Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni imemuhukumu Baraka Benedicto (23) kifungo cha Miaka 30 jela ikiwa ni baada ya kumtia hatiani kwa kosa la ulawiti.
Akisoma hukumu hiyo leo Machi 14, 2025, Hakimu...
Binafsi nimeguswa na funga ya wakristo wa madhehebu yote yanayofunga kipindi hiki Cha kwaresma,Funga yenu haina kelele Wala majisifu.
Sijasikia mkristo yeyote akijisifu utakatifu Kwa kufunga...
Wanabodi:
Niwaletee mkasa huu wa kipekee unahusiana na pilika pilika za kujikinga na COVID-19 umemtokea jamaa yangu Jumapili ya tarehe 19/04/2020 akiwa Kanisani kwake
Muhimu: Uzi huu unawafaa...
Msigwa asifikiri kwamba CAF ni machawa wa mama wale ni professional
Kwanza atoe maelezo billion 30 zimetumikaje kwa sababu kwa macho ya kibinadamu hakuna chochote kilichofanyika ni kama uwanja...
Method Damian Kumdyanko mkazi wa Sinza Dar Es Salaam anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana wenye silaha siku ya Februari 28, 2025 nje ya geti la nyumba yake Sinza Dar Es Salaam.
Akizungumza na...
Inasemekana kwamba tukio limetokea jana (20.2.2025) majira ya saa saba mchana.Mkoa wa Pwani, Kibaha, Njuweni, sheli ya Puma.
Huyu kijana (boda boda) alikuwa anapambania maisha yake, akaomba...
Naendelea na mada za Kuwafahamisha Miradi mbalimbali ya Maendeleo ambayo inatekelezwa na Serikali ya awamu ya 6 Chini ya Mwanamama jasiri na mtulivu Madam Samia.
Leo ni zamu ya Mkoa wa Katavi...
https://youtu.be/3eBdPc6iUpo?si=kpI2UiCWjNX7qspv
Naendelea na mada zangu za Mkoa kwa Mkoa kuwahabarisha miradi mikubwa inayotekelezwa na Serikali ya mama mikoani.
Baada ya Kigoma na Mbeya sasa...
Rafiki yangu mpendwa,
Sipendi kuwa mtu wa kuleta habari mbaya kwako, lakini ukweli huwa haujali.
Ukweli huwa unabaki kuwa ukweli iwe unapendwa au haupendwi.
Hivyo badala ya kutumia mbinu ya...
Wadau wa Jamiiforums, poleni na mihangaiko ya kutafuta tonge!
Kama hujawahi kupigwa kwenye biashara, basi ama wewe ni mjuzi wa hali ya juu, ama bado hujaingia kwa kina kwenye soko la Bongo! Wale...
Inawezekanaje mtu mwenye akili ndogo na uelewa finyu kama huyu kuwa mwandishi wa habari katika kituo kikubwa cha habari?! Hii nchi bado ina safari ndefu sana.
Ukitazama wajumbe wake na historia zao binafsi kisiasa, ukiwachakata na kuwatathimini kwa kina, utabaini jinsi walivyo wepesi kama karatasi kwenye medani za kisiasa, kwa maana ya kutokua na...
Ikiwa siku chache zimepita tangu tulivyoripoti taarifa kuhusu wananchi wa Bondo, Wilaya ya Kilindi Mkoani Tanga kulia kukosa makazi baada ya nyumba zao kuchomwa moto na kubomolewa kwa kuambiwa...
🌱🌱 Chumvi ya Baharini {Ile ya Mawe) husaidia kuponya
Wenye changamoto ya ngozi (eczema) na ukoma
Chunusi
Psoriasis
Inasaidia follicles za nywele kukua
Hurudisha Utumbo Uliojikunja
Inaua Bakteria...
Niende moja kwa moja kwenye pointi
Kumeibuka na wimbi la waaandishi wa habari uchwara kutokana na ongezeko kubwa la onlineTVs lakini ukiangalia utendaji kazi wao 98% wengi ni vilaza na hawana...
Ubalozi wa Japan ulifanya hafla ya utiaji saini Mradi wa Ujenzi wa Kitalu cha Darasa la Kiwango cha Juu katika Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Sakura iliyopo Wilaya ya Arusha, Mkoa wa Arusha...
Habari wana JF
Ni muda mrefu nimekuwa najiuliza maswali mengi sana kuhusu uwepo wa Mungu lakini kuhusu masimulizi yanayo elezea matendo yake mazuri na huruma kuu Kwa viumbe wake.
Mungu kupitia...
!!
Maisha yangu au yako ni funzo kwa watu wengine. Katika umri huu mdogo nilionao, leo nakuletea baadhi ya sumu ambazo nimeshuhudia zikiua ndoto, maisha na mafanikio ya watu wengi sanaa!
1. Sumu...