Hili la kutaka kufungia namba za utambulisho wazee mnazingua, wananchi hawajagoma kuchukua vitambulisho vyao.
***
Mamlaka ya vitambulisho vya taifa NIDA leo imetangaza kuwa itasitisha matumizi ya...
Wakuu
Nimefanya maombi ya hati ya ardhi mwaka wa pili unakatika. Kutoka dawati moja kwenda lingine faili linaweza kutumia miezi mitatu!
Nyie experience zenu zikoje na hizi ofisi za ardhi?
Maana hao wazaramo na wandengereko halisi walishahama maeneo ya mijini wameenda maeneo ya ndanindani huko hasa maeneo ya mkoa wa pwani.
Jiji limebaki kukaliwa na mchanganyiko wa watu kutoka kona...
1. Huangamiza nafsi.
"Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake." (Mithali 6:32)
Mtu hufa kiroho, kama ilivyo dhambi yoyote ile humuondoa mtu katika...
Habari zenu wakuu, Nimekuwa nikijiuliza hili swali mara nyingi kutokana na hali ilivyo katika nchi yetu , kila mmoja wetu tokea siku ameanza kujitambua mapambano yamekuwa kutafuta uelewa ama fursa...
Sisi Watumishi wa Halmashauri ya Rungwe Mkoani Mbeya tunajiuliza kuna shida gani Wilayani kwetu?
Pesa za likizo kwa Watumishi wa Umma kutotoka kwa wakati hilo jina jambo la kawaida, hali hiyo...
Wanaotajwa sana na vyombo vya habari,mitandao na makada wa CCM kuwa mmojawao atateuliwa kuwa makamu mwenyekiti wa CCM Taifa ni hawa hapa.
1.Paul Kimiti
2.Abdulah Bulembo
3.Mizengo Pinda
4.Dr...
Jamani life limenichapa miezi kadhaa iliyopita nilifunga biashara yangu ya picha, vifaa nikarurdisha nyumbani.
Leo nimeamua kuuza vifaa vyangu ili maisha yaendelee
Nina camera canon D 550
Studio...
Zimebaki siku tano hadi ban ya tiktok kuanza nchini Marekani lakini habari zinasema japo tiktok inajaribu kuwapeleka watuamiaji wake kwenye app yao nyingine inayoitwa lemonde wao wameamua kuanza...
Kiufupi baada ya kupata mtoto wangu 2021 nilimpa Jina la Samia kutokana na mafanikia ya bi mkubwa mmoja mtaani ambaye alikuwa mwanamke wa kwanza pale mtaani kuwa na Master of Science in Computer...
Tunapambana kutafuta hela hekeheka za kufa mtu, halafu mtu huyu akishajenga nyumba ya kuishi anaona amemaliza ndoto yake aliyokuwa anaipigania anapunguza mapambano.
Hapo yeye anatafuta hela ya...
Katika status yake leo hii facebook, mhe, ameongelea kuhusu kuwa na makabila na imani tofaut za dini lakini bado tunaishi kindugu hivyo anasema ni kitu kimojawapo cha kujivunia katika miaka 50 ya...
Habari wakuu
Kwenye historia kwenye vitabu tumewasoma watu mashughuri, wagunduzi wa vitu mbali mbali lakini cha ajabu kuna watu wa muhimu sana hatu wapi umuhimu uliopaswa kupewa
Just imagine...
Kanisa Katoliki la Italia limefungua milango yake kwa wanaume mashoga kujiunga na masomo ya upadre, mradi wasiendelee kupigia debe au kuunga mkono kile kinachoitwa "utamaduni wa mashoga,"...
DAHA ILE SEHEMU ILIKUWA KAMA GAZAA
YAAN USITEMBEE RIVERSIDE KUIONQA UBUNGO WANAUME HAOOO WAMEKUPITIA NA SIMU
WAKIKUKOSA SIMAMA KWENYE KARATA USHANGAE MIUJIZA WANAKUPITIA
DAH..YAAN ILE SEHEMU...
Hamjambo Waungwana,
Nmekuja na bandiko la kuomba ushauri , wiki ijayo nina safari ya kutoka kahama kwenda daresalam, pia nikiri kua huko niendako ni mgeni sijawaih kufika, naenda kuhemea mzingo...
Enzi hizo Sinza kila baada ya nyumba kadhaa unakutana na sehemu ya ulevi, iwe grocery flani hivi ama baa.
Sinza ilikuwa na baa maarufu kama Hongera, B-Bar, Lego, Vatican City, Waungwana...
Wadau hamjamboni nyote?
Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia
Genesis 50:26
[26]So Joseph died, being an hundred and ten years old: and they embalmed him, and he was put in a (Coffin)...