Siku ya Haki za Binadamu huadhimishwa kila mwaka duniani kote tarehe 10 Desemba.
Siku hii inaadhimisha kumbukumbu ya moja ya ahadi muhimu zaidi duniani: Tamko la Ulimwengu la Haki za Binadamu...
Niaje niaje............najua kuna baadhi tunaishi huku wengine wana ndugu wengine jamaa na kadharika.........ila ili limenigusa sana .........maana kurudi tena nyumbani kuja kuanza upya ni kisanga...
Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko yashuhudia ongezeko kubwa la hamasa kupitia kampeni ya Samia Legal Aid Campaign (MSLAC), ambapo elimu ya sheria inaendelea kutolewa kwa wananchi kwa kasi kubwa...
Nimefuatilia sana hawa wa Oromo wa Ethiopia nimekuja kujiridhisha pasipo shaka kwamba ndio hao hao wa Mbulu ambao wao wali hama wakajikuta wamefika Tanzania.
mwo Oromo akiwa amejichora, kumbuka...
Uchaguzi wa hivi karibuni ndani ya Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania (CHADEMA) umekamilika, lakini umeibua maswali mengi—hasa kuhusu uwakilishi mdogo wa wanawake katika ngazi za juu za...
Huyu ni makamu wako mpe nafasi awe mgombea wako wa uraisi halafu wewe tulia kunywa juice ya embe naamini ccm inaenda kuanguka kupitia huyu mwamba sijaona Cha kuizuia chadema kama wakimsimamisha...
Sina mali nyingi ila nashukuru Nina nyumba kadha wa kadha, viwanja , mashamba na mifugo kijijini kwetu.
Watoto wangu wanasoma na watamaliza bila shaka. Nimetafakari haya maisha hayana garantii...
Siku hizi hakuna cha inspiration za bibi titi mohamed.
Siku hizi unakutana na mwanamke mwenye mafanikio na alama katika taifa lakini njia ya kufika kwake ilikuwa kujipost uchi uchi mtandanoi...
Chama Cha Mapinduzi kimewaomba wananchi wa Zanzibar kumsikiliza, kumtafakari,kumtazama hatimaye kumpuuza Mwenyekiti wa AAFP Said Soud Said aliyedai zanzibar haina maendeleo yoyote kwa miaka...
Kuna wakati Godbless Lema aliwqhi kusikika akisema kazi ya Bodaboda sio kazi, kaul8 hii ilinitafakarisha sana, kwanza nilijaribu kuingia kwenye mawazo yake ili kuhukumu kwa haki. Ikumbukwe kuwa...
Nyie fauluni, tutakutana kwenye ajira.
Ujumbe kwa wazazi.
Wazazi anzeni kujiandaa mapema. Watoto wenu watafaulu sana, tena kwa marks za juu. Wataingia vyuoni watafaulu sana kwa marks za juu...
Habari ndugu zangu wa jukwaa hili ambalo limekuwa sauti Kwa wasiyo sikika.
Ndugu yenu katika pitapita zangu nikajikuta nimeibukia Wilayani Kilombero Mkoa wa Morogoro, nilichokutana nacho kwa...
Wakala wa mtandao wa Yas wajulikanao Poa Communication tawi la Zanzibar enelo la Amani huduma zao ni mbovu sana.
Nilitaka kupatiwa huduma ya Uwakala wa Mixx by Yas na nikaelekezwa niende ofisini...
Nina kiwanja changu kama nusu eka nilichonunua 2012 maeneo ya Chanika. Nilikizungushia fence ya waya na mara moja moja nilikuwa natuma mtu apasafishe.
Takriban miaka 6 nilikuwa nje ya Dar kikazi...
tena na tena barabara ya kigambo. pale dege centre pabaya sana matuta muhim. watoto wa shule wanavuka pale. gar zinazotokaga kule kimbij avic town ni zinapita na 120 kwenye kona shwaa.
hii...
Nchi hii ina miujiza mingi sana
Nimeona shule moja ina watoto almost wote wamepata Division One Point 7
Mtoto anayepata distinction, straight 7 As, au kwa lugha nyingine mtoto ambaye ni A...
Nawapongeza sana Azam TV kwa jitihada zao,ubora wa vipindi na mwonekano wa channel zao hongereni sana.
Nichukue fursa hii kuwaomba uongozi wa media yetu pendwa kubadilisha tamthilia ambayo...
Napongeza sana uwekezaji wa Azam kwenye SeaTax , vivuko vipya kutoka Kigamboni - Magogoni - Kigamboni.
Ni jambo jema japo lilichelewa.
Ishu inakuja kwenye gharama ya kuvuka, kwa sasa ni Tsh...
Hali ya “Kukoroma” hutokea kwa baadhi ya watu wakiwa wamelala.
Linaendelea kuwa tatizo kwa sababu linazidi kukua kwa kasi.
Kwa wale tuliosoma Shule za Bweni tunalijua vizuri hili tatizo.
Lakini...
Wanabodi Hamjambo...
Ni Wazi Kila Serikali Duniani Nia Na Lengo Lake Ni Kuleta Maisha Bora Kwa Wananchi Wake. NA ndio Maana Moja Ya Slogan Katika Kupindi Cha JK ni MAISHA BORA KWA KILA...