Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Ndio, tunataka kujua kama mmeamua kuacha kwenda bar kwa maana chupa 2 mbili tu kwa kila siku 364 za mwaka mzima sio chini ya 500,000 kwa mwaka. Ndio, tunataka kujua kama mmeamua kuacha kuchukua...
0 Reactions
0 Replies
87 Views
Huu ni mtazamo wangu binafsi ambao ni based kutokana na experience nilizopitia mpaka Sasa. Maisha yanapokuwa magumu mara nyingi fikra zinakuwa ni zilezile unatumia energy na Akili kubwa kuwaza...
7 Reactions
24 Replies
1K Views
Wanabodini Habari.. Siku Za hivi Karibuni Hapa Jukwaani Na Hata Mitaani Nimeshuhudia Ongezeko Kunwa La Watu Wasioamini Uwepo Wa Mungu.. Mnadhani Shida Ni Nini? Na Nini Kifanyike Kutukomboa Sisi...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Maisha Hayana Mapambo: Ukweli Usio Na Filter Unapokuwa Mzee Kadiri muda unavyosonga mbele, maisha yanafunguka kwa njia ambazo mara nyingi hatutarajii, yakileta masomo na uzoefu ambao hutufanya...
6 Reactions
5 Replies
236 Views
Unabeba mimba siku ya Valentine ukijua kabisa December hutoboi. Weka hata buku kila siku, Kuna vigogo waeili waliofariki nwaka jana waneacha watoto wawili tu kila mmoja. Wewe choka mbaya unazaa...
11 Reactions
39 Replies
840 Views
Nipo huku kijijini matolwa nawitwa Judah Kama kichwa kisemavyo Kuna mtu humu alikuwa ni mbishi sana kuhusu uwepo wa Mungu kuliko wote ambae ni min -me maana huyu alikuwa mbishi sana kuliko hata...
2 Reactions
10 Replies
433 Views
Ni mwendelezo wa Sakata la unga ambalo sasa ni janga kwa taifa letu. Orodha zinaendelea kutoka na kuwekwa wazi huku bunge likivutana kuhusu sakata hlo. Tetesi za kutoka ndani zinasema msanii wa...
18 Reactions
250 Replies
41K Views
Msanii, mtangazaji, na mtumishi wa Mungu, Emmanuel "Masanja Mkandamizaji" Mgaya, leo Disemba 25, ameonesha kwa mara ya kwanza maendeleo ya ujenzi wa kanisa lake jipya, Feel Free Church. Kanisa la...
20 Reactions
64 Replies
4K Views
Dar es Salaam. Biashara ya ukahaba imevamia kwa kasi baadhi ya maeneo ya Jiji la Dar es Salaam, na kusababisha kero na adha kubwa katika makazi ya watu, hasa eneo la Sinza kiasi cha kuzifanya...
14 Reactions
206 Replies
25K Views
Wakuu Habari zenu. Kuna jirani yangu huu mwaka wa 12 haonekani na namba yake ikawa haipatikani mpaka Sasa ukipiga amepewa mtu mwingine kabisa. Sijui nini kimemkuta ila Kwa asilimia kubwa atakuwa...
33 Reactions
111 Replies
5K Views
KUNA WATU HAWANA SONI ILA NITAWAFURAHISHA, MNAJIITA NDUGU ZANGU KUMBE NI KENG*E TU! Kama unavyojua familia za Kiafrika, mmoja akishatoka kimaisha basi unachagua na ndugu zako kuja kuwasaidia...
49 Reactions
153 Replies
9K Views
TAARIFA KWA UMMA RATIBA ZA TRENI KUFUATIA MKUTANO WA NISHATI WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA JIJINI DAR ES SALAAM JANUARI 27-28, 2025 Dar es Salaam, Januari 26, 2025. Shirika la Reli Tanzania (TRC)...
1 Reactions
2 Replies
142 Views
Habari ya weekend wana bodi Natumaini Waziri mwenye dhamana pamoja na serikali huwa wanapita humu JF, Hoja yangu ni juu ya kupanda bei kwa mafuta ya kupikia kila siku iitwapo leo. Mafuta ya...
4 Reactions
2 Replies
247 Views
Hivi unahisi Tanzania ya Leo ni sawa na miaka ya 60? Unapokuja kulazimisha hospitali za Umma zianzishe utaratibu wa kuchangisha pesa kinyume na miongozo ya afya una maana Gani? Kuna huduma...
8 Reactions
6 Replies
349 Views
Anonymous
Kumekuwepo na sintofahamu kwa Walimu Wakuu wa Shule za Msingi za Serikali kutokana na utaratibu mbovu katika kugawa vitabu vya shule za msingi kwenye Halmashauri yetu ya Momba. Vitabu...
0 Reactions
1 Replies
288 Views
Msikilize huyu mtanzania!! Mkurugenzi wa Hospital hiyo kubwa nchini,amejikita kwenye miradi ya ujenzi,akiachilia mbali maisha ya watu! Idadi ya vifo ni kubwa mno, na Kuna uwezekano mkubwa...
9 Reactions
69 Replies
2K Views
Nina biashara yangu mahali na inaonekana vibaka ndiyo wanaweza wakanirudisha nyuma nisipochukua hatua yoyote kuwadhibiti. Nimeona pamoja na hatua nyingine nitakazochukua kuwadhibiti njia nyingine...
3 Reactions
4 Replies
245 Views
1: You were heartbroken by the one you loved. 2: You were rejected by the one you admired. 3: She/He cheated 4: Feminism 5: Toxic Masculinity 6: I have realized that Love is overrated 7...
3 Reactions
23 Replies
383 Views
Natumai wote hamjambo humu. Nina ndugu yangu amekuwa mlevi wa kupindukia, hapo awali alikuwa ni mtu smart na mpambanaji wa maisha, sijui kitu gani kimemkuta, anakunywa pombe muda wote hata kazi...
12 Reactions
159 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…