Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) katika lengo la kuimarisha ushirikiano baina na Viongozi wa Serikali za Mitaa, imeanzisha motisha maalum ya kuwawezesha Viongozi...
U hali gani Tanzania !
Naomba niweke mchango wangu wa mawazo hapa Jamii Forums.
Napenda kuweka wazo rasmi kwa National Housing Corporation (NHC) kuwa ipewe umakini, umuhimu na umaanani katika...
WAZIRI MHAGAMA: HOSPITALI YA KIBONG’OTO KUWA TAASISI YA MAGONJWA AMBUKIZI
Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amesema Hospitali Maalum ya Tiba ya Magonjwa Ambukizi kibong’oto inatarajiwa kuwa...
Kamati ya msaada wa Kisheria imewasilisha taarifa ya utekelezaji wa shughuli hiyo iliyodumu kwa muda wa siku 10 ndani ya mkoa wa Lindi tangu ilipozinduliwa Februari 19, 2025 wilyani Ruangwa na...
Hebu tujadili
Ujue naona miaka 5 au 10 ijayo nawaona Rwanda na Uganda kama watu ambao wanaweza kuja kuvuruga east Africa, Rwanda Tayari huko Congo mnajionea na anazidi kujitanua kijeshi kwa...
Mwanza kata za Isamilo na Kiloleli hazina maji kwa zaidi ya wiki mbili sababu ukarabati miundo mbinu, maji tunapa ziwani . Hatujui yata rudi lini je huo ni utaratibu wa ukarabati maana imezoeleka...
Mwili wangu wote unatetemeka, hasa ukizingatia huwa sina Shaka na Watumishi wakweli wa Mungu.
Nabii Denis ameusoma unabii anaodai kwamba umetoka kwa Mungu, ni siku kama mbili au tatu zilizopita...
Hivi bado kuna Waafrika wanaamini wataenda mbinguni kwa kwa kubatizwa na kusilimu majina ya kizungu na kiarabu?
Ujinga ukizidi hubadirika kuwa dhambi!!
Yani wanaanza mfungo, mara ttiiii, nyuzi karibia laki 😂😂
Mishe mishe zao mwezi huu mnaona kama zinawakera?
Anyway maisha yaendelee, mwanadamu ni zaidi ya dini ndio maana imemshinda.
Mwaka 2021 kuna rafik angu aliibiwa simu sasa yule aliyemuibia simu akatoa ile line akaanza kuwapigia contacts zilizopo na kuwaambia amepata dharura anahitaji laki 3.
Mimi alinipigia na...
Wakuu
Nafanya biashara ya kuchukua mzigo Dar. Changamoto ni gharama za usafiri unajikuta faida inaishia kwenye nauli.
Nielekezeni njia rahisi ya kusafirisha mizigo kutoka Dar kuja Mwanza kwa bei...
Yani natamani na nina hamu sana zali la kupigwa kwa kula hadharani mchana badala ya usiku mwezi huu linipate huko Zenji.
Patachimbika maamae huo mkono ntakavyoutembeza. Yani ngumi za uhakika...
Kwasababu zangu binafsi ambazo sitapenda niziseme (but very reasonable) hua siui kiumbe yoyote aliye hai tofauti na mbu. Kiukweli siwapendi na nawaogopa sana nyoka ila hata wao imekua ikiniwea...
Tanzania shippers Council Baraza la wasafirishaji shehena Tanzània limeandaa mjadala wa wazi wa kibiashara baina ya Serikali na sekta binafsi katika Ukumbi wa Peack Cock Hotel Jijini Dar es...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Ahudhuria Dua Maalum ya Hitima ya Marehemu Mzee Omary Rashidi Mchengerwa
ZANZIBAR – Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, ameungana...
Kuna Kijana mmoja tulimtuhumu kumbaka Mwanangu wa miaka minne tukapeleka malalamiko kwenye vyombo husika vya Kiserikali, Jamhuri ikafungua kesi ya ubakaji katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...
Kwanza ulemavu ni nini ni ile hali ya ugonjwa au kupatwa vurugu na mchafuko au hali ya kua na hitilafu ya kudumu na upungufu wa kitu. Kuna aina nyingi za ulemavu kama ifuatayo;
•Ulemavu wa Viuongo...
Ili kupata watumiaji wengi mitandao ya kijamii imekuwa ikivutia watu wengi kwa malipo ya maudhui na idadi ya wafuasi waliopo kwenye maudhui.
Kutokana na sisi kulala na yeye jamiiforum kuzidi...
Hata Nyerere aliwahi kusema hajui nini maana ya jina Tanganyika.
But as for me, baada ya kutafakari kwa kina nimejidhirisha kwamba ifuatayo ndio maana halisi ya jina " Tanganyika" .
Tanganyika...
Ilikua jumatano kama ya leo Tarehe hii hii mwezi huu huu mwaka 1974, Ndio miaka 50 pale Dunia iliposhuhudia mpambano mkubwa wa ngumi haukuwahi kutokea kati ya bondia George Foremen (Big George) na...