Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Akili ya mwafrika ninaijua vizuri utafikiri Mimi ndio nimewaumba waafrika. Waafrika watasema: " Ooh! GeorDavie anachukua nyota za watu anao wasaidia ndio maana kila akiwapa magari wanapotea...
6 Reactions
40 Replies
1K Views
Dar es Salaam. Shahidi wa 16 katika kesi ya mauaji inayomkabili Miriam Mrita, mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara tajiri maarufu wa madini mkoani Arusha, marehemu Erasto Msuya, maarufu kama Bilionea...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Gari la Polisi lililodaiwa kutumiwa na washtakiwa wa kesi ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini, Mussa Hamis kwenda katika kituo cha Polisi Mitengo Mtwara na kisha kuondoka na mtu aliyebebwa...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Yustino John Mgonja ameieleza Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara namna mfanyabiashara wa...
36 Reactions
351 Replies
35K Views
Wakati ambao zimekuwa zikiripotiwa taarifa za uwepo wa ugonjwa wa kipindupindu katika maeneo mbalimbali nchini lakini inashangaza bado inashuhudiwa uwepo wa masuala ambayo yanaweza kuchangia na...
0 Reactions
1 Replies
292 Views
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba amesema kuwa Noti Mpya za Tanzania zenye Saini ya Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb) na yeye mwenyewe, za toleo la mwaka 2010...
10 Reactions
77 Replies
4K Views
Tumezeeka kwenye vita Tumezaa Watoto kwenye vita Maisha yetu ni tabu tupu Kila siku kutanga Tanga Hatuogopi kifo Kwa sababu bila Nchi hakuna maisha...
0 Reactions
2 Replies
277 Views
Ni kama Scenario ya Mgahawa..., kuna wateja wamekuja kuburudika sisi kama dunia (wenye mgahawa) kwa busara zetu tunajua wateja wote ni wafalme.., sasa kuna huyu mteja mmoja analeta sintofahamu...
0 Reactions
15 Replies
260 Views
Zawadi ni kitu kizuri sana hasa pale unapopewa na mpendwa wako Zawadi ni kitu kizuri sana hasa pale unapopewa kama motisha wa kufanya vizuri zaidi Zawadi ni kitu kizuri sana hasa pale unapopewa...
13 Reactions
64 Replies
2K Views
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa wito kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kumchukulia hatua za kinidhamu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert...
0 Reactions
27 Replies
1K Views
Vijana Wapiga Kambi viunga Vya Uwanja wa ndege wakisubiri kuwasili Kwa Rais wa Burkina Faso Captain Ibrahim Traore Vijana hao wanadai kumpungia tu mkono Captain Ibrahim Traore ni Baraka kubwa...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Sasa mm nimeamuaa kuja na wife wangu nyumbani kama nilivyosema awali nina mke mkenya sasa nataka nije nae home jee nitatakiwa kufuata taratibu gani ni mjamzito tayar
2 Reactions
38 Replies
451 Views
Ushauri wangu kwa Rais wa Tanzania Dkt. Samia ampe tena kazi Prof Anna Tibaijuka kwasababu ana uzoefu mkubwa sana wa masuala ya utumishi akili kubwa kama hii isistaafu mapema Prof Tibaijuka ana...
6 Reactions
98 Replies
1K Views
TANESCO Chanika, Ilala tunaomba ufafanuzi wa kwanini umeme unakatika sana Chanika mwisho pale eneo lote la Stand ya Mbagala Nina shangazi yangu anaishi Chanika mwisho anadai umeme unakatika sana...
1 Reactions
17 Replies
289 Views
Wakuu nataka niwekeze humu kwene piki piki. Nahitaj kumiliki vyombo vya moto kwa kuanza na pikipiki moja. Nataka nipate mkataba ambao utaniwea rahisi na unaombana mwendeshaji kuweka nidham ya...
1 Reactions
20 Replies
543 Views
Naombeni Ushahuri, Nnamdogo wangu kapata fursa ya Kusomea Locomotive Driver (Dereva wa Treni) uko Tazara ambapo wataenda somea Huko Zambia kwa muda wa miaka Miwili chet kilichotumika ni cha Form 4...
0 Reactions
2 Replies
135 Views
Tafiti hupingwa kwa tafiti. Kenyan Doctor exposes World Health Organization’s dark agenda to depopulate Africa through vaccines. ========================== 29/01/2025...
1 Reactions
30 Replies
1K Views
Usalama wa Taifa ni pamoja na Utulivu wa Raia wake. Kiukweli kabisa Huwa Nashangaa hii Nchi yetu vipi? Trump kajitoa WHO, taarifa na vumi mbalimbali kuhusiana na upatikanaji wa ARVs zinazunguka...
11 Reactions
54 Replies
2K Views
Wiki mbili zilizopita nimepata msiba wa kuondokewa na mzazi wangu wa kiume yaani Baba. Kupitia issue hii nimejifunza mambo Mengi sana. : Rafiki wa kweli siye unayeishi naye sasa. : Sio kila...
16 Reactions
43 Replies
1K Views
Huko Marekani kuna uhaba mkubwa wa mayai, kama huna buku mbili huli yai moja. Msemaji wa serikali ya Trump anasema ni kwa sababu ya utawala wa Biden kuua kuku milioni 100 na sera zake mbaya za...
3 Reactions
11 Replies
429 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…