Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Baadhi ya madiwani wa Halmashauri ya Chalinze wilayani Bagamoyo Pwani wamelalamikia kitendo cha Mamlaka ya Maji safi na usafi wa mazingira DAWASA Chalinze kwa kushindwa kutoa huduma ya maji kwa...
2 Reactions
4 Replies
143 Views
Mkurugenzi wa Huduma za Kinga kutoka Wizara ya Afya Tanzania Dkt. Ntuli Kaporogwe anatarajiwa kuipeperusha bendera ya Tanzania kwenye uchaguzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Afrika...
1 Reactions
8 Replies
281 Views
Miaka hiyo sina hela afu ujana mwingi......kidogo nipagawe. Nikamcheki braza yangu MUBA MUBANDA....mzee wa kazi zote pale kariakoo. MIMI: Kaka mdogo wako sina kitu afu unavyojua lazima avensis...
50 Reactions
502 Replies
81K Views
Eneo kinapotarajiwa kujengwa ni palepale Bondeni City ambapo pembeni yake kutakuwa na mji wa kisasa (satellite city) Kwa mgeni wa jiji la Arusha, eneo la bondeni lipo barabara inayoelekea kwenye...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
JamiiCheck ni Moja kati ya Majukwaa yanayopatikana ndani ya tovuti ya JamiiForums.com. Jukwaa hili limewekwa mahsusi kwa ajili ya kufanya uhakiki, kutafuta uthibitisho au uhalisia wa habari...
15 Reactions
11 Replies
14K Views
Salama wakulal? Kuna shida hapa Arusha, haisi za kwenda njiro ikifika saa tatu usiku nauli inapanda kutoka mia sita kwenda buku! Kwanini wanafanya hivyo wakati nauli inajulikana ni mia sita?
3 Reactions
38 Replies
643 Views
Katika kipindi kirefu kwa nyakati tofauti kupitia vyombo vya habari ikiwemo jukwaaa la JamiiForums.com zimekuwa zikiripotiwa taarifa za uwepo wa migogoro ya aridhi katika Wilaya ya Kiteto iliyopo...
0 Reactions
0 Replies
91 Views
Mkurugenzi wa Kinga wa Wizara ya Afya kutoka Tanzania Dkt. Ntuli Kapologwe, ameibuka mshindi wa nafasi ya Mkurugenzi Mkuu wa Jumuiya ya Afya ya Nchi za Afrika Mashariki, Kati, na Kusini (ECSA –...
0 Reactions
0 Replies
335 Views
(1)Watu wazima nilijua ni wema hawatendi Zambi,kama kuiba na kuzini,kumbe mmhhhh (2)Viongozi wa dini nilijua wanamuwakilisha Mungu kutokana na yale wanayoyaonge kumbe,,,,,,,,, (3)Wanasiasa na...
19 Reactions
80 Replies
2K Views
Habari, Kuna mdada nilikua nae kwenye mahusiano ni kama kwa miezi tisa ikatokea tumegombana tukakaliana kimya kwa one month baada ya hapo nikaona turudiane ila amekua tafauti hataki kuanza...
16 Reactions
113 Replies
1K Views
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na vyombo vingine vya dola, imekamata jumla ya kilogramu 2,207.56 za dawa za kulevya na dawa tiba zenye asili ya...
4 Reactions
8 Replies
853 Views
Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu chanzo cha magonjwa mbalimbali yanayoathiri binadamu duniani. Wakati baadhi ya magonjwa yanatokana na mabadiliko ya mazingira, bacteria, na virusi 🦠, kuna madai...
1 Reactions
0 Replies
83 Views
  • Redirect
kutoka 586 BCE waliishi eneo hilo hata kabla ya kuwepo na itikadi nyingine maarufu hapo Iraq. Hadi kufika miaka 1960s na 1970s, karibia wayahudi wote wakawa wamekimbia. Ghasia hizo zilichochewa...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Fanya research zako zooote Kisha utakuja kukubaliana namimi. Wengi wa wanaume walio firisika % kubwa wanawake vimeo wauza uchi walihusika pakubwa sana. Wengi wa wanaume walio anguka iwe kazini...
0 Reactions
Replies
Views
Wakuu, Hivi si tuliambiwa kuwa ARV ziko za kutosha? Na kwamba tusihofu Marekani kusitisha misaada kwa sababu serikali ina ARV zinazotosha? Sasa inakuaje tunapewa onyo kuwa maambukizi ya UKIMWI...
6 Reactions
38 Replies
949 Views
Kesi baina ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, DRC na Rwanda kuanza kusikilizwa leo Februari 12 na 13, 2025 katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu. Kesi hiyo iliwasilishwa mahakamani hapo...
0 Reactions
0 Replies
119 Views
Anonymous
Ni takribanii wiki kadhaa tangu matokeo ya Mtihani wa Leseni yatoke mpaka sasa bado tunasubiri kutangaziwa siku ya kwenda kuchukua Leseni. Hili sio shida kwa sababu huenda ni Maandalizi...
0 Reactions
0 Replies
259 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…