Sijui hii mamlaka inakwama wapi, ni wiki ya nne sasa Tabata Bonyokwa hatuna maji. Hii imekuwa kero ya miaka na mikaka na bado hatujapewa ufumbuzi. Tulipangwa kuwa kinajengwa kituo cha kusukuma...
Mhandisi Mkama Bwire, Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar Es Salaam (DAWASA) amesema sasa changamoto ya maji inyoikumba Tabata itakwenda kuisha Disemba...
Maana yupo bado anaishi nyumbani kwa wazazi wake. Mwingine yupo tu amekomaa kuishi kwa shemeji yake mjini, wakati chuo kaishamaliza miaka kadhaa ilopita, hana kazi wala biashara, na kakomaa town...
Sio poa kabisa Wakuu, leo nimekiona cha Mtemakuni!
Hali ya usafiri usiku huu inazidi kuwa ngumu kuanzia Tabata Relini, ambapo foleni ya magari ni ndefu hadi Barakuda.
Jua linawaka sana huku mikoani. Nadhani kuna sehemu kuna angalau mvua kidogo. Tupeane taarifa, One can shift from one region to another to look for agricultural opportunities Sehemu ambazo hata...
Dodoma, Februari 7, 2025 – Benki ya CRDB imefanikiwa kusaini mkataba wa kusimamia utoaji wa mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya halmashauri inayolenga kuwainua wanawake, vijana, na makundi maalum...
Hakuna kitu kizuri au chenye faida hupatikana kwa wepesi na kwa haraka.
Soma mifano ifuatayo kisha jitafakari na uamshe ari yako tena.
Uwindaji sio kazi rahisi. Tiger hushambulia mawindo yake...
Habari JamiiForums, nimekuwa mdau wa muda mrefu lakini pia nimekuwa napata malalamiko mengi sana kutoka kwa rafiki yangu mmoja hivi naomba langu lisitajwe.
Watumishi wa shule ya St Marys...
Leonard Mambo Mbotela enzi za uhai wake
Mwanahabari mkongwe Leonard Mambo Mbotela, anayejulikana kwa kipindi chake maarufu cha "Je, Huu Ni Uungwana?" amefariki dunia.
Ikithibitisha kifo chake...
Hili jambo linasikitisha sana, unasubirishwa kwenye foleni saa kadhaa halafu majibu unapewa mafupi ambayo hayana msaada wa shida uliyoifuata, meanwhile wanakuzungusha bila kujua umetoka wapi...
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Dkt. Boniface Kasululu ametolea ufafanuzi taarifa ya Mwanachama wa JamiiForums.com aliyedai kuwa baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Songwe yana changamoto ya Wananchi...
Tanzania imepata fursa ya kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ambapo Mkutano huo utakuwa chini ya...
Nasikia kuna trilioni kadhaa zimeshatumbukizwa huko, nilitegemea by now kuona walau bwawa limeinuka angalau hata sentimita 50, lakini wapi!
Kuna anayefahamu kinachokwamisha?
Wanajamii nawasalimu, natumaini wote mpo salama weekend hii.
Sasa niende kwenye point hasa kwenye suala ukamataji wa jeshi letu hasa pale inapotokea uhalifu.
Mfano tukio la Mwanza, Polisi...
Bila shaka wote mko poa kabisa.
Kidoti wenu nimerudi maji ya shingo nashindwa hata pa kuanzia. Kama familia yangu ya JF naombeni ushauri wenu wenda nikapata hata msaada.
Kama mnakumbuka nilileta...
Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Vijijini RUWASA inatarajia kusambaza mita za maji za malipo ya kabla (mita za prepaid)baada mafanikio ya kufunga mita za majaribio Kwa wananchi ambazo...
ZIFUATAZO NI BAADHI YA DALILI NANE MUHIMU ZINAZOONYESHA KUWA MALANGO YAKO YAMEFUNGWA NA ADUI🦸🦸🦸
1. UNAPOTEZA KIBALI NA BADALA YAKE UNATAWALIWA NA ROHO YA KUKATALIWA(SPIRIT OF REJECTION)...
Huyu mchungaji wa Kenya katoa ushuhuda na kupongeza Wakristo kwamba ndo njia peke ilio baki kunusuru dunia hi, msikilize kwa makini af ufanye comment yako kama ni kweli analo sema au laa, utowe na...