Tanzania inadaiwa kununua ndege mpya ya Gulfstream G700, ambayo ni kwa matumizi ya serikali - bila shaka matumizi ya Rais.
Pichani ni aina ya ndege iliyonunuliwa. Hii ni ndege ilizinduliwa mwaka...
Waziri wa uchukuzi Prof. Harrison Mwakyembe amemtaja mshukiwa mmoja wa dawa za kulevya aitaye Nassoro Mangunga, lakini mshukiwa huyu pamoja na picha zake alishaandikwa na gazeti la SANI katika...
Wataalamu watuambie hii ni artificial intelligence au ni kweli? Je cameras zinawezaka record wanga,misikule n.k ikiwa kwa macho ya nyama hawaonekani? Yaani mfano ukaamua uweke cctv camera nyumbani...
Habari zenu wakuu
Mwaka unaenda kasi sana njaanuary hioo inaishia
...
Kuna mambo mengi ambayo unakuta mtu anajua kabisa madhara yake au kama hajui hata akishaambiwa madhara yake bado haachi, mfano...
Rais Donald Trump amesaini rasmi amri ya kiutendaji jana, Jumatano, Februari 5, 2025, ya kupiga marufuku wanamichezo waliobadili jinsia kushiriki katika michezo ya wasichana na wanawake.
Amri...
Thread yangu ni kama kichokoza mada.
Katika miaka ya zamani wezi, mafisadi, wauza unga wengi walitakatisha fedha kupitia ndoa, mhusika anaoa ama kuolewa na public figure yeyote then kutakuwa...
Kila nikitembelea jengo la NSSF Ilala hukuta kamba zimefungwa kwenye ngazi ili zisitumike hivyo kulazimisha zitumike lifti tu!
Kitendo hiki ni cha kuhatarisha usalama wa watumiaji wa jengo hilo...
Morogoro, 6 Februari 2025. Kampuni ya sukari Kilombero, leo imeandaa Mkutano wa Wadau ambao umewakutanisha na viongozi wapya wa serikali za mitaa pamoja na wadau wengine kutoka bonde la kilombero...
Ni miaka zaidi ya 60 tangu tupate uhuru na hata kufikia muungano na kutengeneza taifa linaitwa Tanzania. Punde baada ya uhuru Mwl. J.K.Nyerere alitangaza maadui wa maendeleo; Ujinga, Umaskini na...
Mfanyabiashara wa Kitanzania, Edhah Abdallah, kupitia kampuni yake Amsons Industries (K) Ltd, amefanikisha ununuzi wa asilimia 96.4 ya hisa milioni 362.96 za Bamburi Cement, kwa jumla ya KSh 23.2...
Maelezo ya picha,Baadhi ya watu walipotea katika mfululizo wa matukio ya utekaji nchini Tanzania
Maelezo kuhusu taarifa
Author,Sammy Awami
Nafasi,BBC Swahili
Akiripoti kutokaTanzania
Saa 3...
Wana bodi, nimepata taarifa ambazo sijaweza kuzithibitisha moja kwa moja kuwa muuza madawa ya kulevya maarufu sana magomeni mapipa ajulikanaye kwa jina la Beka (beka range) ameng'ang'aniwa na...
Hili suala la TRA kuruhusiwa kuajili wenyewe ndio mwanzo wa kurudisha enzi zile za kujazana kabila Moja ofisini hakuna ushindani wa kupata ajira,
Aliemshauri Rais kuruhusu hili ametoa ushauri kwa...
1. Katika kuhakikisha wanakamata soko la usafirishaji wa Anga. RwandAir, Uganda Airlines na Air Tanzania kuungana ili kupambana na washindani wakuu kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki (Kenya...
Nimeona huu mjadala
Mahala. Kama KKKT wanatakatisha fedha ni vema serikali iwachunguze Maana hawalipi kodi hawa.
Pia hawa wasamaria wanaoleta hizi taarifa inabidi serikali iwalinde wasije...
Hello!
Kama kitu mwanadamu anapaswa kujuta akikosa basi ni Roho Mtakatifu.
Kitu cha thamani mno.
Mtu aliyejawa Roho Mtakatifu na akaishi kwa kusikiliza sauti ya Roho Mtakatifu hawezi kusumbuka...
Wakuu,
Clouds FM kupitia ukurasa wake wa Twitter, wameposti video inayoonesha magari aina ya Land Rover zaidi ya 10 ya nabii huyo, magari ambayo anaenda kumpa kwa muda mkoa wa Arusha, Paul...