Ndugu zangu Watanzania,
Baada ya CHADEMA na wana CHADEMA kulalamika mitandaoni kuwa wanahujumiwa na Vodacom. Baada ya kuonekana kuwa watu wanashindwa kukichangia chama kwa kile kilichoelezwa kuwa...
TUME ya Ulinzi wa Taarifa (PDPC), imesema kuwa unapokwenda nyumba ya kulala wageni hairuhusiwi kuandika ulikotoka na unakokwenda kwa kuwa kufanya hivyo ni kukiuka sheria ya taarifa binafsi...
Habari wanaJF .
Kiufupi Mimi Baba wa watoto watatu ambao wote ni wa kike.
Naishi nao pamoja na Mama yao .
Tumefanikiwa kuishi miaka 12 mpaka sasa katika ndoa yetu.
Changamoto kubwa ambayo...
MKUU wa mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu ameagiza wezi walioiba nguzo 147 katika uwanja wa ndege Moshi pamoja na fensi waya kurejesha mara moja na kudai kuwa serikali haitafumbia macho wizi huo...
Ni zile jamii za Wafugaji wa kuhama hama. Hawana makazi maalumu.
Leo wako mbeya kwesho wako Tanga.
Natoa wito kwa serikali, japo kila mtu ana haki ya kulinda, kutumza na kuishi kwa mujibu wa...
Prof Peter Erlinder ambaye ni wakili anayewatetea watuhumiwa wa mauaji ya kimbari ya Rwanda ya mwaka 1994 ameomba kuwasilisha utetezi wake kwa niaba ya wateja wake kupitia picha za video yaani...
Haujachelewa
1. Kutubu na kuamua kuacha dhambi zinazokutesa kila siku
2. Kuanza kusave pesa hiyo ndogo unayoipata
3. Kuanza upya mahusiano yako ya kiimani, kimapenzi
4. Kufanya ndoto zako kuwa...
Tunapoelekea katika mwezi mtukufu wa Ramadhan, hali inazidi kuwa ya kushangaza. Jana na leo, hoteli na nyumba za kulala wageni zimejaa – lakini si kwa ajili ya ibada au tafakari, bali kwa matendo...
As received!
TANGAZO:
KAMA WEWE AU NDUGU YAKO ALISOMA TEGETA HIGH SCHOOL NA HAJACHUKUA VYETI AU LEAVING...AENDE KUCHUKUA MWISHO MWEZI WA NNE.BAADA YA APO UTAPATA USUMBUFU SANA KWANI SHULE...
Aiseeeh, kichaa kaja tu dukani sikumbuki vurugu yoyote aliofanya despite ile kutokuwa comfortable na ujio wake
Hii inaweza kuwa inamaanisha nini.
Maana napitia kipindi kigumu sana katika...
Nawakumbusha tu wenye kipaji cha kusifia hali ya upatikanaji ya maji inazidi kuwa mbaya, kwani maji yamegeuka kuwa anasa vilory vya maji vimerudi kwa Kasi kubwa na maji hutoka mara Moja kwa wiki...
Mgahawa Maarufu duniani Kwa ajili ya Wanyonge KFC unatarajia kufungua Tawi jipya Katavi (Mpanda Mjini) kutokana na mahitaji (demand) ya huduma zao.
P Wafipa hatimae kilio chenu kimesikika.
Eneo kubwa linalo milikiwa na Serikali lililopo Kwembe/luguruni lilitolewa au lilitengwa na Serikali ya awamu ya 5 kwajili ya ujenzi wa Arena baada ya Mbunge wa eneo hilo kuliomba.
sasa leo hii...
Dkt. Bryson Mcharo, Daktari bingwa wa mifupa kwa watoto- MOI
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na ubongo Muhimbili (MOI) imehitimisha kambi maalum ya upasuaji wa kurekebisha kibiongo ambapo watoto 13...
Hivi hii Kampuni ya TTCL sasa hivi inashida gani? Ni mwezi sasa unaisha huduma za kutuma pesa kwa mitandao mengine haipo. Ukiwapigia simu kitengo cha huduma kwa wateja kupita 100 wanasema...