TANESCO zamani nguzo za umeme hizi za milingoti zilidumu hadi miaka 20 na kuendelea kwa sababu licha ya treatment ya kuchemsha kwenye dawa, ziada ilikuwa
1. Shimo la kusimikwa nguzo kulimiminwa...
Habari ndugu zangu, Wana jukwaa wenzangu hasa tunaoishi ndani ya Jiji chafu kuliko yote nchini, Jiji la Mbeya
Naomba leo niwape angalizo kidogo hasa sisi wenye Watoto ambao ni Wanafunzi, tujaribu...
Kufuatia andiko la Mwanachama wa JamiiForums.com kuhusu huduma ya maji katika baadhi ya maeneo ya Nyegezi Jijini Mwanza kudaiwa kuwa ni duni, kisha kuitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa...
Mliokimbizwa kea nguvu na mliokimbia kwa hiari karibuni tena.. Najua mlipamisi sana hasa pale kati.. Leo mitaa ilikuwa tupu na barabara hasa za kuelekea na kutoka Airport ilikuwa raha tupu
Hakuna...
Orodha yake sikii kaicopy wapi ya nchi ambazo raia wake watatimuwa Marekani. Hii atajuwa ka copy mahali na hajiulizi, anacopy na anaweka watermark yake kana kwamba kaandaa yeye kumbe kacopy tu mahali.
Kama ungelikuwa Rais wa Congo DRC, ungeweza kuifanya hiyo nchi kuwa na amani?
Naamini suluhisho la Congo DRC lipo kwa Wacongoman wenyewe! Lakini hilo wataweza kulifikia kupitia viongozi wao, kama...
Hili sakata linaloendelea la Rais Donald Trump kutishia kufuta misaada iliyokuwa inatolewa kwa Nchi Maskini hasa afrika imezua kasheshe.
Hata hivyo wananchi ktk mataifa mbali mbali yaliyoko...
Mimi sio msomaji mzuri wa Biblia lakini nikipata muda kidogo huwa natulia kusoma baadhi ya vitabu vya Biblia.
Leo nimesoma kitabu cha Matendo ya mitume kinachozungumzia maisha na matendo ya...
Imekuwa ni kawaida kwa wale wateja ambao matumizi yao kwa mwezi ni chini ya 75 units kuwekwa kwenye tariff zero (yaani huyu mtu kwa takribani 9600/= anajipatia units 75); Sasa kuna wadau kama...
8 things you should never, ever reveal about yourself, according to psychology
There’s a fine line between being open and oversharing.
Over-sharing can sometimes place us in vulnerable...
Yaani kila mwanakijiji au kama tukiamua wote wawe Tariff Zero kila mwenye Mtungi wa kujaza elfu 25 akienda kununua huyu wa umeme anasave elfu 16 au kwa maana nyingine ni kama mwenye umeme...
Kutokana na mkutano wa nishati wa viongozi wa Afrika barabara zikafungwa, kazi zikasitishwa, wanafunzi wakasalia majumbani. Tukayaficha matatizo ya jiji la Dar es salaam kwa muda. Ingawa nayo...
Wakuu kheri nyingi kwenu nyote.
Tuanzie hapa.
Miaka kadhaa iliyopita hapa kazini ulikuja uongozi mpya wa wazungu kuanzia ngazi ya gm,super hadi kwa foreman.
Hawa wazungu walikuwa wametoka...
Jamani, Jamani
Wapendwa wa humu narudia tena, Chana au haribu kabisa tiketi au karatasi yoyote yenye taarifa zako sahihi kwa usalama wako.
Niko hapa Police Kimara, rafiki yangu wa kiume...
Wengi hawamjui cheetah ni yupi
Haswa. leopard ni yupi ?, na jaguar ni yupi ?
Kutokana na ufanano wao wanyama hao tofauti watau wanafananishwa sana !
Hanatofautiana katika asili yao, namna yao ya...
Hawa majamaa Wana roho nzuri Sana kwanza katika biashara wanauza bidhaa zao kwa Bei nafuu kuliko Wafanyabiashara wengine
Kingine wapemba Ni wakarimu Sana wanapenda ufanikiwe Wana ushauri mzuri...
Salaam Aleykum ndugu katika imani,
Nilisikiliza hii kauli ya mheshimiwa RC Dar Chalamila ikabidi kwanza nitafute hao uduvi wanaoongelewa hapa ni kitu gani, nikagundua uduvi ni dagaa wa kamba wale...
Safari yangu ilianzia Mwanza to Kigoma, then Kigoma to Dar...
Saa 12 asubuhi nilifika stand ya Nyegezi nikapanda gari moja maarufu linaitwa adventure, Mwanza kwenda Kigoma yapo magari maarufu...