Mimi ni miongoni wa wakereketwa kutokana na hizi simu za marketing za DSTV. Wamekuja na njia mpya ya kupigia watu simu kwa namba tofauti tofauti binafsi. Kama mtu hajalipia kifurishi kwa muda...
Nafikiria kuelekea nchini Malawi kwa ajili ya kuangalia Fursa mbalimbali za kibiashara
Kwa anayeifahamu vizuri nchi hii anisaidie majibu ya maswali haya
1.Gharama za maisha zipoje mfano...
Nilikuwa siamini Ile kauli ya Vyama vya Upinzani kulambishwa Asali Ili wakae Kimya, lakini kwa namna mambo yanavyoenda naamini kabisa kuwa Wamelamba.
Haiwezekani Umeme ukatike hovyo hovyo bila...
Kwema Wakuu!
Nimeshawahi kuishi Mafinga mara kadhaa lakini sijawahi kuona baridi kama ya Juzi jumatatu tarehe 19. Dadeki baridi mpaka ukungu weñye barafu nyepesi ilikuwa inadondoka.
Nimefika Saa...
Nilikuwa na Wake Wengi Kabla Sijaokoka . Sasa Nimeokoka , Je! Niwaache?
Je Mkristo Kuwa na Wake Wengi Ni Dhambi?
[emoji94][emoji94][emoji94][emoji94][emoji94]
[emoji2399] Mwl. Akidu
0628366559...
Kuna watu maarufu ambao wamewahi kutembelea Tanzania, na kwa namna moja au nyingine kuwa chachu ya mwamko wa kisiasa nchini. Tumetembelewa na watu kama Fidel Castro, Che Guevara, Nelson Mandela...
https://www.youtube.com/live/P1Wh1QZrawc
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali atakuwa akiongea na Waandishi wa Habari wa Mkoa wa Morogoro na...
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
Jaribu kutafakari hili siku ya leo.
Dunia ina maisha ya watu ya aina tatu tu.
(Kundi A wazee wa tabu)
1. Kuna watakaopata taabu duniani na wakifa...
Salamu wana jukwaa
Nimekuwa nikijiuliza je mamlaka husika zineshindwa kabisa kusitisha matumizi ya namba za simu zisizosajiliwa?
Hizi jumbe za tuma hela kwenye namba hii zimekuwa ni nyingi sana...
Profesa wa Chuo Kikuu Sokoine cha Kilimo (SUA) kilichopo Mkoani Morogoro, Christopher Kasanga na mwenzake Linael Makundi mfanyakazi wa Benki ya CRDB Tawi la Mandela mkoani hapo wamefikishwa...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watuhumiwa wawili kuhusiana na taarifa inayosambaa katika mtandao wa kijamii ikieleza kunusurika kuuawa, kutekwa na kupigwa nyundo kichwani kwa raia...
1. Kushindwa kujidhibiti na
kuwajibika.
2. Kukojoa kitandani kwa Watoto katika umri makubwa na Hata watu wazima.
3. Kukosa utulivu pamoja na kulipa kisasi.
4. Kukata Tamaa Baada ya kugunduliwa...
Habari zenu wakuu, natumaini mko poa.
Kabla sijaenda mbali ningependa wataalamu na wazoefu wa hili suala la dangu za utajiri je lipo? Kama lipo linafanya kazi?
Kama linafanya kazi stakeholder na...
Nipo Tanga kama siku ya tano hivi nikitokea Moshi, aisee Jiji limepoa kishenzi kama Singida yani sijaona ujenzi mkubwa unaoendelea hapa hata wagorofa tatu, na kwenye viwanda tulimopita kuomba kazi...
Waziri wa mambo ya ndani, home boy kabisa, nilikutabiria utakuja kuwa Rais wa Tanzania
Ulivoteuliwa kuwa waziri wa mambo ya ndani ilifanya kazi njema ya kutuliza uhalifu wa utekaji holela na...
Hili swali Huwa najiuliza sana alafu sipati majibu
Hivi ni kweli hawa viongozi wa serikali hawajui magumu wanayopitia watoto pale wanapoingia kidato Cha kwanza na kukuta lugha imebadirika ghafla...
Niger, Mali na Burkina Faso ambazo zinaunda umoja wa nchi za Sahel ( AES) zinatarajia kuanzisha kikosi cha pamoja ili kupambana na magaidi.
Hayo yalibainishwa na waziri wa Ulinzi wa Niger Jenerali...
Dar hapa bei ya tango sio poa
Tango 1 linaanzia 1000 kupanda juu
Zamani tulinunua sh 100 tu
Matango Yana kazi nyingine huko Dar
Matango yanaadimika au be mkasi
Matango hayapendwi na watoto na...
Mimi siyo mwanasiasa!
Kwa wale wasionijua niwafahamishe tu mimi ni Fundi umeme na ujenzi natambulika popote kama chata la fundi SAMICO!
Uchaguzi wa CHADEMA umenifanya nimtafakari sana binadamu...