International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Baadhi ya Raia nchini Burkina Faso wameanzisha utaratibu wa kutumia muda wa usiku katika barabara na maeneo muhimu ya mji mkuu wa Ouagadougou badala ya kulala majumbani mwao ili kumlinda Rais...
10 Reactions
34 Replies
3K Views
Mimi nadhani mnachanganya Mungu na itikadi yenu. Ya Mungu ni ya Mungu, ya itikadi yenu ni itikadi Kwa hio Mungu ndio aliwatuma hamas kwenda kila nyumba na kuua kila familia na kuwachoma moto...
0 Reactions
11 Replies
278 Views
The primary objectives of Benjamin Natanyahu to declare war on Gaza in Octomber 2023 were among others: 1. To eliminate the group of Hamas completely and also 2. To free the 100+ captives taken...
11 Reactions
70 Replies
1K Views
Mtoto mdogo kama huyu ananyimwa haki yake ya malezi bora yasiyokubikwa na asili ya ukanda, uadui, hofu na damu lakini too bad atalelewa na matapeli watakaomwambia kuwa wayahudi, wakristo na...
2 Reactions
7 Replies
319 Views
Tiktok imetangaza huduma zake kurejea nchini Marekani, baada ya juhudi za Trump kurefusha muda wa majadiliano mpaka hapo atakapoingia madarakani rasmi. Sababu nyingine kubwa ya Trump kuipambania...
2 Reactions
6 Replies
601 Views
Barghoit anasadikiwa kuwa ndio Mandela wa Palestina. Habari kamili: Mwanasiasa wa Kipalestina, Marwan Barghouti, kiongozi wa vuguvugu la Fatah ambaye kwa sasa anazuiliwa katika jela ya Israel...
1 Reactions
2 Replies
447 Views
Kampuni ya TikTok imetangaza kwamba itasitisha rasmi shughuli zake nchini Marekani ifikapo Januari 19, 2025, iwapo Mahakama Kuu haitasitisha au kuchelewesha sheria inayotaka ByteDance, kampuni...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Idadi kubwa ya watumiaji wa TikTok Marekani wamemtusi Mark Zuckerberg kwa kumuita mjusi wakidai yeye ndiye mfitini mkubwa wa TikTok kufungiwa ili kampuni yake ya META iongeze watumiaji Watumiaji...
2 Reactions
34 Replies
1K Views
Watu wako mtaani kushangilia, you can't kill people's ambition by bombs, Palestine must be free
3 Reactions
43 Replies
875 Views
DR Congo: Rwandan-backed armed group and Congolese army must stop using explosive weapons in densely populated areas - Amnesty International FOR IMMEDIATE RELEASE Inaccurate explosive weapons...
0 Reactions
1 Replies
262 Views
Wakati makombora yanarushwa kutoka Gaza kuelekea Israel, Jeshi la Israel huwa wanawaisha raia kwenda kwenye mahandaki. Hamas hali ipo tofauti, huwa wanakimbilia kwenye mahandaki na kuwaacha raia...
0 Reactions
3 Replies
237 Views
Wiki iliyopita, tarehe 7, Januari 2025, akiwa Mar a Lago, Rais Trump alichimba biti. Alisema kwamba ifikapo tarehe 20 mwezi hao mateka wa Hamas hawajaachiwa, basi huko Mashariki ya Kati...
24 Reactions
161 Replies
4K Views
Wadau hamjamboni nyote? Mateka 3 wameachiwa huru kwenye utekelezaji wa makubaliano ya kusitisha mapigano.baina ya Israel na magaidi wa hamas Romi Gonen, Doron Steinbrecher, na Emily samari...
0 Reactions
0 Replies
329 Views
Wadau hamjamboni nyote? Mpango kusitisha vita umekwama hadi pale Hamas iwasilishe orodha ya majina ya Waisrael watakaoachiwa Netanyau asema IDF itaendelea kuishambulia gaza kwa ndege vita hatari...
4 Reactions
31 Replies
735 Views
Wadau hamjamboni nyote? Inasikitisha lakini ndiyo gharama za makubaliano kusitisha vita baina ya Israel na hamas. Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: January 18, 2025 Notorious Fatah...
1 Reactions
41 Replies
1K Views
Tunamwachia Mungu
10 Reactions
142 Replies
4K Views
Uganda tayari ina mafuta, South Sudan inayo, Kenya inayo, Zanzibar nayo inayo (hata yawe kinibu ni mafuta ya Zanzibar) na sasa Rwanda nayo imepata mafuta yake. Je Tanganyika vipi...
0 Reactions
16 Replies
552 Views
Vita kati ya Marekani akishirikiana na Israel na Uiengereza dhidi ya Houth bado vinaendelea ambapo hapo jana Marekani ilishambulia maeneo ya Yemen yaliyokaribu na mji mkuu wa Sanaa. Shambulia hilo...
3 Reactions
4 Replies
479 Views
Takriban wanajeshi 100 wa Korea Kaskazini wameuawa katika mapigano katika vita vya Ukraine tangu waingie kwenye mapigano upande wa Urusi mapema mwezi huu, mbunge wa Korea Kusini amesema. Lee...
13 Reactions
49 Replies
2K Views
Imebainika kuwa Ufaransa ililipa kiasi cha Euro Milioni 60 sawa na Shilingi Bilioni 156 za Tanzania ili majasusi wake wanne waliokuwa wamekamatwa na kushikiliwa nchini Burkina Faso waweze...
0 Reactions
1 Replies
413 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…