1. UTANGULIZI
Najua watani wangu wa Kagera, akina nshomile mtakuja juu na hawatapenda hili andiko, hasa kwa nini ninawaandama?. Jamani huu ni mwendelezo wa andiko langu la kwanza kuhusu kagera...
Wizara ya Madini kwa kushirikiana na Wizara ya Mipango na Uwekezaji pamoja na Wizara ya Viwanda na Biashara zimekutana kujadili namna ya kuondoa changamoto katika sekta ndogo ya chumvi nchini...
Utangulizi
Kwa zaidi ya miongo miwili iliyopita, bajeti ya kijeshi ya Marekani imekuwa ikifikia wastani wa dola bilioni 700 kwa mwaka, ikikusanya jumla ya takriban dola trilioni 17.5 hadi mwaka...
Wadau hamjamboni nyote?
Ndugu zangu Wasabato:
Natambua mnaumizwa sana kiakili na kisaikolojia hasa mnapojikuta hamuwezi kuupindua ukweli huu wa Kibiblia na badala yake mnaishia kulaumu Kanisa la...
Mkuu
Naomba nilete kwako kero hii ambayo kwa hapa Dar es Salaam imeelekea kukomaa sasa.
Kuanzia tabata, segerea kinyerezi huduma ya maji haipatikani. Bila shaka kuna kutoa rushwa maji...
Mh waziri una watendaji viburi sijawahi kuona. Au wamegoma? Kuna shida gani ndani ya wizara yako?
Tumekaa miezi na miezi maji hayatoki na leo hakuna maji pamoja na ujio wako. Hawa watendaji...
Sir John Bagot Glubb, mwanajeshi na mwandishi wa karne ya 20, alitoa mchango mkubwa kwa historia kwa kuchunguza jinsi mataifa yanavyoinuka, kustawi, na hatimaye kuporomoka. Katika kazi yake...
Trump kweli kaamua,ila ataweza?? Naona maana nyingine zimekaa kikatiba !Muda utaamua! Vipi ikija bongo??
Trump has vowed to end birthright citizenship. Can he do it?
President Donald Trump has...
Top 10 African countries with the highest external debt in 2025
1)-Egypt 🇪🇬 $103,750,000,000 (50th)
2)-South Africa🇿🇦 $58,773,000,000 (56th)
3)-Angola 🇦🇴$45,774,000,000 (65th)
4)-Morocco🇲🇦...
TAARIFA KWA UMMA
UPATIKANAJI WA HUDUMA YA UMEME KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM
Jumanne, 21 Januari 2025
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linautaarifu umma kwamba hali ya upatikanaji wa huduma...
Meneja mauzo wa Vodacom Tanzania Plc Mkoa wa Pwani Suleiman Amri (katikati) akiweka mafuta yaliyotolewa bure kwa wateja wa kampuni hiyo jijini Dar es Salaam kwenye gari ya Ramadhan Kalafya...
Na GENTAMYCINE naomba yoyote yule atakayeapishwa huku Afrika (kama kuna Uchaguzi wowote mwaka huu 2025 japo najua hakuna Uchaguzi wowote katika Kumbukumbu zangu) nae akiwa anacheza Muziki na ama...
📖Mhadhara (67)✍️
Kuna msemo unasema "ukitaka kufika haraka nenda peke yako, lakini ukitaka kufika mbali nenda na wenzako." Kupitia msemo huu unadhihirisha kwamba ili ufike mbali hupaswi kujitenga...
Ndugu wanajamii,
Katika mazingira ya sasa, uzalendo na maadili ya Taifa yamekuwa masuala muhimu sana yanayohitaji kufanyiwa kazi kwa bidii, hasa miongoni mwa vijana. Kama taifa, tunahitaji kizazi...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (Zura), imetangaza bei mpya elekezi kwa watumiaji wote wa umeme kisiwani humo ambapo zitaaza rasmi Januari 20, mwaka huu.
Kwa mujibu wa...
Baada ya Mdau wa JamiiForum.com kueleza kuwa hadi leo Januari 21, 2025, Wakazi wa maeneo ya Isyesye hapa Jijini Mbeya hawajapata maji kwa wiki moja, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mbeya...
Wakuu CloudsFm wamebadilisha Frequency au shida ni nini? hawapatikani Moshi 88.7 ni muda sana sasa na hawajibu wakiulizwa..kampuni za kibongo hazijali kabisa wateja wake.
Jamani watu wamezaliwa mambo safi wakalelewa mambo safi wakakulia mambo safi hadi wanakufa au mpaka wanakufa mambo_safi Donald Trump & Stephen Wasira.
Sasa mimi nakwama wapi?
Wakuu,
Maisha ni fumbo, maisha ni gumzo.
Tusipende kubeza watu kutokana na wanayoyapitia na wanayoyaongelea kwa maana haujayapitia.
Karibuni kwa story mbali mbali wakuu