Ndoa na kuoa ni Gereza lenye ghiriba kubwa , ulaghai wa wazi, uchoyo wa wazi, ubinafsi wa wazi.
Mwanangu Debora tumekupa Ghorofa la Bahari Beach, Nyumba Madale, Kiwanja DSM na Dodoma.
Ndio...
Nilifuatilia mkutano mkuu wa CCM, nikaona mzee mzima analazimishia azimio, nikajua hapa tayari
Wale waliokua wanakusudia kuchukua form na kupambana na mama itabidi warudishe mikia yao tumboni...
Taarifa ninazozipata kutoka ukumbini pale Mlimani City katika uchaguzi wa CHADEMA Taifa, ni kwamba Team Mabadiliko imeibuka kidedea.
Hii ni taarifa njema kwa Tanzania
Huu ni msiba kwa CCM
Hii...
Na nasikia Mmoja wao Watu hawataamini kuwa nae kafika Bei kwani katikati mwaka jana alipiganiwa na kuonewa mno Huruma lakini huyo huyo kaamua Kusaliti na Kufika Bei.
Wengine Wawili waliobakia...
🤣🤣🤣
Ndugu yangu ukata ni stage ya kila mtu, unapokuwa katika stage hii unakuwa stressed kutokana na limitations za bajeti yako so kinachofatia ni kujifariji kwa maamuzi unayofanya yaliyo ndani...
Uzi wa kutupia clips na screeshots zinazohusu ishindi wa Lisu tarehe 22/01/2025
Kupitia hapa, pongezi hizi ni muhimu kwa kumbukumbu tutakapompongeza tena hapo Oktoba 2025
Yaani unamdhulumu ama kumtapeli mtu kiasi fulani cha pesa,kiwe kikubwa au kidogo,halafu hakupeleki mahakamani,halafu hakumbushii tena deni analokudai.
Halafu mambo yake biashara zake zinaenda...
https://www.youtube.com/watch?v=tjFWwo6VAx8
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, DKt. Samia Suluhu Hassan Akiwaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani, Ikulu Chamwino Dodoma, leo tarehe 22...
Kwema wadau,
Nimepata safari mkoani Arusha sehemu inaitwa mto wa mbu, Wajuvi/zi nipeni sehemu za kupumzika usiku nikiwa na balimi moja mbili na sehemu nitapata demu wa kupoozea uchovu wa kazi...
Kuna vijana wanaotoka kwenye mazingira magumu lakini wanashinda changamoto na kufanikiwa maishani.
Unadhani ni nini kinachowasaidia kufanikisha haya licha ya changamoto kubwa wanazopitia? Na...
Thinking being, hebu jiheshimu, be noble
Ni vipi unaweza kujifikiri na ukawa yule unayefikiri kuwa?!
Nafikiri mimi ni mtu wa watu, mcheshi, sina makuu, sifa zote za kikristo nipe mimi niliye...
Hongoreni wana Chadema Kwa kufanya uchaguzi Kwa utulivu na amani ,
Wadau wengi walikuwa wakiandika juu ya ushindi wa Lisu humu mitandaoni na maoni ya wengi yalikuwa yanaonesha kuwa Lisu...
Jamaa yangu ananiambia maneno haya akiwa na huzuni sana.
Kama kuna jambo sitakuja jisamehe ni hili la kufikiria kuwa Yericko Nyerere alikuwa anafahamu mambo ya ujasusi. Hili sitajisamehe kwa...
Habari zenu TANESCO mkikata umeme asubuhi tunaomba rudisheni umeme saa kumi na mbili wengine tunaishi mazingira mabaya sana ukikaa vibaya umelala na nyoka kitandani na mna jifunika pamoja kwenye...
Leo ni wiki inafika na sijapata huduma.
Update :
Leo tarehe 21/12/2024 saa tisa na dakika 35 tanesco wamefika na wametatua tatizo
Asante sana meneja asante sana mdau Sope suazo kwa kunipa namba...
Baada ya mechi ya Simba kuisha Tanesco mkachomoa fyuzi, hivi sasa saa 00:00 hamjarudisha umeme Mbagala Dar es Salaam,
Sasa saa 00:04 mmerudisha umeme! Mungu awalaani.
Kuna vitu hapa duniani huwezi kuvielewa mpaka akueleweshe Likud.
Kuna watu hapa JF WaPo addicted with my opinion about everything.
They love the way I think. Sio Kwa meseji hizo inbox wakiuliza...