Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Kwa ufupi tu msonde tangu ufike Tamisemi umekuwa na Mambo mengi Sana ambayo mengine hayana ufanisi ebu yapunguze, kutokana na karenda kuanzia tarehe 31/03/2023 ni likizo Ila kutokana na maagizo...
23 Reactions
193 Replies
11K Views
Wakuu, Hili jambo linawezekana kuonekana kawaida, lakini limenishangaza kidogo. Leo nilikua napitia habari huko mitandaoni, nikapata wasaa wa kuongalia taarifa za baadhi ya jamaa tulio kuwa...
10 Reactions
41 Replies
2K Views
Wakuu nahisi ishu yangu ni ya kiroho, sijui ni mizimu ya ukoo, sijui nini wakuu Kila siku mimi nikuota narudi shule, mara kushtuka usinguzini kuona malue lue, muda mwingine naamka kabisa na...
4 Reactions
20 Replies
592 Views
Katika tukio lililotikisa jamii ya Lindi, Jeshi la Polisi la Mkoa huo limemkamata kijana mwenye umri wa miaka 13, Amidu Mohamedi Halfani, mkazi wa Kijiji cha Chiuta. Anatuhumiwa kumuua bibi yake...
5 Reactions
15 Replies
487 Views
Nimefurahishwa sana na bodaboda wa Kituo Kipya Gomz DSM, Nmependa sana utaratibu wa kusimamisha watu kutopita njia ya SGR pale zipitapo treni mimi nmepita leo mida ya saa1 jioni hivi nkajiuliza...
2 Reactions
2 Replies
219 Views
Nyaraka za Siri kuhusu kifo cha aliyekuwa Rais wa Marekani JF Kennedy aliyeuawa kwa kupigwa risasi, shambulio la Osama bin Raden maarufu kama 9/11, Wapi hasa COVID-19 ilitoka zote kuweka wazi...
0 Reactions
15 Replies
465 Views
Salaam, shalom! Mwili unaonekana, NAFSI ,akili na Roho havionekani ila vipo ,Volcano chini ya ardhi inaonekana, kuzimu ya moto IPO ,haionekani Kwa macho ya nyama. Lava IPO inaonekana, pia kuzimu...
2 Reactions
31 Replies
488 Views
Matokeo ya mtihani wa kidato cha nne wa mwaka 2024 yanaonesha tena kwamba shule za Kanisa Katoliki zimeendelea kuongoza kwa viwango vya juu vya ufaulu. Kwa mfano, kati ya watahiniwa 19,182...
16 Reactions
191 Replies
4K Views
Kisiwa chetu cha Amani chenye Rasilimali nyingi kinapokea misaada ya mabeberu na Mabepari takribani Milioni 512 Kila Mwaka. Imeelezwa. Gazeti la Euronews limetaja kuwa Tanzania itakuwa ni...
26 Reactions
212 Replies
5K Views
Kwa mara ya kwanza Tanzania inaenda kushuhudia uchaguzi mgumu sana wa kumpata raisi wa kuongoza taifa la Tanzania hapo 2025. Kwa dhati kabisa najua CCM watashinda ila utakuwa uchaguzi mgumu sana...
3 Reactions
44 Replies
1K Views
Amani iwe nanyi waungwana Huyu John Pambalu ni kateksita, mchungaji au mwanasiasa? Sioni mchungaji au kateksita au mwanasiasa wa kumfananisha naye Kijana ana nondo ni balaa Kamchana chana...
4 Reactions
9 Replies
550 Views
Wananchi wa Kata ya Kia (Wilaya ya Hai, Kilimanjaro), Majengo (wilayani Arumeru, Arusha), na Naisinyai (wilayani Simanjiro, Manyara) wameandamana na kufunga barabara ya Mirerani hadi Uwanja wa...
3 Reactions
3 Replies
217 Views
https://www.youtube.com/live/JA35HedbKJA JamiiForums na ADRH (Africa Digital Rights Hub) wanaendesha Kongamano la Afrika kuhusiana na Ulinzi wa Taarifa Binafsi jijini Kampala, Uganda ambapo Mwaka...
1 Reactions
1 Replies
624 Views
Siku ya Faragha ya Taarifa huadhimishwa Januari 28 kila mwaka ikiangazia kuongeza uelewa kuhusu masuala ya ulinzi wa taarifa binafsi na kuhimiza sera na kanuni bora za kulinda taarifa za watu...
1 Reactions
1 Replies
308 Views
Wasafiri wengi hutumia mitandao ya kijamii zaidi wanapokuwa safarini mbali na nyumbani. Hata hivyo, ni muhimu kukumbuka kuwa kudumisha faragha na usalama wa akaunti zako za mitandao ya kijamii...
0 Reactions
1 Replies
379 Views
JINSI YA KUJILINDA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII 1. Sio kila taarifa ni ya kushiriki katika Mitandao ya Kijamii, angalia umuhimu wa taarifa unayoishiriki. Internet haisahau 2. Kuwa makini na kuweka...
1 Reactions
1 Replies
664 Views
Australia inapanga kuzuia watoto wenye umri chini ya miaka 16 kuingia kwenye mitandao ya kijamii ili kulinda afya ya akili ya vijana, huku waziri mkuu Anthony Albanese akisema kuwa mitandao hii...
0 Reactions
1 Replies
226 Views
Siku ya jana katika uapisho wa Mawaziri na mabalozi wapya tumeona Rais wetu akiongelea kuhusu kumteua daktari Janabi hii Ina maana kuwa wanafuatilia kwa ukaribu mambo yanayoendelea kwenye mitandao...
0 Reactions
1 Replies
231 Views
  • Redirect
Wale watoto wametekwa na watekaji wameuawa. Hili nadhani ndio Mdude Nyagali alikuwa ana comment, anasema wale watekaji wawili walikuwa na mapanga tu,Polisi imeshindwa vipi kuwakamata? Halafu...
0 Reactions
Replies
Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…