1. Rais Mstaafu Kikwete
2. Makamu wa Rais Dk. Mipango
3. Waziri wa Fedha Dk. Nchemba
4. Waziri Mavunde
5. Waziri Kikwete
6. Msemaji wa Serikali Msigwa
7. Mkuu wa Mkoa DSM DC Chalamila
Laiti hawa...
Tumejionea wenyewe kule china na mahala pengine kama ulaya Watoto wadogo wanaandaliwa kiwa Wanasayansi na mainjinia wabobezi. Watoto hao wanasukwa na kufinyangwa kiasi kwamba wanaanza kubuni na...
Great thinkers.
Madalali wamekaa kiwizi wizi sana usipokuwa makini..imagine mteja unakuwa.forced kulipa commission how?
Na hili naona tumekubaliana kabisa kama taifa. Mi navyoona mwenye Mali...
Wakuu,
Katika harakati za kutafuta nyumba kwa ajili ya shughuli mbalimbali madalali wamekuwa wakitumika kufanikisha jambo hilo. Wenye nyumba hutafuta madalali ili kuweka wepesi katika kupata...
ANDIKO LA MSINGI
Yohana 1:43-46. Biblia inasema hivi:
"43. Siku ya pili yake alitaka kuondoka kwenda Galilaya, naye akamwona Filipo. Yesu akamwambia, Nifuate. 44. Naye Filipo alikuwa mtu wa...
Aliyekuwa makamu mkuu wa Chuo cha kilimo Sokoine SUA kuanzia mwaka 1989 mpaka 2006 na Mwenyekiti BODI ya MIKOPO kuanzia 2008 mpaka 2016...amefariki DUNIA hapo Jana tarehe 18dec2024 mkoani...
Nimewahi panga Nyumba fulani hivi kuna jamaa alikuwa anashinda chumbani asubuhi hadi jioni na anakula vzuri anapendeza na analipa bills zote bila usumbufu hadi majirani na wapangaji wenzie...
Natamani Sana nikija kufika miaka kuanzia 40 niishi nnje ya dar kabisa, nataman nipate wilaya yenye Sifa zifiatazo:-
*maji Safi
*Umeme
*Ardhi yenye rutuba
*Vyakula vya kutosha
*Pawe panalimwa +...
UGUMU WA MAWASILIANO YA BARABARA NA MADARAJA NDANI KATA YA KIBATA WILAYA YA KILWA NI WA KUTISHA.
Kibata ni miongoni mwa kata 23 ndani ya Wilaya ya Kilwa. Kata hii Ina vijiji vinne. Kata hii Ina...
Wananchi wa Wilaya ya Kilwa Mkoani Lindi wamepongeza Serikali kupitia Wakala wa barabara nchini Tanroads Mkoa wa Lindi kwa kuanza kazi ya urejeshaji wa miundombinu ya kudumu ya barabara na...
Matukio mengi ya mauji hufanyika sirini lakini huja kuwa dhahiri tena kwenye mwanga mkali
Wazungu wanasema " no perfect murder"
Murder ikitendeka na isijulikane labda vyombo vya uchunguzi...
Habari Wadai.
Hili jambo linakera sana watumishi wa halmashauri ya Kilwa hususan walimu wa sekondari. Inashangaza kuona mwalimu kaenea likizo tangu Juni 2021 na katumia nauli yake kwenda likizo...
Raia wa kigeni kutoka Ufaransa, Nakar Fszman (51), amepatikana akiwa hai baada ya kupotea katika Bahari ya Hindi, eneo la Kisiwa cha Songosongo, Wilaya ya Kilwa.
Fszman alipotea Februari 23...
Pichani anaitwa Kevin Charles.
Jina la maarufu hapa kibaha maili moja anaitwa Masai.
Ni kijana mzaliwa wa Arusha alikuja kibaha kwa harakati za kutafuta pesa KELVIN CHARLES alipata ajali ya...
Wakuu,
heshima kwenu
katika jamii kuna magonjwa ambayo huwezi kuyatibu hospitali,au ukienda hosp. utaambiwa ugonjwa hawauoni
ila kwa sisi wandewa unatibika vema tu na unarudi katika hali yako ya...
1: Nigeria kulikuwa na Wole Soyinka, Chinua Achebe.
2: Kenya kulikuwa na mtu kama Ngugi wa Thiongo.
3: Uganda kulikuwa na Okot P'Bitek.
Wote hawa waliitwa African writers na vitabu vyao vilisomwa...
Siyo kwamba Traffic haziona la hasha wanaziona na wanaingia Hadi ndani mwezi wa kwanza mwishoni nimepanda gari ya kwenda Geita ikitoka kakola hiki ndo nilicho jionea!
Kwanza unapotola tu stend ya...
Vema tukarejea kwenye mada zetu hizi... Huko siasani ni tabu tupu... Kunaweza kukufanya mtu sometimes uwe na frustration zako... Nitajitahidi nisiende tena kule.... Japo naona kama naidhulumu...