Katika Uislamu, swaumu ya Ramadhan ni ibada yenye masharti na mwongozo maalum. Moja ya hoja zinazojitokeza ni iwapo kipofu anaweza kufunga, kwani kuna Aya na Hadithi zinazozungumzia umuhimu wa...
Habari wakuu! Yaani kuna vyitu vingine vinatafakarisha sana! Dodoma ni makao makuu ya nchi lakini mpaka leo maji ni shida yaani ni mgao na siku za mgao huo maji yanatoka kwa matone jamani sehemu...
Tumsifu Yesu Kristo wapendwa
Leo hii tuna vuguvugu la uekumene, kutafuta umoja ambao Yesu kabla mateso, kifo na ufufuko wake aliuombea (soma Yohane 17). Kuna mambo mengi tunayoshirikiana na...
Wakuu niko na obsession ya kusafiri kama wale youtuber shida sijapata company .
Au mtu mwenye hoby kama yangu.
So naishia kugairi kila mara
Imagine sijafika hata BURUNDI tu.
Kusafiri mwenyewe...
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Jordan mkoani Morogoro Magnos Mkinga (22) amefariki dunia katika stendi kuu ya mabasi ya Msamvu akidaiwa kuzidiwa ghafla na homa akiwa anasubiria usafiri wa kwenda...
Twende Direct kwenye hoja/Topic.
Naomba kutumia majina ya kutunga ila hoja zote ni uhalisia wa matukio ninayoyaona huku duniani nikakoishi...
IKO HIVI ......
1. SCENARIO 01
Tumeite John.
John ni...
Nasikia hiyo Hela ni sawa na Shilingi Milioni Tano na Laki fulani hivi kwa hapa Tanzania na sawa na Dola za Kimarekani 2,400 ambao ni Mshahara wa Mawaziri Waandamizi wote wa Serikali ya Rais Samia...
Nawashauri wasile mchana sehemu za wazi, wajifungie ndani wakitaka kula au kunywa. Asieweza kufanya hivyo aje Tanganyika ale atakavyo.
Zanzibar kuna bakora isio rasmi na kuna mahabusu kwa makosa...
Hii ni kutokana na jiografia na maandiko ya waasisi na viongozi waliokuwa nyanda za juu kUsini mfano MBUNGE wa eneo husika ndugu JM Makweta aliweza KUANDIKWA KATIKA vitabu vyake mbalimbali mfano...
Wakuu, Natumai Mko Vyema na Mnaendelea Vizuri na Mapambano ya kila siku. Kwa wale ambao siku yao Haiko sawa labda kwa kuuguwa, kuuguliwa na kila Changamoto ambazo tunazipitia kama binadamu basi...
Duniani kuna vingi vinatokea kwa upekee lakini vipo vyengine hutokea kwa upekee zaidi ya Sana
Akiwa na Ujauzito wa wiki 16 Maggie Biemer alihisi hali tofauti iliyomlazimisha kwenda hospital...
Mwaka 2016 mwanamke mmoja aitwae Margareta Boemers akiwa mjamzito wa miezi 6 alikwenda kliniki kwa ajili kucheck maendeleo ya ujauzito wake.
Baada ya vipimo mbalimbali ikiwemo ultrasound...
Kuna taarifa za takwimu zilisambaa mwezi February, 2025 kuwa kundi la vijana ndio lenye idadi kubwa katika idadi ya watu Tanzania. Baada ya kusikia hizo taarifa machozi yalinitoka hasa nikiangalia...
Kwa kawaida watu woote duniani hufunga usiku kucha na hufungulia asubuhi kwa kufuturu na chai, chapati, mayai n.k.., pia kuna watu wengine wao hupendelea kufunga mchana kutwa na kufuturu...
Zamani kulikuwa na watu wanaitwa Mafarisayo. Watu washika dini lakini wenye giza totoro ndani ya mioyo yao .
Mafarisayo ni watu wenye SAUTI za upole, watulivu wawapo kwenye hadhara lakini moyoni...