Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Ni wakiume Kazaliwa 2019 alipotimia miaka 4 nikampeleka nusary ile siku ya kwanza alivyoingia darasani akalia sana Nikamrudisha abaki hom nikijua bado mdogo Mwaka wa pili nikampeleka tena shule...
25 Reactions
209 Replies
4K Views
JESHI la Polisi mkoani Mwanza limethibitisha kuua watu wawili wanaodaiwa kuwa ni majambazi, katika jaribio la kuiba nyumbani kwa mfanyabiashara, wakiwa wamevalia mavazi ya kike kuficha jinsia na...
10 Reactions
103 Replies
3K Views
HilI jambo nazani liko well planned na ma elite wachache wanaojua wanataka kufanya nini. Rejea cartoon film za The Symptons ambazo zilitoka zamani lakini zikiwa na matukio yajayo miaka kadhaa...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Naona mtandoa wa X unasumbua washeni VPN
2 Reactions
22 Replies
651 Views
Leo nikiwa zangu kazini katika harakati za kutafuta mkate wa kila siku, wife ananipigia simu kuwa nitakaporudi nitaoga matope. Namuuliza kwanini, ananiambia kuwa maji HAKUNA. Sitaki kuiongelea...
3 Reactions
13 Replies
435 Views
Wakuu wasalam.. Wakuu uhai na kifo vimetenganishwa mstari mwembamba sana. Kama wewe unadanganywa na kina Kiranga sijui Mungu hakuna wee subiri kila mtu zamu yake inakuja. Wakuu katika haya...
55 Reactions
327 Replies
7K Views
Yaani Mwamposa umeona ukisema hizo Nyumba ni zako Utasababisha Waumini wako unaowakamua Kutwa waanze Kukukacha hivyo ukamtafuta Rafiki yako Lugumi kwakuwa Yeye ni Mfanyabishara basi ajifanye ni...
14 Reactions
47 Replies
3K Views
Kwema humu jamani, kwa nia njema tu sio kama nakufuru nauliza ili na mimi nipate kujua, ilikuaje mpka leo Sir God hajamsamehe Shetani, mana naambiwaga Shetani alimkosea Mungu lakini sikumbuki kama...
0 Reactions
10 Replies
250 Views
Kampuni za bima kwenye jiji la Los Angeles zimeanza kuwasilisha maombi yao haraka kwamba ya kufilisika. Hiyo imejili kutokana na moto unaoendelea kuwaacha wakaazi wengi nje bila makazi. Moto huo...
4 Reactions
7 Replies
517 Views
Hiki Chama bado sijakipa jina. Sheria zake; 1.Kada atakuwa hana hiari ya kutokuwa na tabia nzuri. Yoyote atakayekuwa na tabia mbaya atakuwa amefanya kosa. 2.Kama kada akifukuzwa kwa kufanya kosa...
0 Reactions
1 Replies
123 Views
Chanzo: mtandaoni George Simbachawere ni dharau kwa spika au maamuzi yako? Kuna vijana wamejitolea kwenye shule za serikali zaidi ya miaka 3 hadi 4. Spika aliomba kufanyike utafiti ili wawe...
5 Reactions
31 Replies
927 Views
๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ฒ๐—ป๐—ด๐—ฒ๐—ป๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ก๐—ฑ๐—ฒ๐—ด๐—ฒ ๐˜‡๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ Hatimaye Tanzania imefanikia kuanza kuunda ndege zake zenyewe ambapo Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amefanya ziara katika kiwanda cha Airplane...
6 Reactions
13 Replies
432 Views
Mwamba anaitwa joseph aoun. Aliwahi kuhudumu kama jenerali katika jeshi la Lebanon.
1 Reactions
16 Replies
351 Views
Pontyo wa Pilato akawauliza wayahudi " Wanamtaka nani Kati ya Yesu na Baraba? Nani afunguliwe nani abaki?" Kwa mshangao wa Pilato wayahudi Waka shout wakisema " Tunamtaka Baraba" Hadi Pilato...
3 Reactions
43 Replies
909 Views
Habari zenu wana JF wenzang, Leo nawaletea kisa cha ndugu yetu Nestory Bingwa, ambae ni mjomba wangu kabisa wa kuzaliwa na mama yangu mzazi. Huyu bingwa ni miongoni mwa watanzania wachache sana...
13 Reactions
43 Replies
2K Views
Huku mtaani kuna mwizi alichezea kichapo usiku baada ya kutuhumiwa ni mwizi na kama mnavyojua hili neno ukiitiwa usiku wa saa 7 hata kama sio mwizi raia wanapiga. Sasa inasemekana kapona hajafa...
22 Reactions
135 Replies
4K Views
Anonymous
Kumekuwa na wizi wa mita za maji maeneo ya Mbweni Teta kwa kasi sana na hakuna jitihada yoyote ya uchunguzi inayofanyika na DAWASA. Pia soma ~ Albert Chalamila: Sijaridhishwa na hiki mlichofanya...
0 Reactions
6 Replies
611 Views
Kama unahisi something wrong on ur life circulation, i recommend to you this book, 'The Power of Your Subconscious Mind'. Kama unahisi Maisha yako yamepoteza maana Soma hiki Kitabu. Kila kitu...
6 Reactions
8 Replies
782 Views
CHANYA Maji- Kwa mara ya kwanza tangu kuwekwa historia ya dunia majinsafi yaliletwa mtaani kwetu. COVID 19. Nilikuwa na msimamo wa kuovaa Barakoa maana niliamini Covid 19 haipo. Msimamo wake...
6 Reactions
15 Replies
426 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ