Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Wakuu kwema… Tupo huku tunavuna viazi na wananzengo wenzangu. Hoja ikaibuka, mbona hatujawahi kuona tangazo la kilimanjaro lager, safari lager, serengeti lite na vinywaji vya namna hiyo katika...
8 Reactions
164 Replies
2K Views
Ameandika prof. Anna tibaijuka katika ukurasa wake wa X: UMEME KUTOKA ETHIOPIA (km 1500) HADI ARUSHA UNAKUWAJE RAHISI KULIKO WA KUTOKA RUFIJI (Km 650)? Taarifa hii ilitushangaza na hata...
5 Reactions
50 Replies
1K Views
Enzi za Musa na manabii wengine na hata wafalme walikuwa wakikosea Mungu anawaadhibu palepale na kisha Nabii anaambiw na Mungu kuwa watu hawa wamefanya machukizo kadhaa wa kadhaa. Bali na yote...
1 Reactions
10 Replies
134 Views
Ndugu zangu, Nawasalimu. Kwanza nianze moja kwa moja kwa kuorodhesha baadhi ya sifa za mtu asiye na hadhi ya kuwa kiongozi. 1. Hulazimisha Kukubalika na kila mtu. 2. Hana maono . Tatizo kubwa...
23 Reactions
63 Replies
2K Views
Video ya inayosambaa mitandaoni ya mwalimu wa madrasa huko Mbagala akiwapiga fimbo watoto wadogo ni mbaya sana. Hata hivyo ukisikiliza wanaochukua hiyo video wanasema siku nyingine huwa anawapiga...
6 Reactions
44 Replies
700 Views
Salaam, Shalom!! Ni Rahisi sana kutolewa ugonjwa au LAANA iliyosababishwa na Hila za shetani na mapepo yake, lakini ugonjwa au LAANA Toka Kwa Mungu au wazazi huna namna ya kuiondoa. Ukipatwa na...
6 Reactions
51 Replies
900 Views
Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA YESU KRISTO Hii tukio limetokea mwanza na kuthibitishwa na kamanda mtafungwa Binti anasoma kidato cha tano huko mkoan Tanga Apumzike kwa aman sana Kijana...
9 Reactions
50 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limesema Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Nungu Nassoro (25), Mfanyabiashara na Mkazi wa Kata ya Lukobe, Wilaya na Mkoa wa Morogoro amekutwa akiwa amejiua...
10 Reactions
59 Replies
1K Views
TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linachunguza tukio la kifo cha Yosia Johani Keya (25) mwanachuo mwaka wa tatu katika chuo Cha kilimo cha Sokoine (SUA). Tukio hilo limefahamika...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
  • Redirect
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linachunguza tukio la kifo cha Yosia Johani Keya (25) mwanachuo mwaka wa tatu Chuo cha Kilimo cha Sokoine (SUA). Kwa mujibu wa taarifa za polisi, tukio hilo...
0 Reactions
Replies
Views
Kama wote tunavyojua, Dini ni miongozo ya kiimani hapa Duniani, mafundisho yake utupa njia na namna ya kuishi hapa duniani kwa kufuata miongozo ya mnae mwabudu. Leo nitazungumzia kwa nini siku za...
3 Reactions
24 Replies
772 Views
Tunaweza kuwa ni mipango ya Mungu ila haitoshi kuondoa imani kuwa huu ni wakati mgumu sana kwa ndugu wa marehemu ambao waliwapumzisha wapendwa wao katika makaburi ndani ya Durban, Afrika Kusini...
3 Reactions
60 Replies
2K Views
Katikati ya eneo la Kitungwa na Nanenane MOROGORO kuna huu mradi wa Star City wenye Viwanja vingi ambavyo havija endelezwa kwasababu mbalimbali! Serikali ya mkoa iingilie kati kwa manufaa ya wengi...
3 Reactions
27 Replies
1K Views
Sasa hivi kumekua na ongezeko kubwa la baadhi wa watu kuwatumia watoto wadogo kujipatia kipato kwa kuomba omba. Wengi kati ya hao wanao ombaomba wanaonekana wanauhitaji wa chakula na fedha...
1 Reactions
9 Replies
312 Views
Tangu jana kuna maeneo umeme umekuwa ukikatika katika na vipindi virefu bila kuwa na umeme. Hali hii inatuletea usumbufu sana na kuturudisha nyuma kiuchumi hususan tunaoishi kwa kutegemea umeme...
1 Reactions
2 Replies
182 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…