinisi raisi wangu Mama Samia Suluhu Hassan anavomwaga ajira kwa graduates imenibidi namimi mgonga ulimbo nizidishe maombi kwake awe na afya njema.
Maana naona mwanga wa kulamba ajira ndani...
Serikali imeshauriwa kuwatumia wataalamu wa sekta ya afya waliokuwa wanatumika katika hospitali za umma lakini sasa hawatoi huduma zao kwa sababu ya ajira zao kusitishwa na Shirika la Kimataifa la...