Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ametoa onyo kwa wahalifu baada ya jeshi la polisi kufanikiwa kuwapata watoto wawili waliotekwa Februari pili 2025 jijini Mwanza na kupatikana...
1 Reactions
3 Replies
313 Views
MIF & CARE INTERNATIONAL TANZANIA WAZINDUA YOUNG WOMEN LEADERSHIP PROGRAM Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) chini ya Mwenyekiti wake, Mhe. Wanu Hafidh Ameir (Mb) kwa kushirikiana...
0 Reactions
1 Replies
109 Views
Wakuu, Juzi umeme ulikuwa umekatika kwangu, ikabidi niende kwa jirani yangu kupoteza muda kidogo nikisubiri umeme urudi. Jirani yangu (anaelekea utu uzima) ana watoto 3. Mmoja yuko nursery na...
5 Reactions
5 Replies
260 Views
Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na wadau wa Sekta ya Afya imefanya maendeleo makubwa katika kujenga uwezo wa kukabiliana na dharura za afya ikiwa ni pamoja na kuwekeza katika mifumo ya afya...
0 Reactions
1 Replies
98 Views
Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora Mhe. Bi Amina Ali amesema Tume inatarajia kutoa elimu kuhusu misingi ya haki na Utawala bora kwa wananchi katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa...
0 Reactions
0 Replies
109 Views
  • Redirect
BASHUNGWA APONGEZA POLISI KUPATIKANA WANAFUNZI WALIOTEKWA MWANZA. “Wahalifu msijaribu uwezo wa Polisi, tutawafikia popote” Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amelipongeza...
0 Reactions
Replies
Views
Kuna harakati nimezikuta toka najiunga jamii forum na bado zinaendelea kwa baadhi ya member kuwadharau na kuwakejeli walimu wa nchi hii Napinga kwa nguvu zote za kuwafanya walimu kama marginal...
15 Reactions
87 Replies
2K Views
Habarini wanajukwaa!! Nimepata kero hapa mpaka nashindwa kutatua, naombeni kufahamishwa. Ni hivi nimenunua umeme hapa Ila nimekatwa Makato ambayo sio stahiki Mana mara ya mwisho nilinunua...
3 Reactions
8 Replies
231 Views
  • Redirect
Hii kampuni ya habari ya IPP sasa hivi ni kama imejiishilia kabisa, huwezi kuamini kuna wakati iliwahi kuwa chombo serious cha habari katika nchi hii. Hivi kweli hii ni habari ya kutangaza katika...
0 Reactions
Replies
Views
Funguka huenda ukapewa miongozo na wakuu hapa JamiiForums.
10 Reactions
174 Replies
12K Views
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Sunzula B, Wilaya ya Itilima Mkoa wa Simiyu, Bahati Suguti amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini ya Sh5 milioni kwa kosa la kufanya udanganyifu...
1 Reactions
12 Replies
433 Views
hizi ni statistics kwa mujibu wa The chanzo Rate ya divorce kwa mikoa inayosifiwa kwamba ina wife materials na wapo vizuri kitandani mbona graph ipo juu sana . Mikoa inayongoza kwa talaka 1 -...
3 Reactions
1 Replies
212 Views
Naomba msaada Luxury Buses kutoka Dar kwenda Kigoma
3 Reactions
39 Replies
3K Views
Wakuu hope mko poa kabisa. Straight to the topic. Kama siku kadhaa nyuma LATRA waliwafungia hawa Katarama kutokana na uvunjifu wa taratibu za usafirishaji. Sasa leo nakuja na malalamiko...
3 Reactions
22 Replies
853 Views
Jamaa alianza na Basi 2 za Scania kimsihara watu wakamchukulia poa, ila jamaa nachoona ni mjanja sana, alisalijili madereva wazoefu kutoka allys akawaongezea pesa nzuri, na kilichompa jina ni...
8 Reactions
112 Replies
5K Views
Naheshimu wewe unaesema hutaki kuoa. Pia, Na heshimu na wewe ulioa au mwenye mpango huo. Lakini unapokuja na sababu kuwa wasichana wa siku hizi!! mara wanaume wa siku hizi!!, huo ni ubatili...
5 Reactions
23 Replies
423 Views
Wakuu naombeni mnijuze, wataniruhusu kusafiri? Mimi sikuwa najua kama unatakiwa uwe na kitambulisho, sasa safari ni kesho kutoka Dodoma hadi Dar. Baada ya kukamilisha taratibu zote ndio meseji ya...
3 Reactions
28 Replies
510 Views
Amani iwe kwenu watanzania wote Kumeibuka tabia ya watu wengi kutokujua ni nini maana ya ushamba, na hii yote inachangiwa na watu kutokuwa na elimu vyema , hasa ukizingatia kuwa CCM wamewanyima...
3 Reactions
28 Replies
345 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…