Kumekucha. Ni neno pekee utakaloweza kulitumia kwa sasa. Yule mfalme wa biashara zote, Said salim Bakhresa anaingia barabarani rasmi muda sio mrefu.
Anaanza na Dar hadi Arusha, Dar hadi Dodoma na...
Mlnakumbuka ya Brazili 2023? Walivyofanya sherehe ya kumtukuza Shetani? Kesho kutwa yake Mungu afutilia mbali kamji kote .
Vipi kuhusu walomtukana Mungu...
Zilipita wiki 2 Hadi 3 ndipo yakatangazwa mafunzo ya walimu kwa ajili ya kuuanza mtaala mpya!
Walimu wengi hawakuhudhuria sababu walikuwa likizo (waliyoipata kisheria kabisa kwenye ess)...
Nimehudhuria harusi ya jamaa yangu hadi muda huu saa 5 hatujala,
Kwenye kuomba mchango wanapiga simu hadi kero, tukihidhuria harusi tule japo kuku, mnatupa viporo usiku saa 7
Wapo wanatuomba...
MSOMI NI NANI AU NI MTU WA NAMNA GANI
Na: Comred Mbwana Allyamtu.
Hivi karibuni nilikuwa na mjadala mzito na na makomled wenzangu kuhusiana na dhana nzima ya mtu kujiita kuwa ni msomi.Chan zo...
Siku za hivi karibuni tumeona Biashara ya kujiuza ikiendelea kukua siku hadi siku na sababu zikiwa ni nyingi
Mimi kwa utafiti wangu mdogo nimezipata zifuatazo kupitia dada zetu waliopo kwenye...
TUZIFAHAMU FAMILIA 13 ZA ILLUMINATI ZINAZOIENDESHA DUNIA NA MAISHA YA BINADAMU KATIKA NYANJA ZOTE.
Kwa nini ni muhimu kuzifahamu familia 13 za illuminati? Katika kitabu kinachoitwa"Holy blood...
Mheshimiwa waziri wa elimu.
Kama ilivyokawaida kwa kila shule ya bweni lazima pawepo na matron ambaye majukumu yake makuu;
1. Kutunza nidhamu bwenini
2. Usalama wa wasichana na mengineyo.
Shule...
Kama una mdogo wako wa kike awe makini aache tamaa ya mambo ambayo hana uwezo nayo, kwa sababu mabinti wengi wanaingia kwenye vishawishi vya kutembea na wanaume walio wazidi umri (Sugar dads) ili...
Habari za wakati ndugu zangu!
Mimi ni Mkazi wa Dar es Salaam na nianze kwa kuipongeza sana Serikali kwa kuendelea na ujenzi wa miundombinu kurahisisha usafiri japo sio kwa maeneo mengi. Leo...
Nimekaa mahali hapa kuna redio ya kanisa moja la Arusha inanguruma. Kama kawaida ya hawa wahubiri mada kuu ni utoaji.
Nilishasema habari za fungu la kumi si mafundisho ya kikristo. Hata hao...
Wizi wa mfukoni umeliza sana watu mjini kwenye msongamo, daladala n.k
Watu wameibiwa hela, simu n. K
Zingatia yafuatayo
1. Jiadhari na mtu anayekufatilia
Labda uko mjini unamuona mtu mpya...
Mimi binafsi sioni kabisa kinachofanyika katika ujenzi wa barabara ya mwendo kasi kwa phase hii ya njia ya tegeta posta na kipande cha ubungo tofauti kabisa na ujenzi wa njia ya Morogoro road au...
Utawasikia kwenye mialiko yao redioni, kwenye TV na vipeperushi watangaza mialiko uende kwenye makusanyiko yao wanasema hakuna kiingilio, kiingilio ni bure! Ukifika huko unahubiriwa habari za...
Hakuna time travel
Huo ni mpango wa shetani, dhamila ni ile ile anataka tusahau kitu kinaitwa kufa ili azidi kupromosheni harakati zake za kumpinga mungu
Achana na hao kuna hawa wanaomini hii...
Habari za leo wakuu,
Moja kwa moja kwenye mada, pesa za kujikimu kwa waajiriwa wapya zimefika wilayani ileje yapata wiki mbili Sasa, hili lilithibitishwa na katibu ofisini ya DMO kupitia kundi...
Hivi ukiingia kwenye dating apps, unatafuta mapenzi au unatafuta maumivu? Watu wengi wanajaribu bahati yao huko, na wengine wanajikuta wakipoteza muda huku wakichanganywa na maswipe right na swipe...
Usafiri wa anga nchini Tanzania ni usafiri ghali na wa gharama ya juu hadi kufikirisha ukilinganisha na mataifa mengine yakihusisha na safari kutoka bara moja hadi bara jingine.
Usafiri wa anga...
Ushauri wangu kwa serikali
1. Wizara ya Nishati, EWURA na TANESCO.
( A ) Kwa kuwa ripoti zao zinaonyesha umeme uliopo ni mwingi kuliko mahitaji basi ni rai yangu washushe bei ya kuingizia umeme...