Yaani hili shirika la umeme nchini Tanzania huwa linajiamulia tu kukata umeme pasi na kutanguliza taarifa kwa watumiaji wa huduma zake.
Hutaona afisa habari wa shirika hili akitoa taarifa mpaka...
Leo ni Desemba 31 ikiwa ni siku ya mwisho kabisa ya mwaka 2024.
Tunafunga mwaka na kuukaribisha mwaka 2025.
Na hizi ndizo nyuzi zangu zilizonigusa kwa mwaka huu 2024…...
Mkurugenzi wa hospitali ya Muhimbili, Profesa Mohammed Janabi amesema mpaka sasa wanawake 100 wamewekewa puto na wanaume wachache. Prof ameongeza kuwa puto ni kitu kimoja lakini nidhamu kwenye...
nimeitwa mzembe, nisiejitambua, wanadai nimesomeshwa kwa shida lakini naleta ujuaji kisa nimekua.
Ni hivi wakuu, kwa sasa nipo sekta binafsi, hapa mjini, mwaka jana nilipewa connection na mkuu...
Zamani kidogo kama miaka 15 nyuma ukisikia msiba mara nyingi unakuta ni mtu pamoja na kuwa mzee wa walau zaidi ya miaka 65 ila utakuta hata ukimuangalia utaambiwa kabisa bwana huyu alikuwa mgonjwa...
Ni umri upo sahihi kupata moto Nina miaka 25 vipi nimechelewa au bado maana napambana naogopa kumpa moto wa watu mimba wakati maisha yangu bado sijaweka sawa vipi nitakua nimechelewa aud bado...
Jihad ni process, kwa hio magharibi wasichukulie poa.
Amani na uhuru ni thamani, kwa hio itikadi kali wasichukulie poa.
Hii vita imeipa shape ya kujua hali halisi ya middle east na namna ilivyo...
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari iliyotolewa jana Agosti 8,2024, Kamanda Kugaza amekiri kuwepo kwa tukio la kutoweka kwa kijana Shadrack huku akiomba wananchi kutoa ushiriano.
Jeshi la...
Kwa ile Press ya Lema hata hotuba za Mbowe huko BAWACHA na kule kwenye Mkutano mkuu hazinaga maana tena
Nabii Lema amewafungua macho Wengi Kwamba Chadema ina wanachama Wengi Wasiojulikana
Lema...
Inspector Haroun (Babu) amemtembezea kipigo mtoto wake akidai kwamba mtoto amempeleka chuo ila anashangaa kumkuta studio
Yupo sahihi kwasababu uchungu wapesa anayolipa chuo tunaujua tunaolipia...
Inashangaza sanaa
YAAN tkt za basi n MUHIMU kuliko elimu yetuu
Naangalia mikoa zaidi ya mitano wanalia upandaji WA bei kuanzia madaftari
Magodoroo
Vyatu vya shuleeeeeeee
Soksi
Vitandaaaaa...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.
Seminari hizi za kikatoliki hawana habari na mtoto wa maskini.
Nilimpeleka mtoto wa ndugu yangu aliyesoma shule za serikali kufanya interview kwa...
Wizara ya Afya imepokea tetesi za uwepo wa ugonjwa wa Marburg katika Mkoa wa Kagera.
Kufuatia tetesi hizo, Wizara imechukua hatua kadhaa za haraka ikiwemo: kutuma timu ya wataalamu; kufanya...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema mlipuko unaoshukiwa kuwa wa virusi vya ugonjwa wa Marburg umewaua watu wanane katika mkoa wa Kagera Kaskazini magharibi mwa Tanzania.
Taarifa ya shirika...
Mimi nachukia rushwa sana, na suala la rushwa kwa trafiki polisi nimelikemea sana humu JF na kwenye mitandao mingine.
Ila nachukia zaidi mtindo wa viongozi kujifanya watendaji bora na wasafi...
Je inawezekana kwa familia ya wafanyakazi kuishi bila dada wa kazi au ni kujiendekeza tu?
Naongelea kwa nyumba yenye baba na mama tu na wote ni wafanyakazi muda wote wote wanakuwa kazini na...
Huyu nimemuona leo hapa nilipo ni chura Mweupe sijawahi kumuona chura kama huyu aisee hapa nikifungua Tourists Centre si nakula hela za kutosha au? Waje kumuona tu wakachangia dollar 5 kwa kichwa...
Wale wakongwe walio
anza kutumia computer na operating system za Ms DOS, Windows 95, Windows 98 na kabla ya hapo njoo tupe historia yako ulijifunzia wapi computer.
Nini au tukio gani...