Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Mtaalamu wa Uchumi wa Umoja wa Mataifa amesema kiwango Cha Uzazi Nchini Tanzania kinazidi kupungua kutoan wastani wa 6.5 Hadi 4.5 jambo ambalo ni hatari Kwa Nchi kama Tanzania ambayo inaendelea...
1 Reactions
7 Replies
287 Views
Hali ya taharuki na vurugu vimeibuka katika Mtaa wa Elkiroa Kata ya lemara Mkoani Arusha baada ya Wananchi kuweka kambi katika Familia ya Kijana Elibarik Tarimo kwa siku tatu baada ya kudaiwa kuwa...
4 Reactions
6 Replies
540 Views
Wakuu, Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekonolojia, Dkt. Adolf Mkenda amesema wizara hiyo itatuma timu ya wataalam Shule ya Sekondari Baobab iliyopo Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani kuchunguza kwa...
4 Reactions
44 Replies
2K Views
Acheni kulalamika, mwamba ametoa shavu bila masharti magumu!Hakuna cha unamjua fulani, tuma kazi yako! https://x.com/elonmusk/status/1879531470886465545
8 Reactions
38 Replies
1K Views
Jumanne tarehe 14 Januari 2025, Baba Mtakatifu Francisko amefanya teuzi mbali mbali katika ofisi za Curia Romana. Kwa njia hiyo amemtetua, Mheshimwa, Monsinyo Gilbert Ndyamukama Gosbert, kuwa...
0 Reactions
5 Replies
331 Views
Habari za Leo? Jamani, nimeshirikishwa fursa na mtu mmoja, anasema, Kuna biashara mtandao inaitwa Governmentwide Acquisition Contract (GWAC). Watu wanawekeza pesa na ukishawekeza baada ya siku...
4 Reactions
45 Replies
1K Views
Jana usiku kabla ya saa kumi Yani saa tisa na dakika Nimeota nakatwa shingo kama kuku Tena damu kibao hii Ina maana Gani wataalamu
3 Reactions
19 Replies
284 Views
"Watu waliozaliwa kati ya mwaka 1975 na 1995 ni kizazi cha kipekee zaidi katika historia, na hii ndiyo sababu: Walizaliwa kati ya vizazi viwili: kimoja kabla ya mtandao wa intaneti na teknolojia...
25 Reactions
78 Replies
2K Views
Kuhusu maendeleo ya kiteknolojia, Africa hatujalogwa na wala hatuna udhaifu wowote ule wa kimwili au kiakili unaotufanya tuwe nyuma kiasi hiki, bali ni mazingira ya makusudi tuliyowekewa na...
0 Reactions
2 Replies
202 Views
Je, unamfahamu madhara ya condom iliyotumika ambayo utupwa ndani ya Choo ao jalalani ambayo ndani yake mna manii. Hivi unajua kazi yake ni ipi kwenye ulimwengu wa roho.
0 Reactions
39 Replies
737 Views
HORACE Kolimba ni miongoni mwa viongozi waandamizi nchini ambaye Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, alitofautiana naye na baadhi ya wenzake kuhusu masuala ya msingi katika uongozi na mwelekeo...
6 Reactions
9 Replies
11K Views
Habari Tanzania ! Nipenda kuweka maombi kwenu ewe SERIKALI na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania mkishirikiana na Makampuni ya huduma ya Mawasiliano nchini. Endapo na ikiwapendeza mtoe huduma za...
1 Reactions
8 Replies
241 Views
Jina Ziwa Victoria liliundwa na John Speaker kumuenzi Malkia wa Uingereza, pamoja na kupata uhuru Bado tunamkombatia mkoloni, tunapaswa kubadili jina la ZIWA Victoria kama EAC. Ukoloni unapoisha...
3 Reactions
16 Replies
402 Views
Yeeeerrrrreeeeh wanajamvi Kuna uwezekano timu ya mpira maarufu kwenye ligi ya uingereza liverpool FC kukosa ubingwa msimu huu kutokana na vita huko mashariki ya kati. Hii vita ya majibizano kati...
0 Reactions
7 Replies
337 Views
Kuna mambo yanafikirisha sana asee, gharama za umeme Bado zilezile, badhaa Bado na bei ileile, uchumi wetu raia Bado uleule!. Ni kwanini tulijenga hili bwawa ili tuwashie taa? Viwanda havijengwi...
2 Reactions
6 Replies
200 Views
Tangu mwaka huu 2025 umeanza TANESCO wamekuwa na huduma mbaya ndani ya Mkoa huu wa kwao wa kiutendaji (KINONDONI SOUTH) hasa njia ya umeme ya kutoa huduma kuanzia Kimara mpaka Kibamba. Umeme Kila...
0 Reactions
7 Replies
261 Views
Hakuna mtu yoyote mwenye pride duniani akamaliza maisha yake salama.. Its written in the all holly books. Wahenga wamezungumza, methali za kiswahili zimesema "" Hakuna usalama kwa mtu mwenye...
11 Reactions
70 Replies
1K Views
Imeelezwa kuwa ndege huyo aina ya Faicon aliyefuatiliwa mwenendo wake na kifaa cha GPS amesafiri kutoka Afrika Kusini hadi Finland akikamilishsa Kilomita 230 kila siku na kukamilisha safari yake...
4 Reactions
9 Replies
349 Views
Wezi sikuhuzi ni wa kishua kabisa. Yaani wanatembelea Harrier. https://youtu.be/-iXfvLzNm8Q?si=YatxVtabQKUvAgVg
4 Reactions
15 Replies
704 Views
Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Aweso, amewaasa wafanyakazi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) kuacha kuzoea shida za wananchi, na badala yake kuzitafutia ufumbuzi ili...
0 Reactions
0 Replies
79 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…