Watu wengi hukimbilia miujiza hasa makanisani kwa manabii wetu hapa Tanzania bila wao kujiuliza maswali ya kina na kujijibu.
Kwa wasiojua siri na uovu wa manabii wengi hapa Tanzania na hata nje...
MUNGU BAADA YA KUKATALIWA NA WANADAMU ZAIDI YA MARA MBILI AKAAMUA KWENDA MBALI NA USO WA DUNIA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Maskini! Ni simulizi ya kuhuzunisha Sana. Hakuna kitu kibaya kama...
Kuna namna fulani ambayo wanawake wa kileo wame evolve kuwa allergic na maisha magumu au ya kuunga kuunga. Kuna namna fulani hivi ambayo wanawake wa kileo wameweza ku-set standards zao katika hii...
Wakuu Tanzania tunategemewa kuwa host wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi unaenda kwa jina la Africa Heads of State Energy Summit utakaofanyika January 27 - 28, 2025 Dar es Salaam, Tanzania
Tungependa...
Muathirika wa UKIMWI akikubali hali na kufuata masharti tu anaishi miaka mingi sana hata ya maisha ambayo ingebidi aishi .kikubwa kuhakikisha kinga yako iko vizuri iwe kwa dawa -ARV plus lishe...
Tukiwa tunaadhimisha siku ya Ukimwi duniani leo trh 1/12/ 2024, tusidanganyane, bado ugonjwa huu wa ukimwi ni hatari na tishio zaidi kuliko magonjwa mengine.
Ukimwi ni mateso hadi kifo, chanzo...
Wasalaamu......................................
Mimi ni msikilizaji mzuri sana wa vipindi vya Wapo TV vya Askofu Gamanywa na Ngonyani sidhani kama kuna kipindi nimekosa toka wameanza Oct 7 2023...
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim, Jaffari Matundu (kati) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) kutangaza ununuzi wa Benki ya Canara Tanzania ambayo rasmi inakuwa sehemu ya benki ya Exim...
What do you usually put in your handbag? Cosmetics, money, keys and what else?
Any woman can easily fit in a tiny bag of almost the whole wardrobe.
Handbag is still women affairs! If only you knew...
Serikali imejikita kuhakikisha inapunguza bei ya mitungi ya gesi ya kupikia na kutoa ruzuku ya asilimia 20 ya mitungi hiyo Ikiwa ni sehemu ya kutekeleza Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati...
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe.Daniel Chongolo, amepongeza maendeleo ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Momba iliyopo katika Kata ya Chitete, akibainisha kuwa licha ya kasoro ndogo zilizojitokeza...
In a case that has captured national attention, the arbitration dispute between Oryx Energies and Oilcom Tanzania has raised profound questions about business integrity, arbitration practices, and...
Hivi kwa jua hili, mbuzi au ng'ombe anafungwa juani kuanzia asubuhi hadi jioni. Hii sio sawa kabisa, kama mtu hawezi mkatia majani basi aende akachunge.
Unakuta mnyama anahema mpaka unamuonea...
Habarini za wakati wakuu.
Nashindwa kujua namna ya kufanya kupandisha humu jamii forums video za mitandao mingine hasa youtube naombeni mnipe njia.
Amani ya bwana iwe nanyi.
mshamba_hachekwi...
Januari 28, 2025 imekuwa ni siku ya pili ya utekelezaji wa mradi wetu wa Afya ya Akili mashuleni, mradi ambao unalenga kuhamasisha na kutoa elimu kuhusu afya ya akili kwa wanafunzi na walimu hapa...
Hii dunia bhana ina maarifa mengi yaliyojificha. Kuna kipindi niliwahi pata vifungo vya kichawi, nikawa naenda kinyume na dunia inavyotaka. Basi, baada ya kupambana muda mrefu bila kupona...
Je huwa unaogopa kuishi maisha yako kwa kuhofia watu watakuonaje?
Huwa unaogopa kuchangia mijadala mbali mbali ili usionekana hauna uelewa wa kutosha?
Huwa unaogopa kupost kwakuwa unadhani sio...
Town Kuna joto ndani ya muda mfupi unaweza jikuta umekata hata 2 litres kimbembe kinakuwa unapokuwa kwenye mazingira ambayo hayana access ya restroom kama Bank.
Je na wenzetu huko Ulaya bank zao...